Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha...
11 Reactions
102 Replies
4K Views
Hamjambo! Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa. Kusema CCM ni majizi ya Kura huku...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
"KILA KATA NITALETA MASHINE ZA PHOTOCOPY YA MITIHANI" kila kata 20 ambazo zinapatikana katika jimbo la mtumba mhe mtia Nia wa ubunge jimbo la Mtumba amesema kuwa "mwezi wa kumi na moja baada ya...
0 Reactions
4 Replies
359 Views
Huwa nawashangaa sana watu wanaodai eti magufuli anakuja kufanya yale yalimshinda Kikwete. sasa najuliza Kikwete mtoto wa mjini kashindwa atawezaje Magufuli ambaye hata system inavofanya kazi...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Mmekuwa wagumu kusikia mahitaji ya watanzania. Kwamba kila anayeyasema sana yuko mafichoni, gerezani, ana kesi mahakamani, kapotea, au kauwawa?! Kwamba kwenye agenda zenu hakuna mnapoongelea...
3 Reactions
10 Replies
585 Views
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Wakulima AAFP Kunje Ngombale Mwiru Akiwa kwenye mwendelezo wa kampeni za Wagombea Urais, Wabunge na Madiwani katika Jimbo la Morogoro kusini kata ya Matombo...
1 Reactions
7 Replies
584 Views
Kwamba tume ya uchaguzi Tanzania @TumeUchaguziTZ imepoteza sifa za kusimamia uchaguzi huru na haki kutokana na mapungufu ya kikatiba yanayompa mamlaka Rais kuteua viongozi na watendaji wa tume...
2 Reactions
8 Replies
778 Views
Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Dodoma, kimesimamisha Wagombea wa Ubunge katika Majimbo tisa katika Mkoa wa Dodoma, likiwamo Jimbo la Mtumba na Madiwani Themanini na nane katika ya Kata za Majimbo...
1 Reactions
0 Replies
331 Views
Ukimya wa Serikali kuhusu raia wake alkyeuawa vitani Ukraine akiwa anapigana upande wa Urusi umezua minong'ono kwenye korido za kidiplomasia za kimataifa. Kinachosubiriwa na pande kuu za mgogoro...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Sijajua kwa nini ghafla tu umezuka mjadala kwamba wakosoaji wa serikali hawana kazi na ni watu wavivu, mimi wakosoaji wengi wa serikali ninaowajua au niliokutana nao karibia wote wana kazi zao...
2 Reactions
11 Replies
425 Views
Date: 9/23/2009 *ASEMA ZINAENDESHWA KWA UKATA, ZANA DUNI, ATAKA WANAOLALAMIKA WAFANYE UCHUNGUZI Na Ramadhan Semtawa Mwananchi WAKATI baadhi ya watendaji wa vyombo vingine vya dola...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo Pia soma >...
40 Reactions
229 Replies
16K Views
Habari zenu wadau.. Leo nikiwa napita napita kwenye mitandao ya kijamii nikaingia kidogo kwenye huu mtandao wa instagram.. Nimezoea kuona msanii Diamond aliyejitoa akili akimpost Magufuli na...
30 Reactions
598 Replies
70K Views
Wakuu habari za muda huu!. Kichwa Cha habari kimehusika!. Vipi kijana mchakarikaji na mpambania uhuru wa kisiasa Mdude Nyagali vipi Amepatikana? Au bado polisi wanahangaika kutafuta kitu...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
๐“๐ฎ๐ง๐๐ฎ ๐‹๐ข๐ฌ๐ฌ๐ฎ, ๐‰๐จ๐ก๐ง ๐‡๐ž๐œ๐ก๐ž ๐ง๐š ๐‹๐ž๐ฆ๐š ๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ฉ๐ข๐ ๐š๐ง๐ข๐š ๐ก๐š๐ค๐ข ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ฐ๐š๐ฎ๐ง๐ ๐ž ๐ฆ๐ค๐จ๐ง๐จ. Lissu, Heche na Lema hawa ni rafiki na ndugu wa haki. Kujitoa kwao kupigania haki za mtu & watu wowote kwao ni jambo la...
14 Reactions
44 Replies
2K Views
Anonymous
Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza โ€“ shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kataโ€ฆ lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Ameitisha Press Conference, ana ushahidi... Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal Nyaraka za Kagoda: Msemakweli akataa kuhojiwa na Kamati ya EPA; Ahoji mamlaka yake Kwanini DPP...
69 Reactions
463 Replies
55K Views
Hawa wafanyabiashara wanaousapoti Ccm sio kwa Bahati Mbaya. Kuna mambo mawili. -Kuweka mazingira sawa ya biashara zao. - kuendelea kushikililia Uchumi zaidi na kukua kibiashara. Na mwisho...
0 Reactions
3 Replies
359 Views
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya. Mpaluka Mdude Nyagali...
91 Reactions
469 Replies
38K Views
Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza โ€“ shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kataโ€ฆ lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ