Diwani wa CHADEMA afichua njama za CCM

Diwani wa CHADEMA afichua njama za CCM

olengai

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
308
Reaction score
65
Diwani wa kata ya Turwa ktk halmashauri ya mji wa Tarime wa cdm, Charles Ndesi Mbusiro,amesema kuwa CCM wilaya ya Tarime,kimepora uwanja wa michezo bila rdhaa ya wananchi.

Diwani huyo alitoa tuhuma hizo juzi alipokuwa akihutubia maelfu ya wananchi waliofurika kuhudhuria maadhimisho ya miaka 5 ya kifo cha aliewahi kuwa mbunge wa jmbo hilo marehem chacha zakayo wangwe.

Diwan huyo alidai, CCM baada ya kuona cdm wkitumia uwanja huo kila mara ktk miktn,sasa wamefanya ujanja na kupata hati na wanadai mali yao na viongoz wa CCM wanajenga vbanda vyao.

Diwan huyo aliwabana viongoz wa CCM waseme kama chama chao ni cha biashara au ni chama cha siasa? Kwann wafanye biashara katika uwanja huo?

Nae mkaz m1 Mwita Mseti alisema, hawa magamba wamezoea sana dhuluma na ufisadi.kiwanja cha wananch wote iweje leo CCM iwe mali yao? Tumechoka,liwalo na liwe lazima wakirudishe.

Source:
Tanzania Daima
 
Kama kawaida yao, wao na ufisadi ufisadi na wao...!!
 
Kama kawaida yao, wao na ufisadi ufisadi na wao...!!
Mimi nawashangaa sana CCM wanafanya kama hawana akili, kwanini kuchukua viwanja vya michezo vilivyo katika maeneo ya Shule wakati li-Nchi letu kubwa kupita kiasi na maeneo yapo mengi yanayohitaji kuendelezwa?.
HAta.
 
Wewe bataka kagame awachape wa tz coz mnajifanya eti nyie ndio giant wa vita kisa mlipiga idd amin, ninawakikishia sasa hivi dunia iko kidigital, nakuapia tutawabuza mpaka na hicho kiges chenu mnachojiringia, ngoja tukae vizuri na malawi ufaransa na wapinzani muone km ujasikia rwanda niangoza kwa kuuza ges nje na tnzanite, chadema, na tz wengine wenye uzalendo tunaomba mchango wenu tuwafurumishe hawa maccm
 
tutarudisha kila walichopora , hata ofisi ndogo lumumba ni jengo la wananchi .
 
Naona huku tumeingiliwa na wanyaruanda
inakuaje mtu anaandika maneneno ya uchochezi ya kupigana vita
 
Hata hati ya uanzishwaji wa halmashauli ya mji wa tarime pia imewekewa mizengwe ya sintofahamu ni baada ya ccm na serikali yake kuoana wenye haki ya kuongoza ni chadema hali iliyopelekea mpaka sasa kugubikwa na utata kwani idadi ya kata zilizoanzisha halmashauli ni kata sita kati ya hizo kata chadema inaongoza kata nne na ccm wana kata mbili hii ndo shida kubwa inayosababisha ccm na serikali yake kuchakachua utaratibu mzima wa upatikanaji wa idadi hasa ya madiwani wakihofu kudhibitiwa kwa ubadhilifu wanaofanya
 
Wapelekeni mahakamani.

mahakamani haitasaidia kwa kuwa DPP ni Mwigulu, hivyo viwanja vitarudi CCM watakapoondoka madarakani,

Moshi madiwani wa CHADEMA pamoja na Meya wamejaribu kuwapeleka mahakamani ccm ili warudishe mali za umma walizopora ila ilishindikana kwa madiwani hao kuambiwa kwamba hiyo kesi haiwahusu hivyo mwenye haki ya kufungua mashtaka ni Mkurugenzi wa Manispaa ambaye naye ni kiongozi wa ccm.
 
Hawa majizi hayajatoka madarakani mtakuwa mnapoteza muda maana yote ndiyo yala yale, 2015 hakuna kufanya kosa baada ya hapo ndiyo moja baada ya jingine ynasimamishwa mahakamani
 
mahakamani haitasaidia kwa kuwa DPP ni Mwigulu, hivyo viwanja vitarudi CCM watakapoondoka madarakani,

Moshi madiwani wa CHADEMA pamoja na Meya wamejaribu kuwapeleka mahakamani ccm ili warudishe mali za umma walizopora ila ilishindikana kwa madiwani hao kuambiwa kwamba hiyo kesi haiwahusu hivyo mwenye haki ya kufungua mashtaka ni Mkurugenzi wa Manispaa ambaye naye ni kiongozi wa ccm.
We peleka mahakamani, sisi hatutaki kusema wapigwe. maana hao ni wezi wa kiwanja. Tutakata rufaa mpaka mahakama ya dunia, ikibidi hata kwa mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom