Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza programu ya "Tutunzane" ili kukomesha migogoro ya ardhi kati ya...
5 Reactions
18 Replies
714 Views
Mgombea yeyote wa Urais asipojadili Hatima ya Kilimo Kwa sisi mabilioni ya Wakulima wadogo nitakuwa nwakati mgumu kutoa kura yangu. Kama huwezi kufanya Agricultural transformation hao maskini...
7 Reactions
56 Replies
2K Views
January makamba alipokuwa waziri wa mambo ya nje alizindua mradi wa maghorofa ya vitega uchumi huko Nairobi tangu alipofurushwa kwenye nafasi yake hatujapata tena taarifa kama mradi unaendelea au...
1 Reactions
3 Replies
510 Views
Rais Magufuli anafungua majengo ya makao makuu ya Jeshi la Magereza Msalato Dodoma. Tukio liko mubashara TBC, Channel ten na ITV Updates; Rais Magufuli ameshafika eneo la tukio, dua imesomwa na...
16 Reactions
84 Replies
11K Views
Rais Magufuli anafungua kiwanda cha ngozi kinachomilikiwa na tajiri maarufu nchini Dr Rostam Aziz Kihonda mkoani Morogoro. Tukio liko mubashara TBC Channel ten na ITV Up dates; Rais Magufuli...
16 Reactions
176 Replies
22K Views
Kampeni zimenogeshwa sana na hoja ya JK ya kupangua hoja za wachukia CCM. Kwa sasa CCM yetu ni hoja za wenye chuki binafsi tu ndiyo zinatutesa. Tukiweza kuzipindua hizo basi tunashinda vizuri...
1 Reactions
5 Replies
555 Views
Kwa sasa wananchi hawana haki kwa jambo lolote kwenye siasa za Tanzania, hawana haki ya kujichagulia wawakilishi wanao wataka maana zoezi hilo lipo mikononi mwa watawala nadhani sasa hakuna haja...
2 Reactions
7 Replies
576 Views
Hamjambo! Lisu anasifika kwa Umahiri katika taaluma yake ya sheria. Hivyo kusema Lisu ana akili za kisheria hutokuwa umekosea. Lisu anapenda ukweli jambo ambalo linamfanya aitwe roporopo na...
15 Reactions
141 Replies
6K Views
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Igunga,Rostam Aziz katika uwanja wa SabaSaba mjini Igunga 2010 Rostam na Hayati Rais John Pombe Magufuli 2018 Katika zoezi...
9 Reactions
105 Replies
8K Views
TZ Mifumo hii imeunganishwa vipi, kupitia kadi yako ya NIDA, walichokifanya ni kuongeza idadi ya watu waliojiandikisha kupiga kura kabla ya kutoa idadi ya waliojiandikisha katika daftari la...
60 Reactions
88 Replies
5K Views
Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kampeni za Uchaguzi Mkuu katika eneo la Dakawa, Mvomelo, Mkoa wa Morogoro leo, tarehe 30 Agosti 2025, amesema lengo la Serikali ni...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Chama cha mapinduzi CCM kinatarajia kutangaza wagombea ubunge wake waliopitishwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na hatimae kuthibitishwa na halimashauri kuu ya ccm taifa kugombea...
5 Reactions
199 Replies
27K Views
Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu azijalipwa. Tutakuja na mfumo wa kuhakikisha...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mpumbavu sio tusi hivyo uzi huu sio matusi bali ni ukweli ulio halisi Baada ya kusikiliza press ya Polepole alivyosema kuhusu mfumo wetu wa utambuzi wa uraia...
29 Reactions
70 Replies
3K Views
Upotoshaji wa aina ya Polepole unatakiwa ujibiwe ndani ya masaa 48. Stay tuned as I take him for a task.
8 Reactions
85 Replies
6K Views
Salaam! Tulipata msiba wa kufiwa na baba yetu, kiongozi wa shamba letu, Hata hatujapoa, akaibuka kibopa,tajiri mmoja mkarimu sana mwenye tabasamu la Mamba Rost Tamu,akaipenda familia yetu...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Kuna kila dalili kama sio kesho basi Jumatatu Gwajima atakuwa hewani tena! Alishatoa onyo na ultimatum ya siku kumi kwamba makanisa yake yasipofunguliwa ataongea mambo ya "kushangaza sana"...
23 Reactions
60 Replies
3K Views
Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazio la uongozi wa Tanzania yanatisha sana! Kuna vurugu kubwa sana na mikakati ya kila aina. Wengi wamesikia juu ya Wanamtandao, na ni wachache sana wanajua nguvu...
10 Reactions
56 Replies
2K Views
Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa...
19 Reactions
142 Replies
8K Views
JF Polepole anasema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS. Tanzania tunauziwa 55,000/= TZS. Aisee hii nchi kwishne..
18 Reactions
107 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…