Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Innocent Bashungwa, leo amefungua rasmi Kituo cha Polisi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kutoa ujumbe muhimu kuhusu hali ya usalama wa nchi na maandalizi...
Sitaki kumhukumu Polepole kwa yaliyopita. Absolutely Am here not to judge polepole for the past. Nipo hapa kuangalia Leo na kesho ya Taifa langu.
Katika uwanja wa vita,moja ya mbinu hutumika ni...
'Mwanangu usiwe na matarijio makubwa utakayoshindwa kuyatimiza na kuumuza moyo wako', ni nukuu ya maneno kutoka kwa wazazi wangu wakinisihi juu ya jambo. Ingali kauli hiyo ilitolea zamani sana...
Nitakuwa branded kama mbaguzi, lakini ngoja ukweli usemwe.
Polepole jana katuweka mguu sawa!
Reject Rostam na washenzi wenzake! Tusikubali kutwaliwa na Rostam. Huyu ni Mkoloni, ngozi nyeupe...
Akizungumza leo Agosti 22,2025 kwa njia ya mtandao, Susan Lyimo Mwenyekiti Mteule wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA), amesema, “Uchaguzi Mkuu wa 2025 kama...
Salaam!
Tanzania nchi ya amani sana, yaani tumekutana hapa njiani, hatufahamiani, lakini tunajadili press ya Leo bila woga wowote.
Tumejaribu kuulizana wapi hasa alitokea Mh Polepole, alizaliwa...
Kama rais anatoa agizo kwa Spika tena muhimili mwingine kuwa awafukuze huko bungeni kwenye kinga ila waje mtaani ili wakisema ata deal nao kwa namna anayoona inafaa hii inamaanisha nini?
Kudeal...
Wakuu ili Ku-push agenda ya NRNE n.k
Mnaonaje tukamsapoti Pole Pole Kama ambavyo tumekuwa tukowasapoti wadau wengine Kama TAL n.k.
Kwakuwa huyu jamaa anatutoa gizani.
Wengine sisi CCM ndiyo imetubeba mpaka kufikia hapa. Ukitoa siri nyeti utaamsha walio lala na kutukatia mirija ya riziki zetu na watoto wetu.
Tafadhali sana ndugu yangu, njoo tuzungumze...
Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe...
Salaam ??
Mimi kama mtanzania mmoja, je napaswa kufanya nini kuinusuru nchi yangu na makucha ya kundi mtandao?
Tupeane hints japo it's too late.
Issue hii inawahusu wazalendo wote, waliopo...
Tusi-kwame hapa katika hili swala la electronic gangsters kama anavyosema Polepole.
Kwa ni maendeleo wakiyaona wananchi ndio wanaipigia kura CCM.
Nchi Iko katika mikono salama. Serikali inawajali...
Vyama vya Upinzani havina hiki cheo kwa kuogopa unyeti wake
Sasa ukiwasikiliza Nape na Polepole utaona umuhimu wa kutenganisha mkuu wa itikadi nia Msemaji wa chama
Mara nyingi Wenyeviti wa a...
Mpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi.
https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz
Leo katika pitapita zangu mitandaoni nimeona waziri Dakta Jafo amefanya uteuzi na amemteua Fred Vunjabei nikashangaa na kushtuka sana.
Tanzania Ili uwe waziri ni lazima uwe mbunge (mhimili...
Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania ambaye ni mwanachama wa ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa wito wa umoja na ushirikiano kwa Watanzania wote katika kupinga kile...
Salaam wana jamvi!
Naandika uzi huu wa kitafiti kama sehemu ya JAMII TALKS, nikiwa na furaha ya ushindi wa timu yangu Liverpool kutinga fainal ya CL kwa kishindo dhidi ya Barcelona.
Nirudi kwenye...
Licha ya kwamba sikubaliani na Comrade na mtandao wake walivyofanya uhuni kipindi cha utawala ule...ambapo mambo kadhaa yalijitokeza ikiwepo uporaji wa chaguzi, mauaji na upotezwaji wa raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.