JK MRISHO katrend zaidi kwenye Uzinduzi!

JK MRISHO katrend zaidi kwenye Uzinduzi!

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,380
Reaction score
2,236
Kampeni zimenogeshwa sana na hoja ya JK ya kupangua hoja za wachukia CCM.

Kwa sasa CCM yetu ni hoja za wenye chuki binafsi tu ndiyo zinatutesa. Tukiweza kuzipindua hizo basi tunashinda vizuri sana sana.

Ukizingatia tulishatoa baiskeli, boda boda na hata wagombea uRais wa vyama vinavyotupinga tumewapa magari.

Ni nini cha kutubabaisha sisi zaidi ya labda vihoja vya kijinga kijinga vya akina Pole Pole Gwajima! CCM Chama KUBWA bwana!
 
Tua tatizo kubwa la wapinzani kuhusu nani atagombea hadi dk za mwisho

USSR
 
FB_IMG_1756599467815.jpg
 
Back
Top Bottom