Agizo la Kikwete dhidi ya wahamiaji linapotoshwa

kalisa

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
37
Reaction score
7
Wafugaji wote wa mkoa wa kagera wenye asili ya Rwanda na Uganda si wahamiaji haramu. Wana residence permits. Na wanatembea nazo, make wao wakikamatwa bila kuwa nanzo siku zote wanatiwa ndani na wanatolewa hela nyingi kabla ya kuachiwa.

Wengine wana vyeti vya uraia, walipewa na Nyerere mwaka 1980, kwa kuzingatia kuwa Rwanda haina ardhi na akawaonea huruma. Lakini taswira iliyojengeka, wahamiaji haramu ni wafugaji tu! Hii inafanywa makusudi na vyombo vya habari na watu wenye maslahi.

Siku zote wasio na permit ni wale wenye asili ya wakulima kutoka Uganda, Burundi, DRC na Rwanda. Lakini wanaolengwa ni wenye permits, why? Kwasababu wana hela, wana ngombe.

Akikamatwa anafilisiwa baadhi ya viongozi wananemeka. Agizo la Kikwete litakuwa la kuwapa ulaji watu wenye madaraka, naweza kuapa kuwa wakulima ambao ni wahamiaji haramu kwa asilimia 98, hawataguswa.

JK angalia hili, Tanzania bila ubaguzi inawezekana.
 
kwa hiyo wewe unataka nini juu yaa hili tamko la jk.
 
kalisa,

..hivyo vyeti alivyotoa Nyerere haviwezi kuwa revoked??

..nchi hii imekuwa kama choo cha city ambapo kila mtu anaingia tu.
 
Last edited by a moderator:
Ardhi ya Tanzania ni ya watanzania na siyo ya wanyaruanda na waganda, Eneo wanalochungia mifugo ni letu watanzania na ni kwa ajili ya mifugo ya watanzania. Huwezi kufugia Tanzania, uingize magonjwa ya mifugo nchini kwetu, upate huduma za kuzuia magonjwa kwa pesa ya watanzania, ukiuza pesa upeleke Ruanda au Uganda. Wakati umefika kwa ardhi hiyo kutumiwa na wasukuma, wamasai, wataturu kwa ajili ya mifugo yao. Hii itasaidia kupunguza migogoro ya wakulima na wafugaji enayoendelea. Muda wa huruma hauko nendeni kwenu!! na dharau zenu
 
Rudi nyumbani tu KALISA . Jina lako linanikumbusha mnyamlenge mmoja alikuwepo hapo Ibwera Bukoba vijiji alikuwa na jeuri sana kisa alipewa hizo unazoziita permit na mtendaji wa kijiji! No wonder maajabu hayataisha Tz.

Ushauri tu rudini kwenu nyinyi ni wabaguzi mno hata kuoleana jambo dogo la kijamii hamuwezi! Mnyalu kwa mnyalu!
 
Wafugaji wote wa mkoa wa kagera wenye asili ya Rwanda na Uganda si wahamiaji haramu. Wana residence permits. Na wanatembea nazo, make wao wakikamatwa bila kuwa nanzo siku zote wanatiwa ndani na wanatolewa hela nyingi kabla ya kuachiwa.

Wengine wana vyeti vya uraia, walipewa na Nyerere mwaka 1980, kwa kuzingatia kuwa Rwanda haina ardhi na akawaonea huruma. Lakini taswira iliyojengeka, wahamiaji haramu ni wafugaji tu! Hii inafanywa makusudi na vyombo vya habari na watu wenye maslahi.

Siku zote wasio na permit ni wale wenye asili ya wakulima kutoka Uganda, Burundi, DRC na Rwanda. Lakini wanaolengwa ni wenye permits, why? Kwasababu wana hela, wana ngombe.

Akikamatwa anafilisiwa baadhi ya viongozi wananemeka. Agizo la Kikwete litakuwa la kuwapa ulaji watu wenye madaraka, naweza kuapa kuwa wakulima ambao ni wahamiaji haramu kwa asilimia 98, hawataguswa.

JK angalia hili, Tanzania bila ubaguzi inawezekana.

Nakubaliana na hoja yako. Hii kauli ni neema kwa polisi, na vyombo vingine vya ulinzi, viongozi wa ngazi za juu mpaka vitongoji. Kama ilivyokuwa kwa magufuli juu ya wavuvi na wafugaji, watu waliteseka mpaka leo walarushwa wanaendelea kuwadhulumu wananchi
 
Lakini tabu yote ya nini mpaka muwape hao polisi ulaji?Kwanini msianze sasa kurudi kwenu mtuache na nchi yetu sisi tunaoongea "utter non-sense".
 
Mshaanza kujitetea eeee?

"Nchi ngumu hii"
 
kwanin waje Tanzania kufuga ng'ombe kila siku tunapiga vita uharibifu wa mazingira wao wanazidi kuja warudi kwao aah vitu vingine sio hata vya kufikiria Mara mbili..hao migration nao wange pitishiwa fagio akili ingerudi
 
Hivi wamasai si wanatafuta ardhi ya kulishia mifugo yao, hawa banyamulenge wametoka wapi?
Muda muafaka wa kuwaondoa otherwise wataleta shida hapo baadae
 
Wafugaji wote wa mkoa wa kagera wenye asili ya Rwanda na Uganda si wahamiaji haramu. Wana residence permits. Na wanatembea nazo, make wao wakikamatwa bila kuwa nanzo siku zote wanatiwa ndani na wanatolewa hela nyingi kabla ya kuachiwa.

Wengine wana vyeti vya uraia, walipewa na Nyerere mwaka 1980, kwa kuzingatia kuwa Rwanda haina ardhi na akawaonea huruma. Lakini taswira iliyojengeka, wahamiaji haramu ni wafugaji tu! Hii inafanywa makusudi na vyombo vya habari na watu wenye maslahi.

Siku zote wasio na permit ni wale wenye asili ya wakulima kutoka Uganda, Burundi, DRC na Rwanda. Lakini wanaolengwa ni wenye permits, why? Kwasababu wana hela, wana ngombe.

Akikamatwa anafilisiwa baadhi ya viongozi wananemeka. Agizo la Kikwete litakuwa la kuwapa ulaji watu wenye madaraka, naweza kuapa kuwa wakulima ambao ni wahamiaji haramu kwa asilimia 98, hawataguswa.

JK angalia hili, Tanzania bila ubaguzi inawezekana.
Kama ni raia, imeelezwa wazik kuwA wasiwe na wasiwasi k,wa sababu wamefuata utaratibu.

Kama wana permits, wasiwe na wasiwasi kwa sababu wamefuata utaratibu.
Ila wawe na passports tujue waliingia lini. Mimi ni mhamiaji huku nilipo na passport yangu ipo kwenye safe just in case na wala sitatahamaki wakitaka kuiona.

Kama wana barua tu za mwenyekiti wa kijiji, hapana lazima waondoke.

Kama mifugo inalishwa kwenye ardhi unayomiliki, kwanini uwe na wasiwasi? Ila kama mnaanza kuwaleta ng'ombe mpaka kwa waluguru, hapo lazima mtapata kichapo toka juu kabisa kule kibungo.
The same applies to our National parks/reserves.

iSSUE SIYO UBAGUZI, NI LIFESTYLE YENU AMBAYO HAIENDANI NA SHERIA ZETU NA MILA NA DESTURI ZETU. KWA KUWA NYINYI NI WAGENI, FUATENI TUNAVYOTAKA SISI, SIYO SISI TUFUATE MNAVYOTAKA.
 
Taratibu za kuishi ndani nchi nyingine zipo wazi? Kwanini mnahisi mnachokwa na wenyeji wenu?
Kwa nini mkubali kunyanyasilka wakati mna kwenu? Rudini kwenu tu!
 
Wafugaji wote wa mkoa wa
kagera wenye asili ya Rwanda na Uganda si wahamiaji haramu. Wana
residence permits. Na wanatembea nazo, make wao wakikamatwa bila kuwa
nanzo siku zote wanatiwa ndani na wanatolewa hela nyingi kabla ya
kuachiwa.

Wengine wana vyeti vya uraia, walipewa na Nyerere mwaka 1980, kwa
kuzingatia kuwa Rwanda haina ardhi na akawaonea huruma. Lakini taswira
iliyojengeka, wahamiaji haramu ni wafugaji tu! Hii inafanywa makusudi na
vyombo vya habari na watu wenye maslahi.

Siku zote wasio na permit ni wale wenye asili ya wakulima kutoka
Uganda, Burundi, DRC na Rwanda. Lakini wanaolengwa ni wenye permits,
why? Kwasababu wana hela, wana ngombe.

Akikamatwa anafilisiwa baadhi ya viongozi wananemeka. Agizo la Kikwete
litakuwa la kuwapa ulaji watu wenye madaraka, naweza kuapa kuwa wakulima
ambao ni wahamiaji haramu kwa asilimia 98, hawataguswa.

JK angalia hili, Tanzania bila ubaguzi inawezekana.

acha kuweweseka wewe. kama wewe si mtanzania na umeingia kinyemela na hizo permit zako za magumash jiondokee mwenyewe kabla hujakurupushwa
 
Nakubaliana na hoja yako.
Hii kauli ni neema kwa polisi, na vyombo vingine vya ulinzi, viongozi wa
ngazi za juu mpaka vitongoji. Kama ilivyokuwa kwa magufuli juu ya
wavuvi na wafugaji, watu waliteseka mpaka leo walarushwa wanaendelea
kuwadhulumu wananchi

na wewe ni mnyarwanda ambaye mnataka huruma za jk. hili tatizo la wahamiaji haramu ni la miaka mingi kagera na kigoma. mbaya zaidi mkiingia hapa tz mnajifanya nyie ndo wenye nchi
 
yeah..nadhani waende kwao tu....kwanza hata sasa loan board iwe makini...kwa miaka mingi sasa tunasomesha wahamiaji haramu halafu wakimaliza wanatimkia kwao...

kuzi junzi nilikua kule geita..nimepata taarifa kuwa kwenye mapori ya hifadhi kuna maelfu ya ng'ombe za wahamiajai haramu ambao wanaringia kuhonga maafisa hifadhi....

warudi kwao wakabanane...na huyo mwalimu nyerere saa nyingine alikuwa na ulevi wake...kwa nini aone kuwa ni bora kuwapunguzia mbanano kwao baadala ya kuitaka kwanza rwanda irudi kujiunga na tanganyika ili ipate whatsoever priviledge?
 
Wafugaji wote wa mkoa wa kagera wenye asili ya Rwanda na Uganda si wahamiaji haramu. Wana residence permits. Na wanatembea nazo, make wao wakikamatwa bila kuwa nanzo siku zote wanatiwa ndani na wanatolewa hela nyingi kabla ya kuachiwa.
.

Si zimefutwa zote au hujasikia?
 
Wafugaji wote wa mkoa wa kagera wenye asili ya Rwanda na Uganda si wahamiaji haramu. Wana residence permits. Na wanatembea nazo, make wao wakikamatwa bila kuwa nanzo siku zote wanatiwa ndani na wanatolewa hela nyingi kabla ya kuachiwa.

Wengine wana vyeti vya uraia, walipewa na Nyerere mwaka 1980, kwa kuzingatia kuwa Rwanda haina ardhi na akawaonea huruma. Lakini taswira iliyojengeka, wahamiaji haramu ni wafugaji tu! Hii inafanywa makusudi na vyombo vya habari na watu wenye maslahi.

Siku zote wasio na permit ni wale wenye asili ya wakulima kutoka Uganda, Burundi, DRC na Rwanda. Lakini wanaolengwa ni wenye permits, why? Kwasababu wana hela, wana ngombe.

Akikamatwa anafilisiwa baadhi ya viongozi wananemeka. Agizo la Kikwete litakuwa la kuwapa ulaji watu wenye madaraka, naweza kuapa kuwa wakulima ambao ni wahamiaji haramu kwa asilimia 98, hawataguswa.

JK angalia hili, Tanzania bila ubaguzi inawezekana.
huu nao nii mlango mwingine wa utetezi wa watutsi. mhamiaji haramu ni mhamiaji haramu awe mfugaji, mkulima au mchimba madini au mtu mwingine yeyote. huwezi kuniambia wana living permits. unataka kuniambia wana living permits with livestock inclusive, hizo living permits za aina gani??????????????????? WIZI MTUPU BRUDINI KWENU MSISINGIZIE KUWA WAFUGAJI WANAFUKUZWA ONDOKENI?
 
Back
Top Bottom