Swali, Bajaji 400 Kikwete alizowaahidi wanawake wajawazito ni kwa Tanzania nzima? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali, Bajaji 400 Kikwete alizowaahidi wanawake wajawazito ni kwa Tanzania nzima?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwafrika, Sep 20, 2010.

 1. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kama mnakumbuka, Mheshimiwa wetu mpendwa Jakaya mwana wa Kikwete alitoa ahadi (moja kati ya mamilioni ya ahadi alizokwishatoa so far) kuwa atawanunulia wanawake wajawazito Bajaji mia nne ili zitumike kama ambulance ya kuwapeleka zahanati wakati wa kujifungua.

  Ahadi hii kama sikosei ilitolewa mbeya (au moja ya mikoa ya kusini yenye milima na mabonde). Swali langu kwa wenzangu wana JF (hasa hasa wanachama 700 waliopiga kura hapo juu kuwa wanataka JK aendelee kuwa raisi wa Tanzania), hizi Bajaji 400 zitakuwa kwa ajili ya Tanzania nzima au ni kwa mkoa husika pekee. Swali la nyongeza, ikiwa mpango huu ni mzuri hadi kuingia kwenye hotuba ya raisi (hapa ninakuangalia wewe January Makamba), serikali inampango wa kununua bajaj zaidi za kutosha kutumika Tanzania nzima?
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wakati huo huo somewhere in Tanzania:

  [​IMG]
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wakati huo huo mama Salma Kikwete anatumbua dola 15,000 kwa masaa matano tu kukodi hii ndege:

  [​IMG]
   
 4. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hawa wanahitaji kitu kikubwa zaidi ya Bajaji - jengo zuli la zahanati ya wazazi:

  [​IMG]
   
 5. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ukiuza gari moja kati ya magari 20 ya kifahari ya Kikwete, hawa watapata kitu zaidi ya Bajaj:

  [​IMG]
   
 6. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Imetulia!
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nikimwona huyu mzee namkumbuka raisi wangu akienda kuomba omba nje ya nchi!

  [​IMG]
   
 8. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hawa wamefikishwa hospitali (kwa bajaji) ndani ya jiji la daresalaam, wamefanya kazi nzuri ya kuleta uhai duniani, serikali ya Kikwete inawalaza chini kwenye sakafu.....yeaaaa, chini kwenye sakafu (k....a n...a z@%&(($&((#*(#(((#$@ mafisadi wa ccm mnatia hasira kweli):

  [​IMG]
   
 9. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Dk Slaa alimwambia Jk hizo bajaji azijaribishie kwa mke wake kwanza
   
 10. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu,

  Ukiangalia nyingi ya ahadi ambazo raisi wetu anazitoa, utagundua CCM wametukalia juu ya vichwa vyetu. Wametufanya misukule ya kwenda kulima bila fahamu!! CCM kwa sasa inatengeneza elite families kwa ajili ya kututawala, huwa ninaumia sana pale vijana wetu wa vyuo vikuu, hasa UDOM wanavyoshindwa kupembua mitego ya CCM.

  Ki ukweli ahadi ya BAJAJ 400 kwa waja wazito ni tusi kwa wananchi. JK ametufanya wajinga wa kwanza na mwisho!! Nawaasa watZ wenzangu kuwa makini na hizi ahadi, zinadhihirisha wazi CCM wameishiwa, na ni wakakti wetu kuwafukuza kwenye madaraka.

  Go Slaa, Go CHADEMA, we are tired of CCM, at least something different!!
   
 11. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mchungaji sijui kama JK anajua basically akiwa huko nje anazunguka kulia lia shida hana tofauti na huyu mzee!!! Ningependa TISS na watu wake wampelekee hizi, aone nasisi tunajua sasa!!
   
 12. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Wametoa wapi hela za kumkodia huyu mama ndege akapige kampeni!!!

  Ngoja tu dawa yao iko kwenye box la kura. Mh. Mbowe tafadhali tunaomba mkakati wa kuchunga kura zetu.
   
 13. F

  FM JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bajaji kwa ajili ya kuwapeleka akina mama wajawazito zahanati!!!!!!! naamini sehemu zinakolengwa kupelekwa hizo bajaji (kama kweli zitapatikana) hata barabara za uhakika hakuna. Ee Mungu endelea kulinda mama zetu.
   
 14. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  huyu sio tu hakupata bajaji wakati wa kujifungua, serikali ya Kikwete haikumlinda asidhuriwe na sumu za kampuni fisadi la madini ya dhahabu la Barrick:

  [​IMG]
   
 15. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mkulu Nyunyu,

  Serikali ya Kikwete sio tu haiwaogopi watanzania, haimuogopi hata MUNGU muumbaji. Wanafanya mambo hadharani na kwa makusudi kwa vile hawajali matokeo ya vitendo vyao.
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]


  Maisha bora

  [​IMG]
   
 17. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Haya ndiyo maendeleo wanayopita wakiyanandi kila kona.
  Wananchi wenzangu, enough is enough; time for changes has arrived.
  Kick CCM out of power same as POLIO out of Africa.
   
 18. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Huyu bibi mzee, amekuwa hivi kwa mikataba mibovu ya watendaji wa serikali ya CCM. Wananchi wa North Mara wako entitled kuindwa wao pamoja na amzingira yao!! Muwekezaji uchwara mmoja anaruhusiwa kuumiza wananchi namna hii!!! Kisa nchi haiwezi endelea bila ya wawekezaji!!! JK kweli.....!!!

  Akiwa France akaulizwa kwanini TZ masikini, proudly anaema "...hata mimi huwa najiuliza, sielewi..."
  :confused2: halafu kuna watu humu badio wanansema JK kiongozi bora...
   
 19. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Asingeweza kuelewa, Kikwete anaishi maisha ya kifahari sana. Hajui hali ya kawaida ya masikini. Yeye anadhani kuwa mtoto kama huyu anataka pipi na sio shule na huduma bora za afya:

  [​IMG]
   
 20. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  CCM inatumia mtaji wa ujinga na umasikini walio ujenga kwa watanzania ili waendelee kuwa- support. Some of ccm supporters have no choice!
   
Loading...