Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyaraka mpya za Kagoda zawalipua Rostam, Manji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Sep 1, 2011.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160

  Attached Files:

 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kesho nakutana na DPP kuweza kuongea naye juu ya ushahidi niliowasilisha juu ya walioiba fedha za umma kupitia Kagoda
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Nina picha, video zinazoonyesha wizi wa Kagoda wazi.

  Kinara wa wizi huu ni Rostam Aziz aliyekuwa mbunge wa Igunga.

  Wa pili ni Yusufu Manji
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,326
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Tupe info mkuu ingawa ile ya Shimbo sijui ilipotelea wapi. Mwaga data mkuu
   
 5. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #5
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli maana inatufanya tuwe na wasiwasi
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wanaohusika serikali inadai haiwafahamu. Nawafahamu na wanakaa Kinondoni na walifanya hivyo kwa maelekezo ya Rostam Aziz.

  Walioenda Brela kusajili kampuni tuna picha zao na majina yaliyoandikwa ni ya uwongo.

  Jina Kagoda linatokana na KATO na GODA.

  Angalia nyaraka zilizoambatanishwa.

  Baada ya Kagoda kufunguliwa, ilitakiwa itengenezwe account ambayo ilitengenezwa CRDB na mdhamini alikuwa Yusufu Manji (angalia attachment chini ya 1st post ikionyesha na account number).
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Sep 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,748
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  Msemakweli ni nani mkuu. Na hii ndio ile countdown yetu?
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  BoT wanawajua wahusika wote kwani pesa zilihamishwa kwa ushirikiano na CRDB.

  Bharat Goda kwa maelekezo ya Rostam Aziz alipeleka barua inayoonyesha kuwa Bil 8 ziende kwenye account tofauti. Viambatanisho vipo, hivyo zikaongezwa kwenye Bil 25 nyingine iliyokuwa kwenye account tofauti.
   
 9. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #9
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Bil 33 baadae zilihamishwa kwenda kwenye account nyingine ambayo Yusufu Manji aliidhamini huko Holland Branch
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Dah,ngoja niicheki kwa makini kwanza
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hizi nyuzi za hatari!
  Hebu endelea kutujuza mkuu
   
 12. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #12
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Pesa hizi baadae zilitoroshwa kwenda Dubai kwa ushirikiano wa Yusufu Manji kwenye mafungu ya $ milioni moja moja. Kwa kutumia kampuni ya Quality Finance Corp
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,889
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mambo yameiva!
   
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,326
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  What a coincidence.....Anayasema hayo wakati uchaguzi mdogo Igunga unaanza hahahahaha....najua tu mwishoni atamtaja Big Ben. Ngoma inogile manake Ben na Rostam ndo watakuwa vinara wa Come-pain wa Magamba Igunga
   
 15. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #15
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Manji na Rostam kama wanadhani nawaonea nawakaribisha mahakamani - Msemakweli
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Sep 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,748
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  Mkutano unafanyika wapi mkuu?
   
 17. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #17
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,121
  Likes Received: 1,375
  Trophy Points: 280
  Magamba watamtumia tena RA kwenye kampeni Igunga? Msema kweli ni nani tena jamani?
   
 18. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #18
  Sep 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,748
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa jamaaa hwakuzirudisha hizo pesa? Nasikia kuna wengine walirudisha zikapelekwa TIB kwa Peter Noni na hiyo wakapewa msamaha wa kuburuzwa mahakamani!!
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Msemakweli ni nani huyoo jamani?
   
 20. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #20
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,099
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kamati ya Mwanyika ilikataa habari za Manji za kujitetea kuwa hakuhusika na Kagoda kwa kudai kuwa babake ndo alihusika. Mwanyika na wenzake walichofanya ni kufunga account zote za Quality Finance Corp. Wakazuia passport yake asitoke nje ya nchi. Walidhamiria kumfirisi, na akadai kuwa alikopeshwa na Kagoda na Rostam akamshauri kuwa bora warudishe hela hizo
   
Loading...