Ubunge Kigoma Kusini

Ubunge Kigoma Kusini

mkezwag

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
3,245
Reaction score
1,080
Wanajamvi naomba kuwataarifu kuwa ninapiga jalamba kwa ajili ya kugombea ubunge jimbo la Kigoma kusini kwa Tiketi ya chadema.Mimi ni msomi mwenye shahada katika fani ya uhandisi.

Mwezi wa kumi na mbili nitakuwa jimboni humo kwa maadalizi.

Nawasilisha
 
kwa maelezo yako hapo juu unaona yanajitosheleza mtu kukuelewa? jaribu kujieleza vizuri ili watu tukuelewe.
 
hutaki kujiunga na dogo mtaka urais aliyekimbilia NCCR juzi juzi ?.
 
Kamanda piga Jalamba NCCR imesaliti mageuzi, wanakigoma ni muda mwafaka kukikacha chama hicho kilichowekwa mfukoni na CCM!
 
Wanajamvi naomba kuwataarifu kuwa ninapiga jalamba kwa ajili ya kugombea ubunge jimbo la Kigoma kusini kwa Tiketi ya chadema.Mimi ni msomi mwenye shahada katika fani ya uhandisi.

Mwezi wa kumi na mbili nitakuwa jimboni humo kwa maadalizi.

Nawasilisha

Wagombea wa Cdm hawapitishwi na member wa jf, kuna katiba inayoongoza mchakato wa kumpata mgombea, namutakia la heri ila fuata taratibu za chama
 
Nenda Kigoma ukajiimarishe, sisi hapa sio wapigakura wa Kigoma
 
Wanajamvi naomba kuwataarifu kuwa ninapiga jalamba kwa ajili ya kugombea ubunge jimbo la Kigoma kusini kwa Tiketi ya chadema.Mimi ni msomi mwenye shahada katika fani ya uhandisi.

Mwezi wa kumi na mbili nitakuwa jimboni humo kwa maadalizi.

Nawasilisha

kajenge visima tu hatuchagui wasomi tunachgua mtu anayeweza kutumikia watu.
 
Usomi sana sio sifa ya kuwa kiongozi, piga kazi na tumikia wananchi, watafutie maelezo juu ya namna ya kutatua shida zao
 
Wanajamvi naomba kuwataarifu kuwa ninapiga jalamba kwa ajili ya kugombea ubunge jimbo la Kigoma kusini kwa Tiketi ya chadema.Mimi ni msomi mwenye shahada katika fani ya uhandisi.

Mwezi wa kumi na mbili nitakuwa jimboni humo kwa maadalizi.

Nawasilisha

Hii ndiyo chadema na hawa ndiyo wanachama. Unakurupuka tu kama mkojo wa asubuhi..
 
Wagombea wa Cdm hawapitishwi na member wa jf, kuna katiba inayoongoza mchakato wa kumpata mgombea, namutakia la heri ila fuata taratibu za chama
Nafahamu hilo mkuu,hata hivyo aksante kwa ushauri mzuri-Duwa zako mkuu
 
Hii ndiyo chadema na hawa ndiyo wanachama. Unakurupuka tu kama mkojo wa asubuhi..
Mkuu sasa matusi ya nini-Hujasikia huko sisiem watu wanasema lile jimbo langu-Ni mtanzania gani anamiliki jimbo.Pole
 
kwa maelezo yako hapo juu unaona yanajitosheleza mtu kukuelewa? jaribu kujieleza vizuri ili watu tukuelewe.
Muda si mrefu nitabandika CV yangu hapa-usiwe na shaka mkuu utanifahamu tu
 
Back
Top Bottom