Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,483
[h=1]
[/h] Arusha Written by santorini Muhariri
Tanzania inalazimisha amani ambayo haipo kwa tanzania yenyewe ila ipo kwa wananchi ambao tayari kupigwa, kuuawa ,kuteswa ,kunajisiwa, kuibiwa mali zao, lakini bado wanasema na mioyo yao na kuweka amani.
Serikali zote mbili ya muungano na zanzibar ndio waanzilishi wa fujo na ni wavunja amani na mshikamano miongoni mwa wananchi .
Mifano mingi tu ipo kwamba serikali kupitia watumishi wake ikiwa polisi ,jeshi, vyombo vya usalama ndio waanzilishi na wavunjifu wa amani nchini.
Mfano mmoja ni ule wa kauli ya waziri mkuu bungeni ,kauli yake ukiiangalia kwa kina ni kauli ya uvunjifu wa amani.
Ukiwaamrisha polisi kupiga na kuua na wao watapigwa na kuuwawa na pengine goma hilo hilo unalolitilia chapua likakufika na wewe pia kwani unafikiri unaweza kujilinda usipatikane na maafa kama yanayowafika wenzio ,angalia indira gandi aliuwawa na nani kama sio hao hao wanaomlinda.
Kwa uchochezi unaotolewa na viongozi wa zanzibar kwa wazanzibari kisha kugeukiwa na kupigwa na vyombo vya dola na wengine kuuwawa unadhani anaetakikana kwa kulipiziwa kisasa atakosekana ? kama ndio dhana za viongozi kuwauwa na kuwatesa wananchi kupitia vyombo vya dola kishawakachekelea na kuhubiri amani na utulivu kama kwamba wao sio walioanzisha mauaji na kipigo.
Amani na utulivu amani na utulivu siku moja itaondoka na naapa kwa jina la aliniumba kama mkiendelea kuwanyanyasa wananchi iko siku watajilipiza na Mola wetu atawapa nguvu kwani anajua mnayoyaficha ndani ya moyo yenu.
Zanzibar ndio itakayokuwa nchi ya kwanza kuondoka hiyo amani ya uongo na utulivu wa kinafiki walipa kodi wanachotoa kuchangia kwa nguvu bila ya ridhaa zao zikiingia ndani ya mifuko ya wachache ambao dhahir shahir wanajulikana wanayoimaliza zanzibari yao kwa hubiri za uongo za amani na utulivu,
Mzanzibari ananyimwa haki yake ya msingi na kupewa asie na haki hiyo.
Dhulma hii itatupeleka pabaya na tayari imeshatufikisha ukingoni huku kila mmoja wetu anajua hayo,dhulma imedumu muda mrefu sasa na bado wanachimbuka wengine wapya kuukandamiza umoja wa wazanzibari.
Ni kwa nini hawahubiri imani ,ukweli na uadilifu katika uongozi?
hawawezi kuhubiri hivyo na hawatahubiri hivyo mpaka roho mbichi ikiwatoka kwa papatizi za kuwadhulumu wananchi walio wengi ambao wanagaragara kwa umasikini.
Amani na Utulivu itokayo mdomoni na sio moyoni itasababisha maradhi makubwa ndani ya mioyo hiyo ambayo haitapata ponyo duniani na akhera.
Ngao ya viongozi wanafiq ni Tanganyika na ndio maana hawatahubiri uhuru kamili wa zanzibari yetu kwani wanajua fika kwamba zanzibari ikipata uhuru wa kujiamulia mambo yake hawatakuwa na kura ya turufu hivyo wanahiyari tuwe watumwa lakini zanzibar isijitawale .
Yaguju zanzibar itajitawala kwa uwezo wa Mola wetu wakitaka wahubiri uongo na unafiq wasitake lakini zanzibar kamili ipo Inshaaallla.
Zanzibar kwanza
[/h] Arusha Written by santorini MuhaririTanzania inalazimisha amani ambayo haipo kwa tanzania yenyewe ila ipo kwa wananchi ambao tayari kupigwa, kuuawa ,kuteswa ,kunajisiwa, kuibiwa mali zao, lakini bado wanasema na mioyo yao na kuweka amani.