Sasa imeshakuwa dhahiri kuwa CCM hawakuwa na mpango wa katiba mpya yenye mabadiliko makubwa ya kiumfumo badala yake wamelazimika kuingia kwenye mchakato huu ili kutii maamuzi ya Dr.Kikwete...
Habari zenu wana JF, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa hili. Ni wakati mwingine nakuja na uzi huu baada ya kupata utata, mgongano wa mawazo na pia...
Kambi Rasmi ya Ulpinzani Bungeni imeikemea vikali Serikali ya JK kukomesha haraka biashara ya dawa za kulevya ambayo imekithiri hapa nchini la sivyo ikubali kubeba lawama kuwa inahusika na...
CCM wanasema wanautaka muungano lakini hawataki serikali tatu, hii imekaaje?. Ninavyo jua mimi serikali mbili tayari zipo ambazo ni Zanzibar na Tanganyika ambayo imejificha, na serikali ya tatu...
Wadau kuna habari zimeripotiwa na Gazeti la Mwananchi kuhusu Chama tawala kinavyo vuruga mchakato wa katiba mpya. Naombeni msome wenywe hapa chini muone
Leo tumechapisha katika gazeti hili...
Tujikumbushe ahadi za mwana TANU ambazo zilizoluja kurithiwa na CCM ya zamani. Kwa sasa ahidi hizi zimebadilika sana.
No
CCM ya ZAMANI
CCM ya .COM
1
Binadamu wote ni ndugu zangu na Dunia ni...
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo...
Wana jamvi,
Wakati nikitafakari juu ya kodi za laini za simu nilijikuta nikiingiwa wazo la msamaha wa kodi za bodaboda. Mtakumbuka waziri wa fedha kwa mbwenbwe akisema kuwa kuanzia sasa vijana wa...
CHADEMA: Hakuna kusubiri mjadala wa Serikali tatu
Chadema kimepinga kauli ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kuhusu hatima ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 kikisema...
Ni jambo la kushangaza kuona ccm kikitoa Waraka wa kuwaelekeza wanachama wake nini cha kusema na vifungu gani vya Rasimu hiyo wavikubali na vipi wavikatae. Waraka huo wa kurasa 32 hakika unabeba...
Wingu zito.
Mtanzania aliyenaswa na M23
Jumatano, Julai 24, Na Ratifa Baranyikwa
*Waasi hao sasa wadai wako tayari kumwachia huru huku wakimtaja Nyerere kuwa fahari yao. WINGU bado...
Napata shaka na hadi kufikia kuhoji integrity ya mzee Warioba. Hivi ni kweli haoni jinsi rasimu hii ilivyotekwa kichama na hasa ku-CCM kwani hata mawaziri wa CCM wanatamka wazi juu ya nini wajumbe...
MH. KOKA,Mbunge wa jimbo la kibaha Mjini ,amefanya kikao na waendesha pikipiki ali maarufu bodaboda jana.
Koka akiongozana na uongozi wa juu wa wilaya,akiwa na mkuu wa wilaya bi .Halima...
Kwa ufupi
*.Mnyika asema mjadala wa Katiba ya Tanganyika unapaswa kuanza sasa sambamba na huu wa Rasimuya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
*.Butiku asema hakuna cha kuogopakwani Zanzibar...
Nasikitika sana ninapoona senior minister kama wa finance anapokosa confidence na kujiamini kusimamia kile anachokiamini. Budget yake imefumuliwafumuliwa hata haijulikani kama itatekelezeka...
Ni vema serikali ikasimamia maamuzi yake bila kuyumbishwa na wanasiasa,maendeleo ya taifa letu yasitemee misaada....kuongeza kasi ya usambasaji wa umeme vijijini ni jambo zuri ambalo kila...
Mh. Ezekiel Wenje akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara amedai kuwa anataka kugombea urais na muda ukifika atachukua fomu.
Dr Slaa lazima apate ugonjwa wa moyo kwani baada ya...
Nimefurahi sana leo kumuona Nicholaus Ngowi maarufu kama mtoto wa seremala akilaani kodi ya line za simu kupitia ITV.
Mara ya mwisho kumuona nilimtembelea Mwananchi hospitali Mwanza mwezi wa pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.