CHADEMA kinabebwa na majina ya watu na sio sera

CHADEMA kinabebwa na majina ya watu na sio sera

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Vyama vingi hasa vya upinzani kikiwemo CHADEMA vinabebwa na majina ya watu hasa wale walio na umaarufu lakini ukimuuliza hata mwananchi wa kawaida nini sera ya CHADEMA kuhusu ardhi haijui,nini sera yake kuhusu elimu,afya,usalama wa taifa,polisi,kuhusu vyuo vikuu, kuhusu uwekezaji ,nishati na madini yetu, gesi hakuna hata mtu mmja anaweza kueleza watu tukaelewa ila ukitaja unamjua dk slaa au unamjua mh mbowe ama zito watakwambia ndio na ndio maana nipo CHADEMA.

My take
NCCR ilikufa kwasababu chama kilibebwa na watu na sera za chama hazikueleweka kwa wananchi kama CHADEMA hivyo Mrema alipoondoka kwa kuwa watu walifata majina na umaarufu wa kiongozi wote wakahama chama kikapungua nguvu,vilevile TLP, CUF na UDP utaona vyama sera zao hazieleweki ispokua viongzi wao ndio wananchi wanawajua.

Sasa CHADEMA wanakubalika sehemu za mijini na sababu kubwa ni vijana wengi hawana ajira na hivo kupiga kura za kuiadhibu CCM ila si kwamba wameelewa sera za chama ambacho wanakichagua ilakwakua no other choice.

Hivyo ili CHADEMA wafanye vizuri wasitumie jina la mtu au umaarufu wa mtu watangaze sera zao vijijini wananchi wakielewa sera hapo ndipo chama kitakua na nguvu na si nguvu ya soda.
 
Vyama vingi hasa vya upinzani kikiwemo chadema vinabebwa na majina ya watu hasa wale walio na umaarufu lakini ukimuuliza hata mwananchi wa kawaida nini sera ya chadema kuhusu ardhi haijui,nini sera yake kuhusu elimu,afya,usalama wa taifa,polisi,kuhusu vyuo vikuu, kuhusu uwekezaji ,nishati na madini yetu, gesi hakuna hata mtu mmja anaweza kueleza watu tukaelewa ila ukitaja unamjua dk slaa au unamjua mh mbowe ama zito watakwambia ndio na ndio maana nipo chadema. Mytake nccr ilikufa kwasababu chama kilibebwa na watu na sera za chama hazikueleweka kwa wananchi kama chadema hivyo mrema alipoondoka kwa kuwa watu walifata majina na umaarufu wa kiongozi wote wakahama chama kikapungua nguvu,vilevile tlp,cuf na udp utaona vyama sera zao hazieleweki ispokua viongzi wao ndio wananchi wanawajua. Sasa chadema wanakubalika sehemu za mijini na sababu kubwa ni vijana wengi hawana ajira na hivo kupiga kura za kuiadhibu ccm ila si kwamba wameelewa sera za chama ambacho wanakichagua ilakwakua no other choice. Hivyo ilichadema wafanye vizuri wasitumie jina la mtu au umaarufu wa mtu watangaze sera zao vijijini wananchi wakielewa sera hapo ndipo chama kitakua na nguvu na si nguvu ya soda.

CCM inabebwa na wauza unga. Jitihada za kudhibiti uuzaji wa unga unaiua CCM hivi hivi.
 
Anaebisha aje nimuelekeze wabunge wengi wa chadema wamepatikana sio kwa sera bali umaarufu babu na mh zito ,mh zito aliacha jimbo lake na kwenda majimbo ya wagombeaji wengine kukampeni, hakuna mtu anaelewa sera hasa za chadema katika kumkomboa mwannchi zadi ya kusema ccm wezi mafisadi sawa tumekubali leta sera mbadala hamna. Chama makini lazima kisibebwe na watu bali sera zake. Sasa chadema kuna ugonjwa umeingia unaitwa slaaamophobia huo ni hatari sana kwani hauna dawa hivo wasipojipanga kutoa kinga ni ugonjwa hatari.
 
Wezi wa magari,wezi wake za watu,magaidi wa raia,wabeba sumu wasipate nafasi za kujiimarisha kisiasa
 
Mleta mada tuambie itikadi ya CCM ni ipi kwa sasa?
Tuambie sera za CCM kuhusu:-
Michezo
Afya
Elimu
Ulinzi
Usalama wa Raia
Uwekezaji kwa wazawa
Wanyama pori
Maliasili
Dhahabu
Uranium
Tanzanite
Nickel
Coal
Gas
Biashara ya ndani na nje
Mambo ya nje
Chuma
Uvuvi
Kilimo
Uwindaji
Madawa ya kulevya
Kutorosha fedha za kigeni ...
 
mleta mada tuambie itikadi ya ccm ni ipi kwa sasa?
Tuambie sera za ccm kuhusu:-
michezo
afya
elimu
ulinzi
usalama wa raia
uwekezaji kwa wazawa
wanyama pori
maliasili
dhahabu
uranium
tanzanite
nickel
coal
gas
biashara ya ndani na nje
mambo ya nje
chuma
uvuvi
kilimo
uwindaji
madawa ya kulevya
kutorosha fedha za kigeni ...
watanzania bwana unamuuliza nataka kufika ubungo nafikaje??? Naye anakuuliza kwani umetoka wapi??
Shame
 
Mpaka sasa CHDEMA ni sera zake na wala sio mtu. Mnapata shida sana hata humu JF kumshambulia Dr. Slaa kwa kuwa mna hizo fikra potofu. Mbowe kule Arusha alitupiwa bomu likamkosakosa kwa sababu ya fikra kuwa Slaa na Mbowe wakiondoka CDM itasambaratika. Poleni sana.CHADEMA ni kitu kingine kabisa tofauti na mnavyowaza. Hata wale waliopo uongozini wakiondoka CDM kitabakia na nguvu zake. Hiki hakifi kama hivyo ulivyotaja.
 
Kwani kuna watu wanazielewa Sera za CCM?Bibi yangu katika umri wake wa miaka 92 hafahamu chochote kuhusu sera za CCM lakini anaipenda CCM kama nini.Cha ajabu Viongozi wengi wa CCM hakuwa akiwafahamu zaidi ya Nyerere.Zunguka maeneo mengi ya ndani kabisa huko vijijini wakazi wa huko bado wanaamini mpaka leo Nyerere ndio Rais wa Tanzania.Mpaka hapo bado una tatizo?
 
Anaebisha aje nimuelekeze wabunge wengi wa chadema wamepatikana sio kwa sera bali umaarufu babu na mh zito ,mh zito aliacha jimbo lake na kwenda majimbo ya wagombeaji wengine kukampeni, hakuna mtu anaelewa sera hasa za chadema katika kumkomboa mwannchi zadi ya kusema ccm wezi mafisadi sawa tumekubali leta sera mbadala hamna. Chama makini lazima kisibebwe na watu bali sera zake. Sasa chadema kuna ugonjwa umeingia unaitwa slaaamophobia huo ni hatari sana kwani hauna dawa hivo wasipojipanga kutoa kinga ni ugonjwa hatari.

we bata, nipe sera ya ccm kuhusu elimu,nipe sera ya ccm kuhusu mali asili na rasilimali za nchi, chadema wana sera za nguvu, sera ya docta slaa kuhusu vifaa vya ujenzi kushushwa viwe bei rahisi si kikwete na ccm si walipinga? Mbona makam mwenyekiti wako wa ccm bara aliikubali hiyo sera? Sera ya wanafunzi wa shule ya msingi kusoma bure ni ya chama gani mkadakia? Katiba mpya nani kaipropose si chadema? Unajua maana ya peoles power? Ni nguvu ya uma, maana yake rasili mali zote za nchi maamuz ni wananchi na si kama ccm wanavofanya kuwa akilala kiongoz akiamka anasain mkataba wa familia yake. Soma katiba ya chadema kabla hujaropoka
 
Maadam mods wamekuruhusu uteme pumba Napita
 
subiri utauziwa mfuko wa cement buku5 narrow minded
 
Mtoa mada umeeleza vizuri cjuiunajichanya wap,sela ya CCM kuhusu ajira kwa vjana imeshndwa mbadala wake ni ya CHADEMA
 
watanzania bwana unamuuliza nataka kufika ubungo nafikaje??? Naye anakuuliza kwani umetoka wapi??
Shame

...bila ya kujua ulipotoka na ulipo,kawamwe hauwezi kujua unakoenda..."CHA KUTUMIKA JITAMBUE"...
 
Mtoa mada umeeleza vizur cjuiunajichanganya wap,sela ya CCM kuhusu ajira kwa vjana imeshndwa mbadala wake ni ya CHADEMA
 
watanzania bwana unamuuliza nataka kufika ubungo nafikaje??? Naye anakuuliza kwani umetoka wapi??
Shame
swali uliloulizwa lina maana sana kwa sababu na wewe inawezekana ni mjinga mkubwa wa hizo sera za maccm!

Ni kwa kiasi gani Julius Nyerere,Kawawa,Edward Sokoine,Abeid Karume walichangia umaarufu wa ccm?

Je wanachama wangapi wa ccm wanazijua sera za ccm au wanaipenda ccm kwa sababu ya historia tu?

Je ni wanachama wangapi wa vijijini wanaipenda ccm kwa sababu wanazijua vizuri sera za ccm?

Tafakari,acha ujinga!
 
Back
Top Bottom