Nini Faida Ya Kuwa Na Wabunge Hawa Mpaka Sasa na Upatikanaji Wao ni Halali?

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Habari Wakuu!
Unaweza kumnyoshe mwenzako kidole kimoja kwa mabaya, wakati vidole vitatu vingine ukutazama wewe?

Naombeni majibu
1. SAMAHANI NI MTANZANIA GANI ANAJUA WALIVYOPATIKANA HAWA WABUNGE WA CCM VITI MAALUMU

2. JE NINI FAIDA YA TAIFA KUWA NA HAWA MPAKA SASA

3. WAMECHANGIA NINI MPAKA SASA KATIKA TAIFA NA BUNGENI

4. NI YUPI UNAMKUBALI KIASI.

5. JE NI KWELI KUINGIA KWAO PAMETOKANA NA VIGOGO NDANI YA CCM.!
Amina Nassoro Makilagi.
Gaudentia Mugosi Kabaka,
Ummi Ally Mwalimu,
Agnes Elias Hokororo,
Martha Jachi Umbulla,
Lucy Thomas Mayenga na Faida Mohamed Bakari,
Felista Alois Bura, Kidawa
Hamid Saleh,
Stellah Martine Manyanya,
Maria Ibeshi Hewa,
Hilda Cynthia Ngoye,
Josephine Johnson Genzabuke na Esther Lukago Midimu,
Maida Hamad Abdallah,
Asha Mshimba Jecha,
Zarina Shamte Madabida,
Namalok Edward Sokoine,
Munde Tambwe Abdallah,
Benardetha Kasabago Mushashu,
Vick P. Kamata,
Pindi Hazara Chana,
Fatuma Abdallah Mikidadi,
Gertrude Rwakatare,
Betty E. Machangu, Diana
Mkumbo Chilolo,
Fakharia Shomari Khamis,
Zaynabu Matitu Vulu, Abia
Muhama Nyabakari,
Pudenciana Kikwembe,
Lediana Mafuru
Mng’ong’o, Sarah Msafiri Ally,
Catherine V. Magige,
Ester Amos Bulaya,
Neema Mgaya Hamid,
Tauhida Galos Cassian,
Asha Mohamed Omari,
Dkt. Fenella E. Mukangara,
Terezya Lwoga Huvisa,
Al-Shaymaa Kwegir na
Margreth Mkanga,
Angellah Jasmin Kairuki,
Zainab Rashid Kawawa,
Mwanakhamis Kassim Said,
Riziki Said Lulida,
Devotha Mkuwa Likokola,
Christina Ishengoma,
Mariam Salum Mfaki,
Margreth Simwanza Sitta,
Subira Khamis Mgalu,
Rita E. Kabati,
Martha Moses Mlata,
Maua Abeid Daftari,
Elizabeth Nkunda Batenga,
Azza Hillal Hamad,
Mary Machuche Mwanjelwa,
Josephine T. Chengula,
Bahati Ali Abeid,
Kiumbwa Makame Mbaraka,
Roweete Faustine Kasikila,
Anastazia Wambura na Mary Piusibuda

ASANTENI TUJADILI KWA DHAMILA SAFI YA KUJENGA TAIFA...

Pls mod usiunganishe hii thread na yoyote acha iwe huru.
 
Mukuu ni wa kuongeza idadi ya kula kwa sism bungeni. mpka sasa usitalajie ccm kushindwa bungeni kwa kula maana ni wengi.

ukiwaondoa chma kitakosa nguvu.
 
Ritz, Hammy-D, Faizafoxy,Highlander,Nguruvi,Baba V, BenSaanane...

Na wengineo hebu njooni huku kuna mtu kageuza shilingi

Ila mipasho kejeli na matusi sio ishu ziwekwe hoja mbivu na mbichi zijulikane

By the way viongozi wa vyama husika hizi thread ndo zinawahusu hebu njooni mpambanue ukakasi. Au kwa kuwa hakuna mic huku???!!
 
Jiulize weye '''' faida yako'' hao ni wanawake waliowezeshwa! Mbatia ucmweke
 
Ritz, Hammy-D, Faizafoxy,Highlander,Nguruvi,Baba V, BenSaanane...

Na wengineo hebu njooni huku kuna mtu kageuza shilingi

Ila mipasho kejeli na matusi sio ishu ziwekwe hoja mbivu na mbichi zijulikane

By the way viongozi wa vyama husika hizi thread ndo zinawahusu hebu njooni mpambanue ukakasi. Au kwa kuwa hakuna mic huku???!!

Kama huyo Vick Kamata hakuna swali na saivi anatulelea ka little prince, na huyo Munde ana mchango mkubwa sana kwenye kusafiri masogange yetu. Si unajua tena ile imekuwa dili ya chama chetu..!?
 
Last edited by a moderator:
Kama huyo Vick Kamata hakuna swali na saivi anatulelea ka little prince, na huyo Munde ana mchango mkubwa sana kwenye kusafiri masogange yetu. Si unajua tena ile imekuwa dili ya chama chetu..!?

Duuunh hope una facts on those!!!!

Wamepatikanaje??? Wana faida kwa taifa??? Ni kweli kuwa ni matunda ya nepotism????
 
Last edited by a moderator:
hawana faida yyte zaidi ya kusema ndiooooooooooooo na kuongeza mzigo kwa mlipa kodi
 
Hii hoja mimi naona ya jino kwa jino, mleta mada ameonyesha kumjibu yule mwenye mada ya cdm kupeana vyeo kiundugu. Ila hajamjibu bado, maana hoja yake haikua kwaini cdm inawabunge viti maalum, ama wasiochangia bungeni la. Hoja ni kuchaguana kwa vigezo undugu. wapinzani ili kuonyesha nyie tofauti ccm, msifanye/msijibu mbona ccm wanafanya. Nini itakuwa tofauti hicho chama au ni A na B? ama kulwa na doto. kumbukeni kuna watu mpaka leo,hawana kadi ya chama chochote siasa, ila ni wapiga kura hawa watu hubadirika wkt wowote.
 
tatizo la wabunge maalumu halipo ccm hata chadema ndio maana lilitakiwa kuzungumzwa kwenye katiba huru hakuna mfumo unaoeleweka wa utoaji hivyo viti maalumu pia tija yake haionekani kama ni uzoefu kipindi kimoja kinatosha na hilo limethibitishwa na halima Mdee ila kuna watu miaka nenda rudi wako kwenye viti maalumu
 
Hapa unamzungumzia mtu kama Anna Abdalah, Sofia Simba , Maria Ibeshi Hewa huyu hata meno yameanza kungooka kwa sababu ya umri .....
 
Hii hoja mimi naona ya jino kwa jino, mleta mada ameonyesha kumjibu yule mwenye mada ya cdm kupeana vyeo kiundugu. Ila hajamjibu bado, maana hoja yake haikua kwaini cdm inawabunge viti maalum, ama wasiochangia bungeni la. Hoja ni kuchaguana kwa vigezo undugu. wapinzani ili kuonyesha nyie tofauti ccm, msifanye/msijibu mbona ccm wanafanya. Nini itakuwa tofauti hicho chama au ni A na B? ama kulwa na doto. kumbukeni kuna watu mpaka leo,hawana kadi ya chama chochote siasa, ila ni wapiga kura hawa watu hubadirika wkt wowote.

We tulia tu mkuu mijadala kama hii inawapa watu mwanga wa nini ndio nini na nani ndio nani,kaa pembeni fanya analysisi na uelimishe jamii juu ya ubaya wa kuwa washabiki wa siasa na vyama

Waeleze sana juu ya uzalendo na objectivity kwenye kufanya maamuzi sahihi,hapo tu ndio tutabaki salama siasa ni mchezo mchafu na mtaji wake ni watu wasio na tarifa za kutosha juu ya nini kinafanyika na athari ya kinachofanyika juu ya maisha yao

Hatutakiwi wote kuwa na kadi za chama wengine tubaki neutral ili kiweza kuchambua yeyote kwa mada yoyote na kusema ukweli bila ya kuogopa maslahi ya chama au vyama
 
Hii hoja mimi naona ya jino kwa jino, mleta mada ameonyesha kumjibu yule mwenye mada ya cdm kupeana vyeo kiundugu. Ila hajamjibu bado, maana hoja yake haikua kwaini cdm inawabunge viti maalum, ama wasiochangia bungeni la. Hoja ni kuchaguana kwa vigezo undugu. wapinzani ili kuonyesha nyie tofauti ccm, msifanye/msijibu mbona ccm wanafanya. Nini itakuwa tofauti hicho chama au ni A na B? ama kulwa na doto. kumbukeni kuna watu mpaka leo,hawana kadi ya chama chochote siasa, ila ni wapiga kura hawa watu hubadirika wkt wowote.

Maono mazuri ila lengo sio ilo mkuu, vip kwa hao wabunge wa CCM, Je awajependekezwa na ndugu zao vigogo ndani ya CCM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom