Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna watu wanatolea mfano wa kushindwa kwa sera za Mwalimu Nyerere kwa kuhusianisha na DUKA LA KAYA. Enzi hizo wengine tulikuwa tunakimbizana na magari ya "Ugawaji" kwenye kila duka wanalosimama...
7 Reactions
108 Replies
12K Views
Kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025), iliyofunguliwa na Bodi ya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwanasiasa machachari na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecilia Paresso, ambaye pia aliweka nia ya kuwania ubunge...
1 Reactions
0 Replies
272 Views
Wakuu, Samia akiwa anazungumza leo, huko Songwe kasema akichaguliwa atahakikisha umeme utakuwa mwingi na wa uhakika kiasi kwamba kutakuwa na umeme mwingine ambao watauuza kwenda huko Zambia
0 Reactions
2 Replies
336 Views
Nimekuwa nikifuatilia taarifa kuhusu uchaguzi wa mwaka huu. Kwa kweli tusibeze uamuzi wa CHADEMA kususia uchaguzi kwani umewasaidia sana viongozi, wagombea na wanachama wao angalau kuwa na usalama...
0 Reactions
1 Replies
306 Views
Habari wakuu! Tanzania inapita kipindi kigumu katika historia yake ya siasa za kiti cha urais. Niwaelezee wachache: 1. Nyerere Huyu alipofariki mwaka 1999 nilishuhudia msiba wake. Kipindi hicho...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye...
7 Reactions
8 Replies
977 Views
Wenye akili tu. Nyie mnaona kipi Cha maana kwenye Ilani hii? Machawa na wanufaika wa mfumo wao kazi yao ni kuimba tu mitano tena. Lakini ni kipi Cha maana ambacho tunakwenda ku present katika...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Anonymous
Mimi ni mdau wa jamii forum ,kero yangu baadhi ya wanasiasa waache vitendo vya kuwachukua wanafunzi kwenye kampeni za uchaguzi serikali ikemee matendo hayo haijalishi chama gani kinafanya matendo...
3 Reactions
7 Replies
415 Views
Nimeipenda sana hii Filosofia ya huyu mgombea Urais Mh Kigame ambaye ni mlemavu wa macho UTU, HAKI na MAADILI Mlale unono 🙏
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Katika Press ya Leo. Vaa T-shirt ya Chama (nje-ndani) kuonyesha msisitizo. Usisahau kuvaa usongo kichwani.
3 Reactions
10 Replies
861 Views
Niaje waungwana Baada ya uchaguzi mkuu kuisha, na serikali mpya kuingia madarakani, namuona mwanamke fulan ambae kiumri sio mkubwa sana akiteuliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania. Uteuzi huo...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Jeshi la polisi mkoani Pwani limetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani humo yaliyolenga kuwaongezea ujuzi wa masuala mbalimbali ikiwemo maadili. Mafunzo hayo yaliyoongozwa na Kamanda wa...
0 Reactions
2 Replies
296 Views
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limewataka askari wa jeshi la akiba (Mgambo) kuhakikisha wanafanya kazi kwa kufuata sheria na taratibu za nchi hasa katika kipindi hiki cha mikutano ya kampeni na...
0 Reactions
2 Replies
282 Views
Niko Nawe kitambo ila kwa Sasa mambo siyo Kaka Nitaandika soon
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Polepole amendelea kutufumbua macho. Kumbe hata mamvi ilikuwa ni plan B ya watu wale wale! Kwamba Polepole kanusurika kutekwa akiwa chini ya uangalizi wa Jiwe? "Wanasomeka Polepole na Gwajima...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Sije Mbughi, mke wa Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude, ambaye hajulikani alipo tangu Mei 2, 2025...
3 Reactions
144 Replies
8K Views
“Nikiingia ikulu mtu wa kwanza kumpa ajira ni Mama Samia na nimeshaishawishi Baraza langu kwamba nikishinda Urais Mama Samia atabaki ikulu” Coaster Jimmy Kibonde, Mgombea Urais Chama Makini.
2 Reactions
5 Replies
366 Views
Shahidi wa 10 katika kesi ya usafirishaji wanyama hai nje ya nchi amemtaja mshitakiwa wa kwanza, Kamran Mohamed, ambaye ni raia wa Pakistan kuwa alimzawadia Sh. 120,000 kwa ajili ya kazi...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Mchango wangu pekee ninaoweza kuutoa kwa nchi yangu Tanzania ni kuwaletea matukio kina juu siasa za Upinzani toka 1992.Nimeandika na bado naendelea ila nawaza jina la kitabu napata kigugumizi,japo...
0 Reactions
0 Replies
199 Views
Back
Top Bottom