William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Kwa uzoefu nilionao kuhusu hotuba za J. K ni kwamba Ziara yake Bukoba imekusudia kumvaa Rwakatare
nasema hivyo kwasababu kuu tatu.
NAKUMBUKA hotuba yake ya mwezi iliyojaa vijembe zidi ya Lema kuhusu arusha kuwa shwari wakati mahakama ilipotengua Ubunge wa Lema na kuwaambia wana Arusha wasifanye kosa tena?
2. Kukua kwa kasi kwa umaarufu wa Chadema mkoa wa Kagera kwani ndiko alikopata asilimia chache zaidi za kura za Uraisi mwaka 2010
3. Kwenda kuwaaminisha wanakagera Rwakatare ni Gaidi.
Najua hajawapelekea meli hadi leo aliyowahaidi au atakuja na Kujisifia na Barabara za rami za Mileniam Chalenji zinazojengwa kwa msaada kutoka Marekani alizoziomba mkapa?