Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Saturday, August 3, 2013 WASIRA NAPE WAONGOZA KONGAMANO LA VIJANA KUJADILI RASIMU YA KATIBA MWANZA c.c Uncle Deo Posted by Albert G.Sengo
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Jana kulikuwa na mjadala mkubwa kuhusu bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Miundo Mbinu, hususan katika utendaji mbovu wa wizara hiyo, ubadhirifu wa mali ya umma, rushwa na wizi wa jumla wa mali ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF, Juzi Mbunge wa Ileje mh. Kibona alitoa mpya, stori ambayo mpaka sasa imeacha maswali mengi na watu wakianza kuhoji elimu na uwezo wa Mbunge huyo. Mbunge huyo alipoombwa kutoa kusalimia...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Ndg mwana JF, siasa za Tanzania zinatupeleka wapi, ndg yako akipata nafasi ukoo mzima unashangilia, ninamshangaa bunge wa chadema ilemela kwa kupitia kaka yake Aitwaye CHARLES KIWIA...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Mahakama ya Hakimu mkazi Arusha imewaachia huru wanafunzi 17 wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), waliofunguliwa kesi kwa maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Kama mtakumbuka tarehe 24 April...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Ndugu zangu nadhani mtakubaliana namimi kuwa amani ni jambo muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote lile. Hivyo ni lazima tuwe na amani ya kweli ili kufikia malengo ya maendeleo ambayo ambayo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sasa ni dhahiri tumeona Serikali zinazoitwa za umoja wa kitaifa zina lengo la kuua upinzan.tumeona jambo hili kenya na sasa zimbabwe. Mh Tsvangira wa MDC amepoteza viti na kura hata maeneo ambayo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ziara ya Mbowe Gereza Kuu Uyuwi, waibua gumzo kubwa, wafungwa na askari, wasimulia. Kumekuwa na gumzo kubwa miongoni mwa wafungwa na askari katika Gereza Kuu la Uyuwi, kutokana na kupata ugeni...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
  • Closed
Wanaukumbi, Ni vizuri Watanzania wote tuwe na ujasiri wa kuwaambia ukweli hawa ndugu zetu wa Chadema, ukiangalia hali ya kisiasa ndani ya Chadema utaona kabisa baadhi ya viongozi wa Chadema...
3 Reactions
243 Replies
17K Views
Ban Ki-moon United Nations New York, NY 10017 USA 212-963-5012 fax: 212-963-7055 Email: ecu@un.org May 28, 2013 RE: Open Letter of Protest at President Kikwete’s genocide denial and...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau, mwezi Juni kulikuwa na uchaguzi mdogo wa Madiwani Arusha na chaguzi nyinginezo sehemu mbalimbali nchini ambapo CCM walipoteza viti kadhaa kwa CHADEMA. Ktk chaguzi hizo zote, pamoja na ule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MIAKA michache kutoka sasa, uchumi wa Tanzania utaanza kutegemea zaidi nishati ya gesi tuliyonayo. Takwimu zinaonyesha tuna akiba ya gesi ya kiasi cha futi za ujazo (cubic feet), trilioni 40 na...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaza jana nimehudhuria kongamano la kujadili katiba mkoani Mwanza lililoandaluwa na UVCCM nikamsikia Nape akisema tunaweza kujadili katiba bila Chadema na hatuwezi kujadili...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika sheria ya haki "Substantive Justicce" kuna Phrase inayosema. " SUBSTANTIVE JUSTICE SHOULD BE ADMINISTERD WITH UNDUE REGARD TO TECHNICALITIES" Maana yake ni kuwa hata kama kuna kinga amazo...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Ndugu wana JF, Nimekuwa nikufuatilia mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya na niakagundua kwa watanzania wengi na pia vyombo vingi vya habari kama si vyote vimejikata sana katika masuala ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimependezwa na jitihada za kituo cha radio cha Radio One Stereo katika kuwakumbusha wananchi umuhimu mazingira ya amani katika ujenzi wa taifa, bila shaka ni kazi nzuri. Lakini kama wasemavyo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KWA UFUPI Kwa muda sasa, vyama vya upinzani vimekuwa vikiishutumu Serikali kwa kuwashirikisha watumishi hao wa dola kwa kutumia nafasi hizo za kisiasa kukisaidia chama tawala, CCM, kujiimarisha na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Usalama wa nchi yetu hauwezi kulindwa na jeshi pekee, sisi wananchi ni walinzi namba moja wa nchi hii. Nasema haya kwasababu hadi sasa kuna watu wanaipenda Tanzania ile mbaya kiasi wako tayari...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Matokeo ya Zimbabwe yamenifanya nifikikirie mbali sana. Yamenifanya nifikiri namna ilivyo kazi ngumu kumng'oa mtawala aliyejiwekea mizizi kila kona. Aliyejizatiti kwa kila namna ili asijeporwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi amesema, biashara ya dawa za kulevya inashamiri kutokana na tatizo la rushwa nchini. Mengi alibainisha hayo jana katika uzinduzi wa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom