Machangudoa sasa inabidi waanze kulipa kodi

Mmmh sasa siitakuwa nchi ya laana.. Maana itaendeshwa kwa kazi ya makahaba.. Na pombe na sigara..
 
Mmmh sasa siitakuwa nchi ya laana.. Maana itaendeshwa kwa kazi ya makahaba.. Na pombe na sigara..
Lakini misaana kutoka 'magharibi' sio laana wakati wao wana kusanya kodi zahao machangu, nawana tuletea tena tuna furahia sana.
 
Inabidi kwanza wapewe chanjo ya kuzuia magonjwa... alafu wawe na number ya mlipa kodi... alafu wawe na leseni ya biashara... alafu wawe na kibali kutoka wizara ya afya... alafu wapate cheti kutoka TBS kudhibitisha ubora wao... alafu wapate cheti kutoka TFDA...alafu wapewe kibali na polisi kutoka mahakamani kisheria... ambayo itagharimu bei za kuuza ziwe juu sana...
 
Mmmh sasa siitakuwa nchi ya laana.. Maana itaendeshwa kwa kazi ya makahaba.. Na pombe na sigara..
Usiogope, umewahi kujihoji wale wanaotoa sadaka makanisani/misikitini wengi wao ni akina nani?. Mambo mengine assume pesa ikifanya maendeleo hiyo siyo haramu bali yule aliyeitoa yeye ndio haramu
 
Duh aisee......lakn naona wamepungua nko hapa kona baa naona wako wale wa kawaida sana ambao hawajajazia...asa sijui hali imekua ngumu

.ile mizigo iliyojazia iliyokua inakaa hpa cjaiona
 
yaan ikiluhusiwa hivyo, wakipata wateja hata ndani ya daradara. ukimsumbua atakuonyesha rist aliolipia kodi serkali,utamwambia nn!! hii ni laana tayari. MACHANGUDOA MM NAWAFANANISHAGA NA WACHAWI, HAWANAGA AIBU! WANATEMBEA UCHI KAMA WANYAMA.
 
yaan ikiluhusiwa hivyo, wakipata wateja hata ndani ya daradara. ukimsumbua atakuonyesha rist aliolipia kodi serkali,utamwambia nn!! hii ni laana tayari. MACHANGUDOA MM NAWAFANANISHAGA NA WACHAWI, HAWANAGA AIBU! WANATEMBEA UCHI KAMA WANYAMA.
 
wasajiriwe walipie kodi ya elfu kumi kwa mwezi ili kusaidia fidia ya mcc
ushauri kama huu niliwahi kuutoa Apr 20, 2013

Opinion: Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Profession...

Wanabodi,
Takwimu za kidunia, zimethibitisha, biashara kubwa kabisa duniani kuliko biashara zote, na ajira kubwa kabisa duniani kuliko ajira zote, iliyo ajiri watu wengi zaidi kuliko katika ajira nyingine zozote, ni ajira ya utumishi wa kuhudumu katika biashara ya "The Oldest Professional" ambayo pia ndio biashara ya kwanza kabisa kufanywa na binadamu mara tuu baada ya kuumbwa kwa ulimwengu ambapo mama yetu wa kwanza, aliifanya in an exchange ya kuonjeshwa lile "tunda!.".

Jee hamuoni it's about time sasa Tanzania tuihalalishe rasmi biashara hii ili iwe ni kazi halali na biashara halali?!.
Ili angalau hawa wanawake milioni mbili extra, wapate haki yao kama wengine wenye bahati zao kuolewa, na ni katika kupata haki hiyo, hapo hapo hujikuta pia wameingiza kipato halali kwa jasho lao! na serikali kupata kodi!.

Kwa msio jua, hata wanawake wengine wote walio katika ndoa, msingi mkuu wa ndoa zote na uhalali wa ndoa ni hizo ni kitu kinachoitwa "consummation!", ambacho the object of transactions is the same!, ni kitu kile kile kinacho uzwa na wasio na ndoa!. hivyo ni kitu kile kile !, yaani ile process ya ndoa, bidhaa inayonunuliwa ni ile ile, na malipo ni yale yale kwa jina la mahari, au umeipata bure kwa makubaliano yoyote, hata ile kula bure, na kulala bure nayo ni malipo!, tofauti kati ya biashara huria na walio ndani ya ndoa, kule huria wateja ni wengi na wanabadilika badilika, kwenye ndoa mteja ni mmoja, anakuwa umelipia mzigo bei ya jumla na kuchukua jumla kwa viapo vya uaminifu!, ila kibiashara ni biashara ile ile, tofauti ni kwa walio katika ndoa, kuuza bidhaa zao kwa mteja mmoja tuu, huku wale wasio bahatika kuolewa, kulazimika kutembeza bidhaa hizo kwa wateja tofauti tofauti na kwa malipo kidogo kidogo, ambao licha ya kufanya biashara hiyo, hiyo kitendo cha kutoa huduma hizo pia ni haki yao ya msingi kwa mujibu wa haki za msingi za binaadamu!.

Tanzania kama tulivyoupokea utandawazi na kulazimika kubadilika, hadi mfumo wa vyama vingi kulazimika kuukumbatia, kwa jinsi hiyo hiyo huko tunakokwenda, tutake tusitake, tutafikia mahali tutalazimika kuihalalisha biashara hii, itakuwa na leseni, na watu watailipia kodi na amini usiamini, itakusanya kodi nyingi ajabu!.

Swali ni Jee, should we legalize it now, or not mpaka pale tutakapolazimika?!. Na hii ni sambamba na kuhalalisha bangi, kiasi fulani cha madawa ya kulevya na hata pombe haramu ya gongo, hivyo kutapunguza uharamu wa biashara hizi, kutapunguza uhalifu na serikali utaongeza mapato!

Pasco
 
Back
Top Bottom