Kifo cha Mholanzi huko Serengeti na mwitikio wa mawaziri wawili... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha Mholanzi huko Serengeti na mwitikio wa mawaziri wawili...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jingalao, Jun 22, 2012.

 1. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,478
  Likes Received: 10,696
  Trophy Points: 280
  katika taarifa ya habari ya leo nimeshuhudia mawaziri wawili(yule wa mambo ya ndani na yule wa maliasili na utalii) wa JMT wakifika katika eneo la tukio.
  sio muda mrefu tuliwahi kusikia mauaji ya kutisha mfano kiongozi wa chadema kuchinjwa na chainsaw,vijana wanne kunyongwa,zeru zeru kuuliwa kikatili na viungo vyake kunyofolewa.

  swali;je mawaziri wanathamini wazungu kuliko watanzania?  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani hao chadema ni watalii (wageni) humu nchini?
   
 3. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Serikali imehofu kwani image ya nchi imekuwa 'turnshed'. Habari hiyo imetangazwa na vyombo vya habari vya kimataifa, hivyo Tanzania itaonekana siyo salama.Tutakosa misaada na watalii hawatakuja kwetu na kuleta fedha za kigeni tusipofanya kama mawaziri walivyofanya.
   
 4. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,478
  Likes Received: 10,696
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo image ya nchi haitakuwa turnished iwapo albino au mwenyekiti wa chadema akinyongwa au kuchinjwa!


  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 5. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mi nadhani kuna njama ili watalii wasije Tanzania.Hizi ni njama za makusudi kabisa ili Tanzania ionekane si salama kwa watalii,tumeshuhudia hivi karibuni jirani yetu akisema Tanzania sio salama kwani Zanzibar kuna vurugu na wakati huohuo ikumbukwe kwa muda mrefu waliwahadaa walimwengu kuwa Kilimanjaro iko Kenya. Serikali ifanye uchunguzi wa kina juu ya suala hili.
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  ahahah! Walienda kwa AMRI ya DHAIFU.
   
 7. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Watanzania wangapi wanauawa kila siku na bado hata polisi hawafiki eneo la tukio? Unafiki utawaua hawa viongozi wetu! Bora watz 1000 wafe kuliko afe mmarekani au muholanzi mmoja! Shame!!!
   
 8. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Chezea Mzunge wewe!
   
 9. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ipo kazi!!!!
   
 10. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Tanzania ,kusema kweli usalama umepungua kwa kiasi kikubwa sana ,hali inatisha ,tulianza kulana wenyewe kwa wenyewe ,hakuna aliesema ,na akikamatwa jambazi baada ya mida mchache ataonekana mitaani.

  Leo hii watu ndani ya nchi yao wanajenga nyumba kama jela ,madirisha vyuma mlango chuma ,wengine huweka na umeme, Yaani hata maduka sasa yamekuwa ya ajabu ,yaani muuzaji anakuwa yupo behind bar .

  Ni bora watu waruhusiwe kubeba silaha kama vile Yemen au Somalia.
   
 11. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,478
  Likes Received: 10,696
  Trophy Points: 280
  hizo njama ni pamoja na mauaji ya albino ?
   
 12. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Zomba Hebu acha dharau usifikiri mgeni hapa jamvin Suala la ban tu
   
 13. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Kitendo cha hao mawaziri kushughulikia hili tukio fasta kiasi hicho kiwe pia kwenye mambo mengine yanavyomwathiri mtanzania/watanzania...

  Ni kweli imagine ya Tanzania nje ya nchi inaharibika, serikali haiwezi kukaa kimya lazima ifanye jitihada zinazotakiwa kwenye hiyo issue...
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  tandahimba walikufa watu walipigwa risasi ila sijaona respond hii.
  Imagine mawaziri wawili pamoja na helcopter ya polisi,
  watanzania tunachukuliwa kama mbwa mbele ya wazungu.
   
 15. T

  TUMY JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Are you serious braza, hayo maneno kwenye rangi nyekundu unajua madhara yake lakini
   
 16. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Acha upuuzi usiweke siasa kwenye kila kitu, hii ni kitu serious wewe!

   
 17. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Neo imperialism; hata huyo msaidi wa meneja mswahili hatusikii anatajwa kama hao wajomba. Silly bussiness
   
 18. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kwanini huu usiitwe UDHAIFU?
   
 19. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mtanzania mzalendo na asili ni mkimbizi na mtumwa ndani ya nchi yake. Tusingekuwa hivyo baba yako na babu yako asingenyang'anywa ardhi yake ya madini na nishati na mali asili nyingine na kupewa mwekezaji mweupe ambaye ndege zinatua kiholela kuchuma shamba la bibi!!! Hivi ile Rada ya Chenge haiwezi kumulika ndege hizi?
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Nilivyosoma heading ya hii thread nilitaka ni support ulivyoweka mambo ya Chadema kumbe una tofauti na hao Mawaziri, serikali inatakiwa kuwangalia raia wake wote wapatao matatizo.
   
Loading...