Baada ya Polepole kutoa tuhuma nzito za mifumo ya uchaguzi kuingiliwa huku akitaka uchunguzi huru utaohusisha vyama vyote ufanyike ili umma ujiridhishe kama alichosema ni kweli au laa, nimejikuta...
Wakuu,
Huyu hapa ya Kamanda Muliro alipoulizwa kuhusu hizi slogan mbili ya No Reforms No Election pamoja na ile ya Oktoba Tunatiki
Hapa Muliro amesema kwamba ya Oktoba Tunatiki inafuata sheria...
haijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa hizi nchi zinazoitwa za afrika ya mashariki kwamba waganda wakawa juu ya tanzagiza kiuchumi, siku zote ilikuwa kenya inaongoza halafu tanzagiza and then ug...
Niko hapa kujifunza ibara ya katiba inayosema Mamlaka yote hutoka kwa wananchi na serikali ni chombo tu kilichowekwa na wananchi kufanya baadhi ya majukumu kwa niaba ya Wananchi
Sasa kama...
Salaam wanabodi
Mbunge wa Singida na mwanasiasa machachari Katika siasa za Tanzania ndugu Tundu Lissu ameendelea kuwasakama majaji wa Tanzania kwa kusema hawajui kiingereza.
Akichangia leo...
Wakuu, maandiko ya Pascal Mayalla hivi karibuni yanafanya nimtilie shaka, ni kama mtu aliyetengwa na anajaribu kujisogeza karibu na waliomtenga lakini wapi.
Napendekeza asaidiwe haraka...
X= CCM
Y = INEC
Z= NIDA
Qn: Define the function and importance of each union interaction in the ven diagram among the three players in election rigging
===
Akihojiwa na kituo cha utangazaji Cha ITV kwenye kipindi ya DK 45 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila...
Rekebisha hicho Jaji alichokisema kuwa umekikosea, then refile. Kama imekuwa struck out, hiyo inakuwezesha ku refile your case!
Let history have it that you fought for what you believed to be...
Ni nani ameweka fedha hapa? Tamasha la bure kabisa, hii jeuri wanaitoa wapi kwa usawa huu?
====
Mkesha wa muziki wa taarabu utakaohusisha mastaa na wakongwe wa muziki huo nchini utarajiwa...
Rungu la Polepole limerushwa na kuangukia CCM, NIDA na INEC. Kwamba watatu hawa ndio wapindishaji wa haki na maamuzi ya watanzania kwa viongozi wanaowataka kupitia sanduku la kura.
Baada ya madai...
Wakuu, hili la Leo alolisema Polepole, linatosha kabisa kuisambaratisha CCM.
CCM imekoswa uhalali kabisa wa Kuexist kama Chama katika Dunia ya Multiparty .
CCM imepoteza uhalali wa Kuendelea na...
Hakuna uwezekano hata kidogo kwa upinzani nchini kushinda uchaguzi mkuu wa October 29,2025 hata kiti kimoja tu cha ubunge au udiwani achilia mbali urais, mbele ya CCM hii imara na madhubuti sana...
"Waganda ni Sawa na Wagonjwa wanaweza kupona muda wowote na wakadai vyao"
"Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao"
"ila Watanzania ni sawa na maiti...
Wakuu mpo vizuri?
Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata...
Wanabodi,
Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa...
Pascally Mayalla na wenzake lazima tukubali walitufanya sisi tuonekanike ni fyankura
Kabla ya kwenda mbali naomba huyu MWAMba Pascally Mayalla aweke CV yake ya kusomea uhandishi wa habari hapa...
Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi!
Kama...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, 𝐌𝐡𝐞. 𝐌𝐨𝐡𝐚𝐦𝐞𝐝 𝐌𝐜𝐡𝐞𝐧𝐠𝐞𝐫𝐰𝐚, akiwa katika ziara yake Wilayani Bagamoyo, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 𝐌𝐡𝐞. 𝐒𝐚𝐦𝐢𝐚 𝐒𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐇𝐚𝐬𝐬𝐚𝐧...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.