Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Annamringi Macha amesema pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi trilioni 2.5 mwaka 2020 hadi trilioni 3.5 mwaka 2024, huku mapato ya ndani ya...
1 Reactions
9 Replies
604 Views
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025)...
1 Reactions
24 Replies
809 Views
https://youtu.be/MQdQ5Sh0Yzw?si=ltQZuh2mTXdjErYc Kuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4. Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB...
7 Reactions
66 Replies
2K Views
== Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amemtetea na kumpongeza Rais wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa...
15 Reactions
147 Replies
5K Views
Hakikisha unakuwepo kuwatia moyo Wazalendo wetu Mlale unono 🙏🇹🇿
2 Reactions
25 Replies
797 Views
Kwanini chama tawala CCM kinatumia data za vitambulisho vya NIDA na kuunganisha mitambo na mifumo ya data ya Tume ya uchaguzi NEC? kuchezea kura za wananchi wakati wa kila uchaguzi zinazofanyika...
1 Reactions
5 Replies
417 Views
Kwa mujibu wa takwimu idadi ya watumishi wa umma ni kati ya laki tano na laki 6 ...Je idadi hii inaweza kuwa na maamuzi ya kumchagua Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa kutumia kura zao...
0 Reactions
1 Replies
582 Views
Kitendo cha kumkata Freid Lowassa ndo njia Rais ya kumuingiza RK jengo jeupe . Kiufupi 2030 Rais ni RK.
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu nimejaribu kuangalia jina la DR Doroth Gwajima sijaliona au safarii hahombei
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Ishakuwa tabu tena bila kumsikiliza Ndugu Polepole,siku yangu haijaisha naona kama sijala chakula naona kama vile sijapewa faraja naona kama vile jua halijaangaza,hata usingizi hauji,Mungu...
1 Reactions
4 Replies
234 Views
Resprocal obligation ! Kwa kiswahili rahisi sana hili ni jukumu "nenda rudi" Dr Wilbrod Slaa aliwahi kuwa padre wa kanisa katoliki na baadaye akaomba kuondoka kwenye upadre kwa mujibu wa...
0 Reactions
2 Replies
283 Views
Kuna mpango wa Mwenyekiti wa Chadema Mh.Freeman Mbowe wa kulipwa mamilioni ya fedha ili Viongozi wa Chadema waache kumsema Mr. Monduli kuwa ni fisadi. Mhe. Zitto Kabwe anajitahidi kwa kila hali...
43 Reactions
1K Replies
118K Views
Rais wa wa Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) Tundu Lissu, amesema utawala wake utahakikisha unainyoosha serikali ya awamu ya 5 ili ifuate misingi ya sheria. Amesema hivi sasa nchi inakabiliwa...
6 Reactions
104 Replies
10K Views
Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe?? Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?
0 Reactions
21 Replies
1K Views
The photo - picture speak by itself. What message do get in this picture..? #NoReformsNoElection #Kula kwa wahuni, kulala CHADEMA #FreeTunduLissuNow
4 Reactions
3 Replies
487 Views
Ccm nikimaanisha na vyama vyake vya kuzugia vilivyomo kwenye project yake. Uchaguzi huu ukipita bila mabadiliko ya aina yoyote yale basi ni uhakika bila shaka lolote lile, ni mpaka 2050 njia ni...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Kwamba sasa Katibu Mkuu tayari ni makamu wa Rais hivyo ni kufanya replacement mapema!
3 Reactions
15 Replies
928 Views
Back
Top Bottom