Nauliza tu maana kama anasamehewa ni vema iwe kwa dhambi zote erna asitende dhambi tena
Yesu Kristo akamuuliza Yule mkoma aliyetakasika ‘ Je hamkuwa WAKOMA 10 wako wapi wale wengine’
Mkoma...
Baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hawapo katika Vituo vya Kupigia Kura Jijini Dodoma, Mfano ni Kituo cha kupigia Kura Ofisi ya kata ya Chamwino hakuna msimamizi wa uchaguzi na Askari wote kwa...
Tafsiri ya INTEGRATION ni kuwa NIDA ipo connected na mfumo wa NEC + CCM maana yake hata mfumo wa migration kwenye passport upo connected , upo connected na mfumo wa Utumishi and likely na mfumo...
Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake...
Hadithi ya Mti na Kiti cha Muda
Katika ardhi nzuri iitwayo Tanzania, yenye milima inayogusa mawingu na mito inayobeba nyimbo za jadi, ulisimama Mti Mkuu uliowakilisha taifa. Mizizi yake ilitanda...
Kiutaratibu na kikawaida, shughuli za KKKT zinazomhusisha Mkuu wa Nchi huwa zinahudhuriwa na Maaskofu wa Dayosisi zote za KKKT pamoja na Maaskofu Wastaafu.
Shughuli hizi pia huwa zinahudhuriwa na...
Binafsi nilijua naenda kusikiliza vitu vizito kutoka kwa Polepole. Jina lilikuwa kubwa sana kwamba ni siku inayokwenda kushangaza watu. Watu wakaunda nadharia ya vitu ambavyo viko likely kusikika...
Ndo hivyo.
Unajua wajanja au born town ni watu ambao hawatumii nguvu pasipo nguvu.......wanamchora tu mtu na kupima kama kweli Yuko serious au la. Wakiona ni bwege tu asiye na mbele Wala nyuma...
Polepole anapodai ACT wazalendo na Chaumma ni project za CCM ndio nimerudi hadi enzi za Bunge Maalum la Katiba
Natafakari UKAWA haikuwa project fulani?!!
CCM ni Chama kikubwa sana 😄✔️
Mimi staki dhambi, staki UNAFIKI kamwe siwezi msamehe Pole pole mpaka kihama huyu ni mtu aliyeshiriki.mauaji ya watanzania Ili ccm itawale
Nisamehe Ili aende akawe baba wa mtoto wa Alphonso...
Hii imenishangaza sana, wanawake ndiyo wamekuwa wanapambana na CCM hadharani kwa njia mbali mbali kuliko wanaume.
Wanaume kinyume chake ndiyo wanaoongoza kuwatisha watu kuwa wakiipinga CCM...
Leo asubuhi Mjumbe wa nyumba 10 amekuja kwangu kutaka kuniorodhesha kama nina kadi ya CCM. Mimi nikamuuliza nani kakutuma uorodheshe watu? Unawaorodhesha kwa sababu gani? Yeye kanijibu kuwa...
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Innocent Bashungwa, leo amefungua rasmi Kituo cha Polisi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kutoa ujumbe muhimu kuhusu hali ya usalama wa nchi na maandalizi...
Sitaki kumhukumu Polepole kwa yaliyopita. Absolutely Am here not to judge polepole for the past. Nipo hapa kuangalia Leo na kesho ya Taifa langu.
Katika uwanja wa vita,moja ya mbinu hutumika ni...
'Mwanangu usiwe na matarijio makubwa utakayoshindwa kuyatimiza na kuumuza moyo wako', ni nukuu ya maneno kutoka kwa wazazi wangu wakinisihi juu ya jambo. Ingali kauli hiyo ilitolea zamani sana...
Nitakuwa branded kama mbaguzi, lakini ngoja ukweli usemwe.
Polepole jana katuweka mguu sawa!
Reject Rostam na washenzi wenzake! Tusikubali kutwaliwa na Rostam. Huyu ni Mkoloni, ngozi nyeupe...
Akizungumza leo Agosti 22,2025 kwa njia ya mtandao, Susan Lyimo Mwenyekiti Mteule wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAZECHA), amesema, “Uchaguzi Mkuu wa 2025 kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.