Nkyumu
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 332
- 104
Tunapopiga kelele Kiongozi wa serikali katumia hela vibaya...matumizi yasiyo rasmi au ni rasmi lakini kwa data za uongo,na tuposema Kiongozi wa chama naye katumia fedha za chama vibaya katika mantiki hiyo hiyo hapo juu....
Yupi tumfanyie kazi zaidi wa hela za serikali yetu au wa vyama vyetu maana nina uhakika hakuna chama kisichokuwa na wenye matumizi mabaya ya fedha za chama
Yupi tumfanyie kazi zaidi wa hela za serikali yetu au wa vyama vyetu maana nina uhakika hakuna chama kisichokuwa na wenye matumizi mabaya ya fedha za chama