Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nasari (dogo janja), leo amewafuta machozi yatima katika kusherekea sikuu ya Id, baada ya kuwapatia chakula pamoja na pesa taslimu (hawajataja kiasi) watoto yatima katika vituo vilivyoko moivaro ktk jmbo lake.
Vituo hivyo ni long safari orphanage na faraja orphanage.
Kituo cha Faraja kina yatima 80 ambao mb huyo pia anawasomesha kwa kuwalipia ada.
Mkuu wa kituo hcho, alimshukuru mb huyo kwa misaada hyo na moyo wa huruma huku mb huyo akisema,' nilimwomba Mungu nisiwe mb na kuwasahau jamii hasa yatima..Mungu anisaidie...alisema mb huyo alie na moyo wa huruma kama anavyofanya pia mb wa Arusha mjin Godbles Lema anaesomesha yatima 3000,
source: sun rise radio Arusha