Kama ilivyo nchi za Ulaya (Uingereza, Uholanzi, Hispania n.k) umefika wakati nasi tuandalie vijana wetu kuongoza taifa siku zijazo. Japo Bumbuli wametoswa kindezi ila Mzee alipambana haswa ila...
Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !!
Kwanza hawana stend!
Hawana soko!
Barababara kuu imekwama na pesa wamekula!
Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango...
Nimeona ujumbe wa katibu mkuu wizara ya habari, ndugu Msigwa kumhusu Mange. Naungana naye kulaani vitendo vya uvunjifu wa sheria vinavyofanywa na watanzania wenzetu waliopo nje ya nchi. Rai yangu...
Salaam??
Code o5 ,
Jamani chakula cha hapa duniani ni kitamu sana. .....
Mda flan walimgomea injinia asile ugali wakampa chakula kingine.
Yani japo yawezekana waliona chakula kingine ndo kitam...
TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI - DKT. SAMIA
DKT. SAMIA - NAWAOMBA WANAMBEYA TWENDE TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI
Maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mgombea wa Chama Cha...
Kama unabisha Fanya Utafiti namna Mzee Mwinyi alivyoasisi demokrasia ya Vyama vingi halafu mwaka wa Uchaguzi akajiweka kando kabisa Nyerere ndio tukamuona akisafiri huko na kule kumdhibiti meku...
Kuna picha inamwonesha mwanasiasa Nape Nauye aliyemwita mwendazake mshamba, akamla kichwa, Leo anachonga vinyagooo.
Leo hii NASIKIA Makamba amefungua Madrassa je nikweli?
WALIOKUWA makampeni...
Kila alipo rais wa nchi ya Kiafrika utakuta kuna mtu amesimama nyuma yake tofauti na viongozi wa mataifa makubwa. Je, huu ni ulinzi au udhalilishaji wa kawaida utokanao na mabaki ya ukoloni na...
Kama unabisha Fanya Utafiti tangu Enzi za mafisadi papa waliotuhumiwa na Mengi hakuna Chawa aliyetumwa kumtetea Aziz bali hutoka front yeye mwenyewe
Mwamba anajiamini mno
Kwako Lucas Mwashambwa
Ripoti mpya ya Africa Wealth Report 2025, iliyotolewa na kampuni ya ushauri wa uwekezaji wa kimataifa Henley & Partners kwa kushirikiana na New World Wealth, inaonyesha sura mpya ya bara la Afrika...
Kampeni nchini Tanzania kinaendelea, Wagombea wote wananasi sera,
Sie wakina no reform no election kiongozi wetu yupo magerezani ananyea ndio.
Swali langu la msingi uchaguzi wetu wa MWAKA huu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefungua rasmi Soko na Kituo cha Mabasi cha Kisasa Chuini, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi...
Huyu jamaa Classmate wake ni kaka yangu ambaye wamelingana umri wamesoma wote Primary
Makonda Ana miaka 53 sasa Ila kaamua kupunguza miaka kumi .
Hii haifai kabisa
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za kwa maslahi ya taifa, Chadema ni chama cha Kitaifa hivyo haya yanayoendelea ndani ya Chadema katika huu mgogoro wake na...
Mwenye uhalali wa kulikosoa na kulisahihisha Taifa kwa sasa ni Mzee Joseph Sinde Warioba kwa maana hafungamani na mtu yeyote, chama chochote na koleo anaita koleo na kijiko anakiita kijiko, Mungu...
Sisi CHAUMMA sera yetu ni chakula, mgonjwa akifika hospitali badala ya kukutana na dripu anakutana na ubwabwa, anapiga ubwabwa anashushia na dawa." - Devotha Minja, Mgombea Mwenza wa Urais kupitia...
Wanasiasa wamekua wakitoa ahadi ya mambo ambayo wanapaswa kufanya kwakuwa wanakusanya kodi, sasa Je, ni ahadi zipi ambazo unajua kabisa ni kama mama anamwambia mwanaye baba yule anaendesha ndege...
CHADEMA Sijui kama itapona nimeona mada tena leo eti Mwigamba nae ni masalia. Kama kweli fitina ndani ya chadema zinaandaliwa na ccm basi ccm imekomaa kisiasa kwani mbinu nyingine ya kushinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.