NCCR yaigaragaza tena CCM kortini!

NCCR yaigaragaza tena CCM kortini!

mageuzi1992

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2010
Posts
2,502
Reaction score
257
Kuna habari nyingine zina raha we acha tu!

Mwananchi. Agosti 1,2013

''''' Chama cha NCCR-Mageuzi kimeendelea kuigaragaza CCM mahakamani, baada ya Mbunge wa kasulu vijijini, Zaitun Buyogela,kuibuka kidedea kwenye rufaa ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010,yaliyompa ushindi. Hiyo ni mara ya pili kwa Buyogela , kuibuka kidede dhidi ya aliyekuwa Naibu waziri wa habari,utamaduni na michezo , Daniel Nsanzugwanko.''''

Mwisho wa Kunukuu.....Je na wewe umeipenda?!
 
Kwa hakika nimeipenda.Mgonjwa akikaribia kufa dawa huteleza.
 
Back
Top Bottom