GE2025 David Silinde: Samia ukipata kura chini ya 95% unipige bakora mbili

GE2025 David Silinde: Samia ukipata kura chini ya 95% unipige bakora mbili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,089
Reaction score
3,444
Wakuu,

Uchawa unaendelea

Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia mwenyewe.

Huyu si ajabu ni baba na ana familia yake.

Huyo jamaa wa wa ajabu nimeshangaa anavyosema anamshukuru mama sasa hivi wana tunduma hawaandamani..!!

Kasahau wana tunduma waliandamana kwa kumtetea yeye ubunge wake ili kura zake zisichakachukuliwe kipindi akiwa chadema..!! Anajizima data 😹

Kwa tunduma ilivyo Chadema ingeshiriki asingepata hata huo ubunge, watu wa pale tunduma wako tayari kuchagua hata jiwe Ila sio CCM hilo si geni kwake analifahamu fika..!!
 
Wakuu,

Uchawa unaendelea

Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia mwenyewe.

Huyu si ajabu ni baba na ana familia yake.

Asikimbie baadae
 
Hayo ni maneno ya mtu anayejua jinsi mifumo ilivyoungana.
 
Wakuu,

Uchawa unaendelea

Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia mwenyewe.

Huyu si ajabu ni baba na ana familia yake.

Kwani CCM anapingana na nani? Mbona ni CCM tupu? Shame on you Silinde. Mnajua mnaiba kura, mnadanganya. Matapeli ninyi.
 
Ndiyo maana Wilaya nyingine tunachagua darasa la saba kuwa wabunge wetu angalau akili zao ni virgin hazijatiwa opium... Intellectual unaomba kuchapwa mboko, ulikosa maneno Brother?...
Corporal punishment ni adhabu za kitumwa za karne ya 17
 
So mwajuma na mwalimu watagawana 5%? Kampunja sana mama wicknell chivayo labda 99% angesema
 
Back
Top Bottom