Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii hapa Orodha ya Majina ya Wagombea Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Mbeya 1.Patrick Mwalunenge - Mbeya Mjini 2.Patali Shida Patali- Mbeya Vijijini 3.Dkt.Tulia Ackson - Uyole 4.Bahati Keneth...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Ikiwa uchaguzi ni kitu kikubwa katika Nchi na madhara yake yanaweza kuwa Mbaya Sana kama tukikosea, sasa tulisikia Mahakamani kwamba vitendo vya kuweka vikwazo Kwa Vyama vya upinzani Mwaka wa...
0 Reactions
6 Replies
409 Views
Siku Chache Baada ya Kuteuliwa Na Ccm Kugombea Ubunge katika Jimbo la Uyole, Dkt Tulia Ackson Leo amechukua Fomu ya Kuomba kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa Ya Uchaguzi katika Jimbo Hilo Akihutubia...
0 Reactions
0 Replies
251 Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Patrick Mwalunenge Amechukua rasmi fomu ya Kuomba kuteuliwa na tume huru ya Taifa Ya uchaguzi kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
"Zitto alisema analinda kura, kura zake atachagua yeye akitaka tuwe tunampa anazishika kwasababu ni chache"
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Umy tulia dada yangu, CCM ina kazi nyingi sana. CCM ni serikali ndani ya serikali, ina macho na masikio mengi na mikono mingi sana. Sema kweli kama hukutoa chochote kwa wajumbe hawa...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Siku ya ufunguzi wa kampeni si siku ya kukosa kwani CCM ya mama Samia mgombea urais atakiwasha
0 Reactions
3 Replies
352 Views
1. Nguvu ya Umma haitakuwepo any time soon. Tu waoga sana wa kufa. Ndiyo maana tunatumia fake IDs 2. Walio kazini serikalini na vinafasi vizuri wanaogopa kupoteza ugali wao....wananyamaza na...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa...
5 Reactions
10 Replies
845 Views
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jjijini Dar es Saam rais wa TLS Chama cha Wanasheria (Tanganyika Law Society ) Wakili Mwabukusi amesema kuwa kuna maeneo 7 critical na 6 niya muhimu sana...
0 Reactions
5 Replies
748 Views
IWE MVUA IWE JUA, FOMU YA UBUNGE YACHUKULIWA JIMBO LA VUNJO. Maelfu ya wananchi wa Jimbo la Vunjo wamejitokeza kwa wingi kushuhudia tukio la kihistoria la Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha...
1 Reactions
1 Replies
695 Views
Historia imeandikwa, Revocatus Chiponda (Baba Levo aka Chawa Pro Max), amezipiga bao husda na hila za Maalhaji wa Ujiji! Kwanini namkubali Baba Levo? au ni kwanini anakubalika na wanakigoma...
0 Reactions
2 Replies
548 Views
Sina uhakika kama uteuzi wa Rose Migiro unakusudia nini? kuimarisha safu? kubadilisha sura na taswira ya chama kimataifa? kuvutia na ushawishi kwa akina mama? au kuboresha kikundi mtandao...
0 Reactions
1 Replies
317 Views
Ndivyo ilivyo na msio ukweli , CCM haiwezi tena kuikomboa hii nchi na kuipeleka kwenye maendeleo ya kweli yanayo lingana na rasilimali zilizopo na sasa ndio kabisaa imesha jiingiza kwenye tope...
7 Reactions
10 Replies
435 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi aemesema Uchaguzi wa Mwaka huu umekuwa na changamoto na hii inatokana na yaliyojiri wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
0 Reactions
5 Replies
498 Views
Wakuu habari, Nimegundua tu CCM wana akili sana na wanawaza kimkakati zaidi Tunaweza kuona chawa hafai kuwa kiongozi, lakini wao wametumia ushawishi wa uchawa katika siasa na kuangalia wingi wa...
0 Reactions
7 Replies
639 Views
Akizungumza Jumapili Agosti 24, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole alipendekeza kuwepo kwa sheria ya kuwawajibisha viongozi kwa matendo wanayofanya wawapo madarakani. Je...
1 Reactions
1 Replies
566 Views
Masoud Kipanya anasema ''ngoja tuunde chama cha waliokatwa - CCW'' Soma pia: Ni vigumu watu wote 27 waliokatwa kutulia na kukubali matokeo
0 Reactions
1 Replies
237 Views
Wilayani Tanga, hali ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefikia kiwango cha juu cha mvutano baada ya wanachama wa chama hicho kuandamana kwa umakini na kutangaza kurejesha kadi zao za uanachama...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Anayepita njia ya haki tutamfuata na kumsikiliza,kwa maana njia ya haki ni njia ya Mungu,kwa anayoyaongea Ndugu Polepole ni haki ya Watanzania ambayo imeporwa hivyo basi tutamuunga mkono Ndugu...
3 Reactions
3 Replies
255 Views
Back
Top Bottom