Huwa ninachanganywa sana na kauli za Makada na Viongozi wa Chama Tawala cha CCM kwamba Chama chao kinafuata ITIKADI na SIASA za MRENGO wa KUSHOTO yaani za UJAMAA na KUJITEGEMEA lakini kiuhalisia...
Habari yako Mkurugenzi mkuu wa NIDA Bwana Dickson Maimu,
Mimi ni mfanyakazi wako wa muda wa nida kitengo cha uzalishaji, Mkurugenzi wangu nimeona labda hii ndo njia nzuri ya wewe kuelewa jinsi...
*Sijielewi nipo chama gani--Baba na Mama yangu wapo chama tawala,ndg zangu nao pia wapo chama hiki Tawala.,na haswa bii mkubwa kitu chochote nitakacho mweleza iliaachane na chama chake,iwe kwa...
Wadau, nimeona nilete uzi huu ujadiliwe kwa sababu waswahili husema Mzaha! Mzaha!...........
Hapa nchini kumekuwa na matukio mengi yanayoashiria wazi kutumika kwa jeshi la polisi kisiasa.Matukio...
Madiwani wa CHADEMA wa Halmashauri ya Geita wamefichua nyaraka za ufisadi kwenye mkutano wa Hadhara uliofanyika july 14 2013, zinazoonesha wilaya hiyo kupokea Ths Bilioni 11.1 kwa ajili ya...
Alisema suala la umeme na madaraja litashughulikiwa na viongozi wa mkoa wakishirikiana na wabunge na watakapokwama wafikishe kwake...
Mimi ndiye ninayetoa fedha za maendeleo hivyo hayo...
Wa Tz wenzangu tumeshuhudia na pia kusikia wakubwa wa nchi hii wakiongea na hata kuchangia mada mbalimbali kuhusu mambo fulani fulani na baadae vyombo vya habari vinaripoti kuwa eti 'SERIKALI...
serikali tatu ni muhimu na muundo utakuwa hivi, Rais mmoja wa muungano, makamu wa rais 2 yaani Tanganyika na zanzibar na hivyo kufuta waziri mkuu na waziri kiongozi ambapo hao makamu 2 watakuwa...
Mwenyekiti wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe ameshikiliwa kwa muda na Jeshi la polisi nchini na kwa sasa yuko chini ya ulinzi wa Polisi.
Tutaendelea kuwafahamisha...
Huu si muungano Bali ni dhulma za wazi kabisa upande mmoja dhidi ya upande mwingine wa muungano, kwanini tuendelee kuwadhulumu? Tusivunje muungano kila upande uendeshe mambo yake? Tumeunda tume...
Njama zimesukwa kuhakikisha kwamba mgombea wa Urais mwenye nguvu zaidi Dr Wilbroad Slaa kutokea Chadema hapati nafasi ya kugombea Urais.
Wapanga mkakati huo wamepenyeza kifungu kwenye Rasimu ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kamapuni ya Peoples Media Communication iliyo chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikidadi Mamhomud amekataa kujiuzuu wadhifa wake mbele ya wajumbe wa Bodi ya Uhuru FM...
Kikosi cha Kuzuia Ujangili Kanda ya Kati kwa kushirikiana na Askari wa Misitu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wamewakamata watu saba wanaodhaniwa kuwa majangili, wakiwamo askari watatu wa...
WanaJF!
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai, bwana Mbowe, amethibitisha kuwa yeye ana upeo mdogo sana kuhusu mambo ya sheria.
Bwana Mbowe amethibitisha hilo baada ya...
Polisi kama mnabisha hamkuhusika kuuwa kwa Bomu, SMG na Bastola kwenye viwanja vya Soweto jiji Arusha hakuna haja ya kila siku kumwita Mhe. Mbowe kituo cha polisi kufanyamahojiano nae fanyeni mara...
Waliouawa Darfur: JK atoa tamko kali
Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete ameutaka Umoja wa Mataifa (UN), kuruhusu kutumika kwa mtutu katika operesheni za kulinda amani zinazoendelea...
Katika jambo lisilotegemewa jana kikwete akiwa mwenyekiti wa chama cha mapinduzi aliitisha kikao kuamua ugomvi wa meya wa manispaa ya bukoba ndg. Dk. Anatory amani na mbunge kagasheki.
Kikao...
Baada ya wananchi kupinga vikali ushuru wa kadi ya simu na kuilaumu serikali ya CCM kwa kukosa ubunifu wa kukusanya mapato ikiwemo uzembe wa kusamehe kodi hovyo wakati taifa lina deni kubwa...
Akili yangu inashindwa kuamini kuwa Jeshi letu la polisi limefikia kuwa kichaka cha Waovu wa maovu mbalimbali ambayo wao wanapaswa kuwa mstari wa mbele kuyapinga na sisi kuwasaidia kama Polisi...
Sitaki iwe mbali bali mapema sana kesho asubuhi nataka nitii bila kushurutushwa na mtu yoyote maana wengine wamesha sema kuwa wamechoka na mchoko wao wamesha uhalalisha kwa kupitisha amri, amri...