London Evening Standard

London Evening Standard

uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
438
Reaction score
135
Nina gazeti la jana la London Evening Standard.Ni gazeti linalotolewa free kwenye station zote za reli.Linasomwa na watu 1.69 million jijini London.
Page ya kwanza iliochukua uzito inasoma hivi:

CHARITY GIRLS IN ACID HORROR halafu kuna picha 2 za hawa teenage girls,Kirstie Trup & Katie Gee.

Hii feature article inaendelea hadi page 5 kuna picha zao tena ,kwa ufupi inaelezea walikuwa Zanzibar kuvolunteer kwenye art charity .Katie anatarajiwa kujiunga na Nottingham University kusoma sociology next month na mwingine Bristol Uni kusoma History.

Page 5 also kuna sub-heading "Island paradise with a dark underbelly"
Inaelezea uzuri wa Zanzibar,hata developers kujaribu kuiturn into another Seychelles.Lakini sio hivyo tena ,inasimulia
allegations za uchakachuazi wa matokeo ya uchaguzi na CUF kutaka uhuru toka Tanzania.
Inazungumzia the rise of Islamic Party Uamsho(The Awakening).Pamoja na boom ya utalii,bado kuna matatizo ya ajira,a heroin epidemic na umaskini.


Hii ni PR mbaya sana .Ziara za Obama,Bush,Clinton au Shinawatra nchini haziwezi kupewa heading kama hii.
 
CNN hapa saizi wametoa habari ya Acid attack kwa hao mabinti huko Zanzibar wanarudishwa nyumbani..
JK na watu wake wa usalama waamke sio ishara nzuri hata kidogo..
 
Sky news wameirusha pia habari hii. Wamesema wadada wanakuwa evacuated to uk for more medical attention.
 
Noma sana, cha kujiuliza kosa la hawa wadada ni nini?
 
hili la watoto wa london litatupeleka pabaya!muingereza kwa kukuza maneno hajambo!
 
tumevuliwa nguo...tupo uch mtupu.
 
Mawazo finyu!
We ndio unamawazo finyu,Zanzibar ni nchi,inamipaka yake,ina rais wake inabendera yake,ina wimbo wake wa Taifa na raia wake wana vitambulisho vyao vya uraia so acha wafanye mambo yao.
 
Nchi ya Tindikali,unga,ufisadi.ung'oaji watu meno na kucha,mauaji,wizi wa mali ya umma,kuua tembo,udini nk


Waulizwe hao WAISLAMU wa Zanzibar hao watoto wenye miaka 18 wamewakosea nini hadi kuwapa adhabu isiyowafaa kiasi hicho?

Walikuwa kwenye Mfungo wa Ramadhani,ndiyo mawaidha yaliyokuwa yakitolewa hayo kuwafanyizia watu wasio na kosa lolote bila sababu za msingi?


TUNAOMBA MAJIBU TOKA ZANZIBAR
 
Kinachonisikitisha ni Hali ya udini iliyojikita Zanziba. Yote haya yamejengeka vichwani mwa wale wanaotamani Zanzibar iwe nchi ya kiislam
 
mafunzo wanayopewa green gurd ndio yameshika kasi ngoja tukaribie uchaguzi inabidi tutembee tumevaa helmet mwili mzima.
chezea chemba wewe
 
vmino....

hivi mzungu hata akitembea bila pichu utamtamani kweli?ngozi zao hazina hata mvuto ingekuwa mbantu afunge sebene alafu avae trouser au hiyo mini hapo saumu lazima itenguke.....
 
Mambo mazuri yakifanyika yatangazwe na kusifiwa..mabaya pia yatangazwe na kuonyesha hali halisi ya ubaya..
Tena hii habari imesambaa kila mahali nchi za kwanza, safi sana..!!!
 
Back
Top Bottom