Kwani kuna mtu asiyejua kama mwaka huu kuna uchaguzi?
Asubuhi mtu anakuuliza, “Unatiki?” Kama tumekutana, tusalimiane. Kila mtu ashike hamsini zake.
Kama ukiona jambo lina faida kwako, kawaeleze...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe...
BADO SIKU 3: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Afya ya akili huanza na kujipenda. Jitunze
📅 25 - 30 Agosti, 2025
📍...
Habari wakuu
Kumekuwepo na viashiria vya kutokuaminiana mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu,imefikia hatua baadhi ya vyama vya siasa kuamua kususa.
Kwanini ili zoezi wasipewe hawa jamaa ili...
==
Mkuu wa mkoa wa Mara akiongea mbele ya wanahabari alisema kuwa Mkoa wa Mara umeunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kupitia vituo vya Nyamongo, Musoma, Bunda na Kibara.
Hadi kufikia Machi 2025...
Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema Mkoa umeunganishwa na Gridi ya Taifa ya Umeme na umewashwa umeme katika Wilaya za Mlele, Nsimbo, na Tanganyika, mradi ukiwa...
==
Ndugu Wananchi, akizungumza na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema:
“Chini ya Rais wa Awamu ya Sita, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Katavi umepokea jumla ya...
==Ndugu Wananchi, katika kipindi cha miaka mitano, sekta ya usafiri wa anga na reli katika Mkoa wa Katavi imeimarika ambapo Mkoa ulipokea Shilingi 1,444,617,687.63 (Bilioni 1.444) kwa ajili ya...
Rais Samia ama kwa hakika amepitia na anapitia mitihani Mingi na mugumu tangu kuapishwa kwake March 17 Mwaka 2021.
Jambo pekee linalowafunga midomo maadui zake wa nje na ndani ama kwa kutaka...
Akizungumza na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwamvua Hoza Mrindoko, amesema:
“Chini ya Rais wa Awamu ya Sita, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Katavi umepokea jumla ya...
Uharibifu wa uchaguzi ni jambo moja baya sana jambo lingine baya zaidi ni kumiliki taarifa za watu binafsi, kwa maana nyingine CCM wakitaka kumshughulikia mtu kwa njia yoyote ile wanaweza kujua...
Sekta |Wakala
Kipengele
Urefu | Idadi
Gharama (Tsh)
Hali | Tarehe
TANROADS
Mtandao wa barabara
1,201.81 km (kuu 594.46, za mikoa 607.35)
-
-
Barabara Kimkakati
Mpanda–Tabora
352 km...
Ni ukweli kabisa usio pingika hata kwa 0.00000000000000001% hauwezi kukataa alichokisema polepole
Kwa wale walio sajiliwa katika mfumo wa Kidigital wa MAFISIEMU. Ni kweli utakuta taarifa zako za...
Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi...
Uchaguzi mkuu wa 2025 haupo mbali!
“Voices from within” 🤣 zinaniambia CCM itashinda tu. Na ikitokea wakashinda kweli, msiache kunipa credit ya kutabiri kwa usahihi, sawa ndugu zanguni eh? 🤣🤣...
Swali kwa Polepole: Unaposema mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna viinimacho, mwaka 2019 na 2020 kulikuwa na nini?
Hamjaandaa mabox mawili moja mkawapa walimu na watendaji wajaze kura usiku...
Tusijali kuhusu hawa electronic gangsters anaowasema Polepole.
Kwa sababu watu wanaichagua CCM kutokana na maendeleo wanayoyaona; barabara,hospitali shule.
Dosari ni kwamba Chadema...
Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.