Chadema yaweweseka kipigo cha mdc

Chadema yaweweseka kipigo cha mdc

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Cdm kimeanza kuweweseka baada ya chama kilichokua kina sera kama zake kupigwa mweleka na chama tawala . Chadema kimezoea kukimbilia kwa wakolonI kulalamika kama kinaonewa kama ilivyokua mdc hadi zimbabwe ikawekewa vikwazo lakini wananchi wamekisusa hivyo cdm wasiwe wakawa kama alinacha anakata tawi alilokalia nazani matokeo unayajua, kwa strategy cdm walizonazo kwa ss kama hawatabadilika is like mdc 2015
 
Hivi nyie vijana wa ccm ndio kwamba vichaa vimewapanda au nini shida
 
Mfalme wa kudiss Tanzania, Nay wa Mitego amerejea tena kuchafua hali ya hewa kwa kutengeneza mijadala kwenye radio na kwenye mtandao kwa ngoma yake mpya, Salam Zao. Ameanza kwa kumdiss Madee kwa kusema kuwa yeye ndio rais wa Manzese na kwamba Madee amesanda. "Mi ndo rais wa Manzese yule tozi kasanda, Manzese mikono juu naiongoza kamanda," anachana Nay.
 
Ugomvi kataka yeye,
Kupigwa kapigwa yeye,
Iweje tulie sie?
MAJANGA..! Jamani MAJANGA........
 
Cdm wawewesekaje na njaa ya jirani? Magamba wamekosa propaganda
 
hahaha ukimaliza wewe mbulula kachukue buku saba yako pale lumumba,,, msiangaike nae huyo kwani buku saba yake ipo inamsubiri kwa pumba zake hapa,,, watanzania wa leo sio wa jana wala wa zana za kipindi kile sasa wewe endelea na pumba zako hizo tuone utaishia wapi na chama chako hicho
 
MDC kilichowaponza ni ile ndoa ya Mkeka . Kama ilivyowaponza cuf ! Cdm ni jiwe gumu sana bwanamdogo , hadi lumumba imepauka , usifanye mchezo , mabomu yameshindwa makaratasi yataweza ? Cdm oyeeee !
 
mdc kilichowaponza ni ile ndoa ya mkeka . Kama ilivyowaponza cuf ! Cdm ni jiwe gumu sana bwanamdogo , hadi lumumba imepauka , usifanye mchezo , mabomu yameshindwa makaratasi yataweza ? Cdm oyeeee !
mdc oyee,shangirai oyeeeee,
 
MDC kilichowaponza ni ile ndoa ya Mkeka . Kama ilivyowaponza cuf ! Cdm ni jiwe gumu sana bwanamdogo , hadi lumumba imepauka , usifanye mchezo , mabomu yameshindwa makaratasi yataweza ? Cdm oyeeee !
:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Kweli magamba mmeishiwa sera, kwani Zambia kilipoangushwa chama tawala na CCM mliweweseka? CCM msiwe na akili za samaki (Karume:2012)
 
Back
Top Bottom