Naibu Katibu mkuu CHAUMMA, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa kwa kiwango kikubwa wamefanikiwa kuteua wagombea wa nafasi ya udiwani kwa upande wa Tanzania bara...
Kuchagua viongozi wao wakuu wa chama wasio maono wala mikakati madhubuti ya kisiasa ni kosa la kwanza kabisa Chadema walifanya, hata sasa wamejikuta hapo walipo.
Kuitenga na kususia michakato ya...
Kuelekea uchaguzi mkuu October 29, Jana August 20, kamanda Jumanne Murilo alifanya tathmini ya UHALALI wa kauli mbiu ya "October tunatiki" ya CCM, dhidi ya "No reforms No ection" ya CHADEMA.
Kwa...
Wakuuuu!
Wakati taifa letu likielekea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, vyama vya siasa vimeanza mchakato wa kuwapata wagombea wao. Hata hivyo, kumekuwa na hali inayoibua mjadala, baadhi ya vyama...
Akizungumza leo Agosti 21, 2025 katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari na utangazaji kanda ya mashariki kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime...
Level ya Uhuni unaofanywa na CCM kwa Watanzania imevuka uhuni wanaoweza kuufanya Wanasiasa wowote hapa Duniani.
Inajulikana duniani kote kuwa Wanasiasa wanawadharau sana raia ila wanawaogopa...
Wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, Waziri wa habari Prof Kabudi amewahimiza waandishi wa habari kuacha kupokea rushwa na...
Kila mtu sasa ni lwake ndani ya chama! Walau mpaka jana usiku walikuwepo bado wachache wa kusema kitu.. Lakini si kuanzia usiku wa kuamkia Leo!
This time limeongolewa jambo ambalo ccm katu...
Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala, amewasili katika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jumamosi Agosti 23, 2025 kwa ajili ya kikao cha dharura kilichoitishwa...
Nimekosa imani kwa Chama Cha Mapinduzi. Naona kimejaa majambazi, wahuni na malaya wa kiitikadi. Namchukia sana Kikwete na genge lake la Wahuni akina Rostam kwa mujibu wa Polepole.
Sipendi...
Baada ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kuendelea kutoa kauli kuhusu mwelekeo wa kisiasa nchini, Mwanachama wa CCM na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Asasi za Kiraia...
Alichokiongea Polepole kimefanya nijisikie vibaya sana kwa sababu sijawahi piga kura tokea nizaliwe sababu moyo na ubongo wangu havijawahi kushawishika kufanya hivyo.
Najihisi kuvunjiwa heshima...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au...
Wapinzani wa kweli waliowezesha vyama vyao kupaa na kuingiza wabunge wengi bungeni akiwemo Lisu ni Mbowe na Maalim Seif tu Lisu hamna kitu
Mbowe na Maalim Seif walipambana hasa tume ya uchaguzi...
Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN.
Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna...
Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini...
Aliwahi kuzungumzia hili swala Nyani Ngabu kuwa Tanzania hakuna vyama Vya upinzani na havujawahi kuwepo.
Na mkija kumuelewa Nyani Ngabu mtakuwa mshateseka Sana .
Polepole leo kawa jasiri kwa kukataa kufa na siri moyoni. Kaamua kupasua jipu hadharani na wala siyo wodini.
Nape alishakataa kufa na siri moyoni siku nyingi. Alianza na kudokeza Goli la mkono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.