Ni kweli, Lowassa alipora kiwanja cha KKKT Mbezi Beach!

Ni kweli, Lowassa alipora kiwanja cha KKKT Mbezi Beach!

Mwikimbi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,762
Reaction score
835
Nimepata hii toka kwa Askofu mmoja mstaafu na kutoka idara ya miliki ya kkt, ni kuhusu kiwanja kilichojengwa kanisa la KKT Mbezi Beach. Kiwanja kile waliuziwa na TBL kwa msukumo wa mzee Arnold Kilewo mkurugenzi TBL wakati huo.

Wakati huo Lowassa alikuwa Waziri wa Ardhi. Kwa kutumia wadhifa wake huo, alilizimisha kiwanja kile kikagawanywa mara mbili, yeye akajimilikisha sehemu na nyingine ikabaki kwa kanisa. Kwa ushahidi, ni kuwa sehemu aliyojimilikisha ndiyo amejenga supermarket anayomiliki yeye na Adam kimbisa.

UFISADI KWA HUYU MZEE ULIANZA ZAMANI

-----------
On JF - July 11, 2011
Kwa kifupi huyu Lowassa anataka kuikoleza laana iliyomwangukia.

Tuna habari ya wizi wa kiwanja cha Kanisa la KKKT-Mbezi Beach, ambapo Lowassa amekinyang'anya nusu ya kiwanja na kuwapa ndugu zake na kingine anajenga jengo la ghorofa 4.

Lowassa anatakiwa kutubu mbele ya kanisa aliowanyang'anya kiwanja hicho ili asamehewe
 
Sio kitu cha kuuliza kwa lowassa hii ndio fani yake tangu mwanzo, nashangaa wanao mpigia upatu apate unyerere.
Ccm ni janga la taifa, naombeni tuitomeze kwa nguvu zote
 
Jamaa anaeleweka. Halafu huo kwake sio ufisadi. Huwa anapiga mashuti makubwa ya ufisadi huyu mzee si mchezo.
 
Weka ushahidi. Tumeshawazoea, ni kawaida yenu kumchafua Lowasa.
 
Embu weka uthibitisho wa hayo unayoyasema . Sio vizuri kuleta habari ambayo hauna uthibitisho nayo. Utakija kusutwa kwa umbea na matarumbeta. Shauri yako
 
Huku site mbona yanazungumzwa mengi tu...tangu kitambo! Mzee Kisoryi alishamaliza kila kitu mbona au kuna kilichobaki?
 
aisee nimegundua Lowassa tangu aanze rasmi kupita makanisan na misikitin wale wabaya wake kawapiga bao baya so wanahangaika kuleta chochote kibaya coz inawezekana madhabahun wamefel wamehamia mitandaon. kama ameiba tuleteen ushahd pasinashaka. mbona WTZ tumekuwa tunayapa kipaumbele maneno ya kwenye kanga kuliko uhalisia wenyewe? tunajua Lowassa anawiz wake lakn kwangu mimi ukizungumzi
 
kwangu mimi ukizungumzia ccm nitakwambia wote wez hakuna uafadhali. coz ccm ni genge lililokubaliana kuhakikisha wanaibia wananch sasa mkizidiana huko msije hapa ooh huyu ni mwiz kumbe
 
Weka ushahidi. Tumeshawazoea, ni kawaida yenu kumchafua Lowasa.

Kazi kwako wewe uliye na jukumu la kumsafisha. Msafishe sasa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
siyo dhuluma ya kiwanja tu huyu Lowasa amedhulumu hata wataalam kazi zao , ilipoanguka hotel ya CHANG'OMBE VILLAGE iliyo keko , mtaa wa ngomati , alimfukuza kazi mhandisi wa wilaya ya temeke eneo la tukio na kuwaamuru polisi kumkamata palepale bila hata uchunguzi ( alimdhalilisha sana ) , tatizo la Lowasa ni kuamini kwamba ama ana akili kuliko wengine au kuamini kwamba ' ANASTAHILI ' Kuliko wengine , kitu ambacho ni mapungufu makubwa sana .
 
Rejea kuenguliwa kugombea uraisi wakati uleeeeeeeeeee.
 
Hivi yule mrwanda yukwapi? waliyemwibia mali zake kwa kushirikiana na mama rwakatare, eti nae anatoa mapepo! aje afungue kesi,lowasa achana na siasa pumzika,utakuja kumwaga damu arifu
 
Lisemwalo lipo. Hvi watu wanaomtetea EL wanakula kwake??
 
Kudadadeeeki kumbe ni mwizi mzoefu. copy chama
 
Last edited by a moderator:
Nimepata hii toka kwa Askofu mmoja mstaafu na kutoka idara ya miliki ya kkt, ni kuhusu kiwanja kilichojengwa kanisa la KKT Mbezi Beach. Kiwanja kile waliuziwa na TBL kwa msukumo wa mzee Arnold Kilewo mkurugenzi TBL wakati huo.

Wakati huo Lowassa alikuwa Waziri wa Ardhi. Kwa kutumia wadhifa wake huo, alilizimisha kiwanja kile kikagawanywa mara mbili, yeye akajimilikisha sehemu na nyingine ikabaki kwa kanisa. Kwa ushahidi, ni kuwa sehemu aliyojimilikisha ndiyo amejenga supermarket anayomiliki yeye na Adam kimbisa.

UFISADI KWA HUYU MZEE ULIANZA ZAMANI

-----------
On JF - July 11, 2011

kwenye red inatakiwa kua KKKT/ELCT = KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA
Otherwise ulimaanisha vingine.Siku njema mkuu.
 
alipora au walimpa maana hao kkkt ndio wako msitari wa mbele kumuita kuchangisha harambee za ujenzi wa makanisa wakati walitakiwa kumwepuka maana wanamjua kwa undani ndio maana nawachukia viongozi wa dini kwa unafiki
 
Si huwa anawapa hela zake kaanza kurudisha sasa

"Nchi ngumu hii"
 
Back
Top Bottom