Ninavyomjua Hemedi Msangi

May 8, 2012
56
12
Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa maalum vya kutesea wahalifu. Yeyote anaekamatwa na anatakiwa kuhojiwa aliekwa anapelekewa ni HEMEDI kuna wahalifu wengi wamekufa wakiwa wanahojiwa nae. Huyu jamaa baadae alihamisiwa Morogoro.
 
huyu jamaa , kova, zombe, mahita, said muovu( IGP) , lazima siku ya kiama watajiju na moto wa milele
 
huyu jamaa na yule alikuwa mkuu wa upelelezi kanda maalumu ndg Mkumbo sidhani kama wanatofauti
 
Wakuu HEmedi baba yake amewahi kuwa rpc Arusha HEMEDI mwenyewe alianzia kazi ya polisi Arusha akaenda kusema diploma ya sheria aliporudi alipelekwa kituo cha Usariver sehemu yenye kituo na vifaa maalum vya kutesea wahalifu. Yeyote anaekamatwa na anatakiwa kuhojiwa aliekwa anapelekewa ni HEMEDI kuna wahalifu wengi wamekufa wakiwa wanahojiwa nae. Huyu jamaa baadae alihamisiwa Morogoro.

Tulishaelezwa haya hapa hapa Jf au ulikuwa masomoni....sina nia ya kukupuuza asante kwa taarifa.
 
Jf imeshamhukumu huyu jamaa atajinasua vipi???? ushahidi ni post mbalimbali zinaonyesha hukumu dhidi ya huyu jamaa.
Ndo Ukweli wenyewe!! Kwa uovu huo alioutenda anastahili kuchunwa ngozi!!!! Ni kiumbe kisichostahili kuishi katika jamii iliyostaarabika!!!
 
Tanzania hamna watesaji, watesaji wapo Kenya bwana

Kung'olewa meno na kucha kwa prize, kubinywa mapu*** na mb*** unasema sio utesaji?

Unangeniambia Tanzania kuna watesaji but they are not professional ningekubali.
Lakini watesaji in the sense ya kutesa wapo na mojawapo ni huyo Hemed Msangi.
 
Jf imeshamhukumu huyu jamaa atajinasua vipi???? ushahidi ni post mbalimbali zinaonyesha hukumu dhidi ya huyu jamaa.
Kama kumuhukumu si kwa sababu ya utekwaji na uteswaji wa Dk Ulimboka bali kwa tabia yake binafsi na tabia ya Jeshi zima la Polisi-tabia y
a kutesa watu.
 
Tanzania hamna watesaji, watesaji wapo Kenya bwana

Kung'olewa meno na kucha kwa prize, kubinywa mapu*** na mb*** unasema sio utesaji?

Unangeniambia Tanzania kuna watesaji but they are not professional ningekubali.
Lakini watesaji in the sense ya kutesa wapo na mojawapo ni huyo Hemed Msangi.

Hayo siyo mawazo yangu ni mawazo ya Kova ndiyo anajaribu kutaka kuwaaminisha Watanzania kwamba waliomteka Dr Ulimboka ni wakenya na siyo Usalama wa Taifa Tz, mbaya zaidi kama ni kumlipa wamemlipa tuu yule mkenya wakasahau kuongea na Kanisa kwamba liwasitiri
 
Back
Top Bottom