Polepole anaongea kisomi sana, CCM msikurupuke kumjibu

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,838
Reaction score
50,542
Yale mambo yenu ya kutegemea waropokaji kumjibu Humphrey Polepole, CCM acheni...

Huyu mwamba anaongea kisomi Sana, kiasi kwamba hata wale "Spin doctors" wenu wanapaswa kurudi darasani ili waweze kupimana ubavu na huyu mwamba.
 
Watanzania tuna shida mahali...... Sitashangaa siku MUSUKUMA akikengeuka akasifiwa kwa Dokta yake.
 
Ukweli ndivyo ulivyo tabia yake... Kwa wakristo aliyemkana Yesu mara tatu ni Petro, ila ni yeye huyo huyo ambaye Yesu alisema juu yake atalijenga Kanisa lake na si Yohana aliyekuwa ndugu na rafiki wa YESU.

Kwenye fasihi (Literature) Abdallah wa Jana si Abdallah wa Leo. Mtu hupimwa kimantiki na siyo kwa husda au mapenzi binafsi.
 
Huyu Polepole ndio anatakiwa kuitwa JASUSI BOBEZI na sio wale majasusi uchwara wasiotaka kustaafu licha ya uguluguja walionao.

MAGULUGUJA SUGU yamegoma kustaafu huku yakijaribu kupambana na MAJASUSI BOBEZI yenye nguvu na uhodari.

Ngoja nirudi Tanganyika mtanitambua, wahuni wote mtanyooka kama rula.

We chiembe na propaganda zako dhaifu uanze kujipanga.
 
😂😂😂😂😂
Wizzo acha mikwara bas, Lol.
 
Guluguja😃😆😄

Hivi guluguja na Gong'ole ni tofauti eenh?
 
Kuna kitu ananichanganya hapa -- kwanini hataji ni ruzuku?
 
Watanzania tuna shida mahali...... Sitashangaa siku MUSUKUMA akikengeuka akasifiwa kwa Dokta yake.
Shetani alikuwa malaika mkuu.....lkn Sasa ni shetani na wala haitwi malaika mkuu.

Paulo alikuwa muuaji akiitwa Sauli......lkn aliishia kuwa mtume mwenye kuandika nyaraka nyingi sana.

Usitusumbue na misimamo yako
 
Back
Top Bottom