Polepole apuuzwe, tuliosoma naye tulimuita Polisi/Usalama

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,970
Reaction score
3,580
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
 
Toa mbadala wake sasa, maana unasema apuuzwe pasipo kusema sababu za msingi za kumpuuza. Huenda wewe una shida kubwa zaidi kuliko yeye. Kama alikuwa anaongea upuuzi kulikuwa na haja gani ya mitandoa yote ya social media kuwa paralized? Hii ya leo inaonesha tuna madudu mengi sana na hatupendi watu wayaongee ndio maana mifumo ilipigwa chini. Ni aibu sana kama, na tumelisababishia hasara Taifa.
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
Acha ujinga wako jamaa ni mazalendo wa nchi na msafi wa nafsi ameamua kuchagua fungu jema mwacheni.
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
Huyu ndio tunamtaka sasa aripoti wahuni wote pamoja na wewe
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu

Acha Uongo Pole Pole alikuwa mtu fresh na nywele zake za brown ,alikuwa busy na makongamano ya TYCS na midahalo ,alikuwa hana muda na hayo uliyoyasema.
 
Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.
Ina maanisha mpaka kuweza ku report hayo mambo hayakuwa mambo mazuri. Maana sidhani walimu wangetilia maanani endapo ingekuwa anaenda kureport kuwa wanafunzi wanajisomea. Ni sawasawa na sasa anapoongelea uozo wa CCM.

Hii inamaanisha hapaswi kupuuzwa maana anauzoefu wa kureport uozo toka alipokuwa shule.
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
Muda huu tunawahitaji saaaaana hawa wanoko wakati huu unoko.wao una tija😉
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu

Form imechukuliwa?
Wadhamini walipatikana,?
Msajili wa vyama mbona yuko kimya kwa huo ukiukwaji?

Kabla ujamshambulia jibu hoja zake kwanza
 
Back
Top Bottom