Kodi ya line haitatunufaisha wazanzibar

Kodi ya line haitatunufaisha wazanzibar

stewart frenk

Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
48
Reaction score
15
Moja ya maelezo matamu ya kodi ya line za simu yaliyotolewa na Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda ni kodi makhususi kwa kuendeleza umeme wa vijijini.Ieleweke wazi umeme si jambo la muungano hata mna wizara yenu tunayo yetu ya nishati maji na majenzi sasa kwanini hii kodi haijatolewa exception kwa sisi wazanzibar maana hatutanufaika nayo sie.

"There is no way kama tutaendelea kwa namna hii akili ndogo ikitawala akili kubwa"- Peter Msigwa (MB).

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kama itapitishwa...
Je huko kwenu hakuna vijiji? Au vyote vina umeme?
 
Umeme sio wa muungano na sisi tuna mamlaka yetu ya kukusanya kodi kwa mambo yasio ya Muungano ZRB Zanzibar revenue board na wawakilishi wetu ndo wanajua matatizo yetu ya umeme

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom