Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Watanzania wote kushiriki maombi ya Novena Takatifu yanayofanyika chini ya Kanisa Katoliki, ambayo yanahitimishwa tarehe 23 Agosti...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Rose Ndauka mwenyewe anasema "Sina Chama chochote lakini nipo huru kutoa maoni yangu,Wewe kaka acha kunifatilia wewe kula hela za watu lakini achana na mtu Mimi,mbona ni mtu mdogo tu Mbaya zaidi...
14 Reactions
36 Replies
2K Views
Hakika ni moshi wa kijani kwelikweli kwa maslahi ya wapiga kura.
1 Reactions
3 Replies
466 Views
Niseme ukweli, ni kwamba mpaka Sasa sijaona au kuridhika na hoja za kiuchumi za wagombea urais wakiichukua fomu INEC mwaka huu. Hakuna mgombea urais aliyeonesha namna atakavyo ikwamua Tanzania...
3 Reactions
6 Replies
336 Views
Niwashauri tu nyie watu ambao mmekesha mnamsikiliza polepole, hebu muwe hata mnajihoji wenyewe mtapata kitu badala ya kupelekeshwa na upotoshaji wa polepole, sasa NIDA inahusikaje wakati vituoni...
0 Reactions
162 Replies
6K Views
Makala hii inaelezea kitabu kinaitwa UNMASKING INEQUALITY in Tanzania and Beyond. Hakika hiki kitabu kinastahili kusomwa na kila mtanzania...
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Mh, Rais Samia , Sisi wafanyabiashara tunasema hatuna deni na wewe. Hakika Mama anazidi kutufikia.
1 Reactions
11 Replies
400 Views
Baada ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kufunguka kwamba kundi lake lilitaka kuanzisha chama baada ya kuenguliwa kugombea Urais Kupitia CCM Mwaka 1995, Gazeti la Raia Mwema linadokeza kwamba Mpango...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Nawaza tu maana Chaumma wameshasahaulika kama Sno Chama au Kampuni Baadae Mlale unono 🙏✔️
3 Reactions
6 Replies
356 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wagombea ubunge na udiwani waliopitishwa na vyama husika, kufika kwa wasimamizi wa uchaguzi kuchukua fomu za tume hiyo.
1 Reactions
6 Replies
529 Views
Hawa watu wapo popote ulipo Si Benki, passport hata kwenye Kura wapo. Huenda Hata Lissu aliipigia Kura veggies 2020
6 Reactions
15 Replies
901 Views
Habari za mida hii ndugu? Maoni yangu nivyema mwaka huu tusifanye uchaguzi kwa sababu huu ni mchezo wa kiini macho tu, kwa vyovyote vile chama tawala tayari wana hakika ya ushindi kwa asilimia...
0 Reactions
7 Replies
303 Views
WanaJF, Natumaini tunaendelea vizuri wikendi hii. Leo nimekuja na ushauri kwa serikali yetu wakati tunapambana kuelekea kwenye uchumi wa juu kama nchi. Wakati tunajivunia maendeleo tuliyopata na...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Agosti 10, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alimtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha kuwa mifumo yote ya Tehama serikalini inasomana ili kufahamu...
1 Reactions
1 Replies
315 Views
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu. Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi. Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu...
13 Reactions
75 Replies
4K Views
Nawashangaa sana hawa wanaojiita Upinzani, hivi Hawa wapinzani wetu ni wakulala wanaskiliza press za polepole Leo kweli? Nadhani ni kukosa hoja kwa Wananchi, lakini si kukesha eti mnamsikiliza...
5 Reactions
105 Replies
3K Views
Habari wakuu Mimi bado ni mgeni katika Chama cha mapinduzi. Nilianza kuwa mwanachama rasmi mwaka 2010 kwahiyo Nina miaka 15 Hadi Sasa. Kwa Hali ilivyo Sasa haitakiwi akili ya mhemko hata kidogo...
0 Reactions
2 Replies
234 Views
Mifumo hii kusomana ni jambo zuri na la kuigwa. Unaweza kupata taarifa popote, muda wowote. Tupunguze ujuaji
2 Reactions
15 Replies
868 Views
Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa, Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Kumekucha kumechangamka august-21-2025 tueke kumbukumbu sawa, Bwana HPolepole katuamsha na chupa imejaa chai ya moto🔥 balaa. Binafsi kanifikirisha sana, maana Kuna ile simulizi tulisoma darasa la...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom