Huwa nawashangaa sana watu wanaodai eti magufuli anakuja kufanya yale yalimshinda Kikwete. sasa najuliza Kikwete mtoto wa mjini kashindwa atawezaje Magufuli ambaye hata system inavofanya kazi...
Mmekuwa wagumu kusikia mahitaji ya watanzania. Kwamba kila anayeyasema sana yuko mafichoni, gerezani, ana kesi mahakamani, kapotea, au kauwawa?!
Kwamba kwenye agenda zenu hakuna mnapoongelea...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Wakulima AAFP Kunje Ngombale Mwiru Akiwa kwenye mwendelezo wa kampeni za Wagombea Urais, Wabunge na Madiwani katika Jimbo la Morogoro kusini kata ya Matombo...
Kwamba tume ya uchaguzi Tanzania @TumeUchaguziTZ imepoteza sifa za kusimamia uchaguzi huru na haki kutokana na mapungufu ya kikatiba yanayompa mamlaka Rais kuteua viongozi na watendaji wa tume...
Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Dodoma, kimesimamisha Wagombea wa Ubunge katika Majimbo tisa katika Mkoa wa Dodoma, likiwamo Jimbo la Mtumba na Madiwani Themanini na nane katika ya Kata za Majimbo...
Ukimya wa Serikali kuhusu raia wake alkyeuawa vitani Ukraine akiwa anapigana upande wa Urusi umezua minong'ono kwenye korido za kidiplomasia za kimataifa.
Kinachosubiriwa na pande kuu za mgogoro...
Sijajua kwa nini ghafla tu umezuka mjadala kwamba wakosoaji wa serikali hawana kazi na ni watu wavivu, mimi wakosoaji wengi wa serikali ninaowajua au niliokutana nao karibia wote wana kazi zao...
Date: 9/23/2009
*ASEMA ZINAENDESHWA KWA UKATA, ZANA DUNI, ATAKA WANAOLALAMIKA WAFANYE UCHUNGUZI
Na Ramadhan Semtawa
Mwananchi
WAKATI baadhi ya watendaji wa vyombo vingine vya dola...
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
Pia soma >...
Habari zenu wadau..
Leo nikiwa napita napita kwenye mitandao ya kijamii nikaingia kidogo kwenye huu mtandao wa instagram..
Nimezoea kuona msanii Diamond aliyejitoa akili akimpost Magufuli na...
Wakuu habari za muda huu!.
Kichwa Cha habari kimehusika!.
Vipi kijana mchakarikaji na mpambania uhuru wa kisiasa Mdude Nyagali vipi Amepatikana? Au bado polisi wanahangaika kutafuta kitu...
𝐓𝐮𝐧𝐝𝐮 𝐋𝐢𝐬𝐬𝐮, 𝐉𝐨𝐡𝐧 𝐇𝐞𝐜𝐡𝐞 𝐧𝐚 𝐋𝐞𝐦𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐩𝐢𝐠𝐚𝐧𝐢𝐚 𝐡𝐚𝐤𝐢 𝐰𝐚 𝐮𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐭𝐮𝐰𝐚𝐮𝐧𝐠𝐞 𝐦𝐤𝐨𝐧𝐨.
Lissu, Heche na Lema hawa ni rafiki na ndugu wa haki. Kujitoa kwao kupigania haki za mtu & watu wowote kwao ni jambo la...
Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa...
Ameitisha Press Conference, ana ushahidi...
Soma pia Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal
Nyaraka za Kagoda: Msemakweli akataa kuhojiwa na Kamati ya EPA; Ahoji mamlaka yake
Kwanini DPP...
Hawa wafanyabiashara wanaousapoti Ccm sio kwa Bahati Mbaya.
Kuna mambo mawili.
-Kuweka mazingira sawa ya biashara zao.
- kuendelea kushikililia Uchumi zaidi na kukua kibiashara.
Na mwisho...
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.
Mpaluka Mdude Nyagali...
Kila mwaka wa uchaguzi, tunaahidiwa miujiza – shule mpya, ajira kwa vijana, hospitali kila kata… lakini ikishapita miaka miwili, hakuna hata kokoto moja iliyosogezwa. Na wananchi tunaambiwa...
Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.
Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana...
Kwa haya yanayoendelea kwetu Tanganyika, nchi ya ya Julius Kambarage Nyerere, ungelogwa ukaja eti kumzika baba yako, ungelipote mazima .
Mshukuru sana Mungu wako na malaika Gabriel aliyekuongoza.
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Mheshimiwa Rais
Kwa heshima kubwa napenda kukuletea salamu za dhati na kukupongeza kwa dhamana kubwa uliyopewa na Katiba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.