Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbona tayari mambo yalikuwa yashaisha? Kushitukia, tayari kukaomba mkopo sjui wa kufanya nini na wakati Korona ilikuwa tayari ishapita JPM hakutaka hiyo mikopo tena kwa wakati ambapo nchi...
3 Reactions
1 Replies
216 Views
Kwakuwa wameamua kushupaza shingo. Hawataki kufanya reforms. Na kwakuwa mamlaka waliyonayo yanatoka kwetu sisi wananchi japo wao wanadhani yanatoka kwa 'WAHUNI' in Balozi Polepole's voice. Hebu...
1 Reactions
1 Replies
232 Views
Hapo vipi. Naona kuna vita ya visasi bado inaendelea baina ya familia hizi 2 za kisiasa, na hili ni kwasababu familia moja, ina nguvu ya maamuzi katika kipindi hichi. Mimi ni mmojawapo wa mtu...
15 Reactions
79 Replies
4K Views
Rais Samia Suluh Hassan, Afanya Tanzania kama Kitovu cha Nishati Afrika Mashariki Serikali yake imeanzisha mikataba ya kuunganisha gridi na nchi jirani (Kenya, Zambia, Burundi, Uganda). Hii...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Akizungumza na wanahabari Julai 31, 2025 Kada wa Chama cha Mapinduzi Cyprian Musiba ameeleza kuwa mchakato wa kuchagua watia nia ubunge unafanywa hasa kwa kujuana ndani ya chama hicho akidai ili...
0 Reactions
4 Replies
566 Views
Watu wachache sana nimeambiwa na waandikishaji 7. Kati yao 4 ni kutoka Dar. Wanasema mwitikio ulikuwa mdogo sana pamoja na kuongeza siku za kuandikisha bado watu hawakujiandikisha. Kuna mambo...
0 Reactions
0 Replies
188 Views
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema elimu ya watu wazima sio tu elimu ya masomo ya kawaida, bali ni zana muhimu ya maendeleo endelevu, kwani inachangia kipato, ustawi wa kijamii, afya na ushiriki...
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu. Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA Kurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inautaarifu umma kuwa Bw. Gerva Bernard Lyenda ameteuliwa kuwa Mkuu wa Idara ya Habari wa Kurugenzi...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
"Mimi natamani rais wetu ajaye awe na umri kama wangu wakati nilpoingia madarakani wakati ule,..,umri wa miaka miaka 55..kwa sababu hizi kazi zinachosha sana ukiwa na umri mkubwa" Hayo ni maneno...
2 Reactions
3 Replies
488 Views
Wanamitandao kuanzia 2026 ni kumaliza madini, gas, mbuga- . Hakuna biashara itapita bila Rostam kuhusika
1 Reactions
0 Replies
358 Views
Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya...
12 Reactions
64 Replies
4K Views
KADA Maarufu wa CCM na mfanyabiashara aliyeahidiwa Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini na Shujaa Magufuli ndugu yetu Rostam Aziz amesema Uwekezaji umeendelea kuimarika kutoka Viwango vidogo hadi...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM mwaka 2005, wengi walitarajia Dr Salim Ahmed Salim angelichaguliwa kwa kura nyingi kutokana na ukweli kwamba yeye ndiye alikuwa anaonekana...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo ulikuwa unazungumzia na kuwahakikishia wadau kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Je mchakato wa kufikia hapo umeufanya? Kuna mapungufdu mkubwa katika mchakato mzima wa kupiga kura . Vigezo...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Nchi inaliwa mpaka mifupa na manyoya sisi tupo kama mazuzu tu Watanganyika tumegeuka wafu na misukule ya watawala hivi tutaamka lini? Maskini nchi yangu Usione watu tunaichachavya serikali kila...
1 Reactions
4 Replies
379 Views
Deni la Taifa kwa sasa limepanda kutoka Trilioni 108 mwezi Mei hadi trilioni 116 Mwezi Agost. Hili ni ongezeko la 7.41% ndani ya kipindi cha miezi miwili tu. Deni hili linaweza kunasibishwa na...
1 Reactions
6 Replies
470 Views
Kauli yangu ya jana imewashtua wengi, nimepigiwa simu na kujibu meseji nyingi sana, kilichonishtua ni pale nilipowakuta wazee wa3 na vijana wa2 nyumbani kwangu wakinisubiri kutaka kujua ukweli...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Back
Top Bottom