CUF kama CORD na MDC Kitegemee kuzikwa Rasmi 2015

CUF kama CORD na MDC Kitegemee kuzikwa Rasmi 2015

lonesome

Senior Member
Joined
Oct 10, 2010
Posts
195
Reaction score
66
Sasa ni dhahiri tumeona Serikali zinazoitwa za umoja wa kitaifa zina lengo la kuua upinzan.tumeona jambo hili kenya na sasa zimbabwe. Mh Tsvangira wa MDC amepoteza viti na kura hata maeneo ambayo yalikuwa ni ngome yake.mpaka jana tumeona akiwa nyuma kwa mbal sana wakat chama cha Zanu PF cha Mugabe kikiwa na viti 52 ktk 62.nliwah kusema yaliyompata ungo na kibeku pia yatampata.baada ya uchaguz wa kenya tuliona Mh Raila Odinga akiwa amepoteza pia. Nchin Tanzania tunaona chama cha CUF baada ya kujiunga na CCM jinsi kinavyopoteza umaarufu. Hii maana yake nin?wananch wanapoona mpinzan anajiunga na chama Tawala naye anakuwa mmoja wao aidha akionesha uchu wa madaraka au kukosa msimamo.Hili ni somo kwa vyama vyetu vya upinzan Afrika.lazima tubadilike ama sivyo upinzan unauawa pasipo sisi kujua. Binafsi mimi huwa napinga huu Muungano unaoitwa wa Serikali ya Mseto.kama chama kimeshndwa kishindwe na kikubali matokeo. CUF kimepoteza mwelekeo wa kisiasa. tunaona jinsi ambvyo Mh Hamad amelewa madaraka alichokuwa anakitaka angalau kapata nusu sasa hana hoja. Prof Lipumba amekuwa msomi anayeidhalilisha Taaluma yake anatoa matamko yasiyoendana na hadhi ambayo tulitegemea angekuwa nayo. Amekuwa hajielew ni kama mtu Aliyevurugwa akil. CCM haijal watoto wa kambo( inatesa wana CUF) Tulitegemea baada ya ndoa wanachama wa CUF wangeheshimiwa imekuwa kinyume msome msikie Mtatiro akilalamika kila siku juu ya wanachama wa CUF kuteswa huko Mtwara. Wananch itafikia hatua watachoka na kuhamia CCM au Chama kingime cha upinzan ambacho kitabak kuonekana ni cha ukomboz kwao. Tukatae hizi Serikal za Kinafiki Zinazoitwa za Umoja wa Kitaifa Huwez kubali kujiunga na shetan eti kwa vile yeye anaonekana uovu wake umekuwa mwing zaid kwa hiyo ili wafuasi wake na wako wasigombane basi Muwe na ushirikiano...
 
Huku bara wasitegemee kupata kiti, watabakia zanzibar tu ambako na kwenyewe watanyang'anywa na mume wao ccm! Mtatiro dumbukia nccr au chama kubwa la ukombozi cdm!
 
Well said Mkuu hizi serikali za mseto ni za kinafiki ukishaingia huo mtego wananchi wanaona kuwa ulikuwa na tamaa ya madaraka! haiwezekani cc huku tupambane 4 change ww upewe madaraka huwezi pata kura tena ukirudi! MDC amepata alichotarajia na sera yake ya kuunga mashoga
 
Kwanza We Mtoa Mada Unaonekana Ni Mtu Ambaye Umekurupuka Tu Bila Kufanya Utafiti,nan Kakwambia CUF imekufa?alafu et pr.lipumba anajdhalilisha,we unaweza kumfkia lipumba ww?msomi,anayetegemewa na dunia? acha u cdm,huo,! HEBU TUPE CV YAKO TUILINGANISHE NA YA LIPUMBA
 
Usimtolee macho mtoa mada,ameeleza kila kitu kiuhalisia na kwa faida ya wananchi,ametoa mifano ya kenya na zimbabwe,amereflect na nguvu ya cuf kabla na baada ya kuwa kwenye serikali,sasa ww unabisha au hutaki? cuf imeshinda viti vingapi vya udiwani kwenye chaguzi ndogo? igunga cuf ilikua na nn na baadae ilipata nn? kauli za lipumba misikitini unazikumbuka? zinaendana na hadhi yake?
Kwanza We Mtoa Mada Unaonekana Ni Mtu Ambaye Umekurupuka Tu Bila Kufanya Utafiti,nan Kakwambia CUF imekufa?alafu et pr.lipumba anajdhalilisha,we unaweza kumfkia lipumba ww?msomi,anayetegemewa na dunia? acha u cdm,huo,! HEBU TUPE CV YAKO TUILINGANISHE NA YA LIPUMBA
 
acheni umbumbumbu nyie chadema ya Zanzibar ni tofauti na huko mlikotaja tatizo la wabongo ni porojo cc znz jinamizi kubwa ni hili ccm ssa nyinyi chadema fanyeni kazi ya kuiondoa ccm madarakani hapo ndo mtagundua kama znz hakuna ccm tunapenda sana chadema mshinde hko bara coz huo ndo mwisho wa ccm znz na mwanzo wa znz huru huku znz huwa hawashindi na kama ingekuwa vyama vya siasa sio muungano wala cuf isingefika huko endeleeni kutoa povu cuf ni ya waznz hatuna haja na kiti Tanganyika. znz kwanza
 
nashangaza mtu ana akili timamu kabisa anakuja kunadi usomi wa mtu hapa jamvini. well Prof Lipumba msomi...so what? baba ako? CUF mnabak kubabaika na usomi wa Lipumba ambao hauna manufaa...msomi wa Dunia my foot. yaan kabisa unakuja na hoja kondefu kama hiyo? Lipumba siasa hawez na hana Elimu ya Siasa hata kidogo. hana mvuto si kwa hoja wala saut. mtu anaweza kwenda kumsikiliza Yusufu Makamba but not Lipumba.ni ukwel usiofichika CUF ipo mahututi inahitaj maombi sana. angalau sasa amebak Mtatiro kidogo hata anaweza kuongea nashukuru yeye hajaenda kanisan kuomba kurA. Lipumba kashafilisika kisiasa...MZIMU WA MAPALALA UTAWASAKA MIAKA YOTE.
 
kamwe chadema haiwezi kuingia kwenye mtego huu wa kijnga!
 
Sasa ni dhahiri tumeona Serikali zinazoitwa za umoja wa kitaifa zina lengo la kuua upinzan.tumeona jambo hili kenya na sasa zimbabwe. Mh Tsvangira wa MDC amepoteza viti na kura hata maeneo ambayo yalikuwa ni ngome yake.mpaka jana tumeona akiwa nyuma kwa mbal sana wakat chama cha Zanu PF cha Mugabe kikiwa na viti 52 ktk 62.nliwah kusema yaliyompata ungo na kibeku pia yatampata.baada ya uchaguz wa kenya tuliona Mh Raila Odinga akiwa amepoteza pia. Nchin Tanzania tunaona chama cha CUF baada ya kujiunga na CCM jinsi kinavyopoteza umaarufu. Hii maana yake nin?wananch wanapoona mpinzan anajiunga na chama Tawala naye anakuwa mmoja wao aidha akionesha uchu wa madaraka au kukosa msimamo.Hili ni somo kwa vyama vyetu vya upinzan Afrika.lazima tubadilike ama sivyo upinzan unauawa pasipo sisi kujua. Binafsi mimi huwa napinga huu Muungano unaoitwa wa Serikali ya Mseto.kama chama kimeshndwa kishindwe na kikubali matokeo. CUF kimepoteza mwelekeo wa kisiasa. tunaona jinsi ambvyo Mh Hamad amelewa madaraka alichokuwa anakitaka angalau kapata nusu sasa hana hoja. Prof Lipumba amekuwa msomi anayeidhalilisha Taaluma yake anatoa matamko yasiyoendana na hadhi ambayo tulitegemea angekuwa nayo. Amekuwa hajielew ni kama mtu Aliyevurugwa akil. CCM haijal watoto wa kambo( inatesa wana CUF) Tulitegemea baada ya ndoa wanachama wa CUF wangeheshimiwa imekuwa kinyume msome msikie Mtatiro akilalamika kila siku juu ya wanachama wa CUF kuteswa huko Mtwara. Wananch itafikia hatua watachoka na kuhamia CCM au Chama kingime cha upinzan ambacho kitabak kuonekana ni cha ukomboz kwao. Tukatae hizi Serikal za Kinafiki Zinazoitwa za Umoja wa Kitaifa Huwez kubali kujiunga na shetan eti kwa vile yeye anaonekana uovu wake umekuwa mwing zaid kwa hiyo ili wafuasi wake na wako wasigombane basi Muwe na ushirikiano...

Mtowa mada Tatizo kubwa hutaki kufahamu ukweli ulivyo. sawa tunajuwa vyama tawala hutumia serikali mseto kuuwa upinzani ndio. lakini jee hutaki kukubali kwamba vyama hivyo hivyo havitaki kuachia madaraka kwa kura ? ni mara ngapi wametumia tume za uchaguzi kuvuruga na wale wanaodai haki zao iwe kwa maandamano, mahkama na njia nyengine huishia kupoteza muda, mali na roho za watu hivi unazani kususia serikali za mseto ndio dawa ya hivi vyama? hutaki kuamini kuwa Zanzibar CUf imenyimwa ushindi mara kadhaa na damu imemwagika mara kadhaa hivi wewe na watu wenye mawazo yenu hamukumbuki? mnataka wazanzibari wafe mara ngapi kwa kupinga dhulma za CCM? au ndio mnafurahi? sasa mmeona hawajafa sio? TATIZO linajulikana CCm hawataki kuachia madaraka hivi mnataka labda mprove mara ngapi labda sasa mnataka muone kwa huko bara ? si mnalalamika tayari CHADEMA imepunjwa? hamjaamini tu CCm hawakubali kuachia madaraka? SULUHU tutumie mazingira yaliopo kwa kushirikiana na kutumia fiursa za kimaeneo kuilazimisha CCM kuachia madaraka, CUF isilaumiwe kwa kukubali kuingia Mseto Zanzibar, Ni wazanzibari ambao wamekuwa muhanga wa mwanzo wa siasa za CCM na ni nyinyi mliowaita wapenda vurugu na kwa wakati ule mkisema hawa watu ni wabaya Nyinyi hamwajuwi CCM ngoja iwafunze, mpaka kukubali huo mseto walishashindwa sana na hawakuwa na hiari . WAPINZANI ni MUHIMU WAUNGANISHE NGUVU. CCM ni Balaa.
 
Mtoa mada mwenyew kajaa unaz kichwan mwake,Kwanza kwa Tz na Chama anachokipigia Debe hakitoipata hyo nafasi ya Mseto japokuwa wanafanya kila jitihad itokee fujo ili wakija wasuruhish waseme kaen meza ya mazungumzo.
R.I.P ChadoMo.
 
kishada umeongea kama mtu mzima kama msomi.binafsi sina unaz maana sina chama chochote kichwan mwangu.chama changu ni mimi binafsi.Hili la Serikali ya Mseto vyma tawala vimeshagundua ndo mwarobaini wa kulazimisha madaraka. nawe nmekupa mifano kwa nchi 2 ambazo vyama viliungana matokeo yake yameonekana. tunaona CUF kwa huku bara hali imekuaje.hiki kilikuwa chama chenye nguvu sana na tishio.sasa hal ikoje? hapa tuongee kama daktar atakavyokwambia una kisonono unatakiwa upate dawa. na si kuogopa kusema mgonjwa ana kisonono kwa vile ni nduguyo.CUF imepoteza mwelekeo.hilo labda tuamue tu kulifumbia macho kana kwamba hatulion.pengne mnaweza kumwona mbaya wenu ni CHADEMA .La hasha. Vyama kama vingekuwa na nia ya dhat ya kumkomboa mtanzania vingeungana lakin kwa sasa ni maslah binafs. nashukuru angalau wewe una hoja flan tofaut na maamuma flan ambao wao ni hopeless kabisa.
 
kukubali serikali ya mseto ni sawa na kutafuna bigijii na kupuliza moto kwa wakati mmoja jambo ambalo haliwezekani
 
CDM is going to collapse even before 2015! Believe it or not!
 
Mtoa Mada amechanganyikiwa ,Hajui adui yake ni nani.
Na wala hajui anamtetea nani..
 
Well said mkuu maana najaribu kuvuta taswiria kampeni za mwaka 2015 maalimu atawaambia nini wazanzibar kua wamchague CUF badala ya CCM wakati wote walikua madarakani, kama ni umaskini, rushwa, Hali ngumu ya maisha basi wote wamechangia hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzie
 
Kwanza We Mtoa Mada Unaonekana Ni Mtu Ambaye Umekurupuka Tu Bila Kufanya Utafiti,nan Kakwambia CUF imekufa?alafu et pr.lipumba anajdhalilisha,we unaweza kumfkia lipumba ww?msomi,anayetegemewa na dunia? acha u cdm,huo,! HEBU TUPE CV YAKO TUILINGANISHE NA YA LIPUMBA

Unatakiwa kusoma na kuelewa maada jinsi mletaji alivyo iwasilisha. Mimi nilivyo isoma sijaona sehemu ambayao mleta maada alipo ema anamzidi Lipumba kielimu ila kasema anajidhalilisha kutokana na matamko yake ambayo hayatekelezeki na hayaendani na elimu aliyonayo na hadhi yake ya kitaifa na kimataifa. Ndugu unatakiwa kujua kkuwa kama unaheshimika kitaifa na kimataifa kwa elimu yako lakini ukawa unatoa matamko yasiyo na tija hapo ni wazi utakuwa unajidhalilisha. CUF ndio kwisha ndugu upende usipende 2015 ni kuanua matanga ya CUF na mazishi ya ccm. VIVA CDM
 
Back
Top Bottom