Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WASIRA: KWA KAZI KUBWA ALIYOIFANYA DK. SAMIA ANASTAHILI KUCHAGULIWA AENDELEE KUONGOZA. Na Mwandishi Wetu,Babati MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira...
1 Reactions
2 Replies
258 Views
Ndugu zangu Watanzania, Songwe hakukaliki wala hakuna mwana songwe aliye tulia . Kila mmoja yupo na hekaheka za kujiandaa kumpokea kwa bashasha na furaha kubwa sana Rais wetu Mpendwa na Jemedari...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Naona kama vile kila siku zinavyosonga mbele kama vile kampeni za CCM zitakosa mvuto kabisa. Hapa sababu kubwa ni Maza na Nchimbi kutokuwa waongeaji au wapiga kampeni wazuri. Kwa kweli Maza...
15 Reactions
40 Replies
2K Views
Kwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B. Wajuzi wa...
4 Reactions
101 Replies
7K Views
1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo 2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika 3. Wasombwaji kwa...
59 Reactions
169 Replies
9K Views
Mungu ana zungumza na Taifa, Mungu ana zungumza na watawala hasa Rais wa jamuhuri ya muungano wa Taifa la Tanzania. Mungu anasema tangu kuumbwa kwa dunia mpaka leo roho yake haijawahi shinda na...
28 Reactions
66 Replies
5K Views
Hawa jamaa wamejua kwamba mara baada tu ya uchaguzi, nchi za magharibi,Jumuiya na taasisi za kimataifa hazitautambua uchaguzi huo na hazitaitambua serikali hivyo itakosa legitimacy. Kwa kufanya...
0 Reactions
5 Replies
561 Views
Jana Agosti 29, 2025, Humphrey Polepole kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii alidai kwamba mtungi wa gesi ya kilo 15 nchini Cuba unauzwa kwa shilingi 2,000 za Kitanzania. Kauli hii imeibua...
9 Reactions
147 Replies
9K Views
Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo. Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi? Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Wanabodi Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi...
16 Reactions
95 Replies
6K Views
Nimejaribu kuangalia mijadala ya wagombea wa Chama Chaumma(CHAUMMA), CUF, na AAFP, nikiri kuwa ukosefu wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA), kumefanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa Moja ya...
11 Reactions
35 Replies
1K Views
Hata kama ungekuwa ni wewe lazima ungefanya walichofanya CHADEMA.
17 Reactions
75 Replies
5K Views
Jengo la Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshawekwa alama ya X ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli kulibomoa kupisha barabara za juu (Tazara Fly-Over). Meneja wa Wakala wa...
8 Reactions
97 Replies
5K Views
Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema. Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Wazee na mwasisi wa Chama cha NLD, Tozz Mtwanga, amemtaja Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mwanadiplomasia wa kweli. Amesema katika historia ya Tanzania haijawahi kutokea Serikali...
1 Reactions
5 Replies
350 Views
Yas - boresheni huduma zenu za mtandao SGR station Dodoma. Watu wanaumbuka wakitaka kufanya malipo ya kitu chochote wakiwa hapa. I know this is within your ability. Ikiwezekana kwenye kila...
0 Reactions
5 Replies
337 Views
Wewe uliyepata Cheo leo jiangalie sana, CCM wakiamua kukuhujumu hawashindwi, Unaambiwa Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania aliundiwa zengwe na wanaccm wenzake na kusingiziwa kwamba...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Bavicha fanyeni tafiti Uchumi wa kijamaa unavyo operate Ahsanteni sana Mlale unono 🙏
1 Reactions
7 Replies
366 Views
Ukipita mitandaoni, utagundua kuwa kwa sasa kuna watanzania wanaomba jambo moja very serious lifanyike ili nchi irudi kwenye mstari Mtu anashauri jambo very serious lifanyike na anapata comments...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Mzee Kikwete kawa mstari wa mbele katika kuhakikisha taifa la Tanzania linakuwa tulivu kwa kushauri uongozi uliopo madarakani kama mstaafu wa taifa hili. Wengi wanabeza ushiriki wake katika...
2 Reactions
3 Replies
349 Views
Back
Top Bottom