Hivi Magufuli aliwahi kumfunga Mkurugenzi yoyote kwa ufisadi? Serikali ya Samia yamfunga miaka 22 Mkurugenzi kwa ufisadi

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
2,194
Reaction score
4,802
Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa,

Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio hukusanya ushahidi, kuandaa mashahidi, na kufungua kesi ni watu instrumental kwa mhalifu kufungwa au kutofungwa.

Rais pia anaweza kuagiza kitu fulani kipelelezwe ama kiachwe

Sikuwahi kusikia Magufuli au serikali yake ikiwafungulia mashataka wakurugenzi wa halmashauri ambao kwenye ripoti za CAG ni maarufu kwa hati chafu na upigaji au hata wa mashirika ya umma kwa ufisadi, au kwa sababu walikuwa ni wanaCCM na Magufuli aliwapenda sana wanaCCM na kuwachukia wapinzani ambao kwa kipindi chake wengi walisota jela, kupigwa risasi, kutekwa na kuuawa.....

Turudi kwenye habari

KIGOMA — MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.

Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni 463.5.

#HabarileoUPDATES
 
Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basis mafisadi hawawezi kufungwa

Kwa nini unalinganisha
 
Atakuwa huyo Mkurugenzi supporte wa chadema ndiyo maana kamfunga. Mbona wa CAG wanapeta?
 
Kaiba milion mia nne atakata rufaa mahakama kuu atatumia kama milion 20 hiv then ataonga milion 80 alafu ataachiwa huru na net kama milion mia tatu baadaye atateuliwa tena kama ilivyo kwa yule jamaa alihukumiwa kma huyu then akatoboa mahakama kuu saiv anaenjoi teuz tu na huyu atakua na milion 300 kibindon na teuz juu.

Karibu Tanzania, hakika mama anaweza na anafaa kwa mitano tena. Lucas Mwashambwa

Saidia fundi.
 
Ukiona hivyo mafahali wawili hawakai kwenye nyumba moja

Mwenye nguvu siku zote ndio utawala.
 
Kaiba milion mia nne atakata rufaa mahakama kuu atatumia kama milion 20 hiv then ataonga milion 80 alafu ataachiwa huru na net kama milion mia tatu baadaye atateuliwa tena kama ilivyo kwa yule jamaa alihukumiwa kma huyu then akatoboa mahakama kuu saiv anaenjoi teuz tu na huyu atakua na milion 300 kibindon na teuz juu.

Karibu Tanzania, hakika mama anaweza na anafaa kwa mitano tena. Lucas Mwashambwa

Saidia fundi.
Ni ramli nzuri, lakini kafungwa, Magufuli aliwahi kumfunga yupi? Ndio hoja ya Uzi wangu
 
Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basis mafisadi hawawezi kufungwa

Sikuwahi kusikia Magufuli au serikali yake ikiwafungulia mashataka wakurugenzi wa halmashauri ambao kwenye ripoti za CAG ni maarufu kwa hati chafu na upigaji au hata wa mashirika ya umma kwa ufisadi, au kwa sababu walikuwa ni wanaCCM na Magufuli aliwapenda sana wanaCCM na kuwachukia wapinzani ambao kwa kipindi chake wengi walisota jela, kupigwa risasi, kutekwa na kuuawa.....

Turudi kwenye habari

KIGOMA — MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imewahukumu kifungo miaka 22 jela watumishi wanne wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Athuman Msabila baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya kughushi nyaraka na utakatishaji wa fedha.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi wa Mkoa, Misana Majula katika kesi ya jinai namba 5546 ya mwaka 2024 iliyowakabili watumishi 11 wa serikali, wakiwemo maofisa kutoka idara ya fedha ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Kwa mujibu wa hukumu hiyo, Msabila pamoja na Ofisa Uchumi wa manispaa hiyo Ferdinand Filimbi, Kaimu Mweka Hazina Salum Juma na Frank Nguvumali wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kughushi nyaraka.

Aidha, Msabila na Juma wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la utakatishaji fedha baada ya kutiwa hatiani kwa kuhusika kutaka kujipatia fedha isivyo halali kiasi cha Sh milioni 463.5.

#HabarileoUPDATES
kiongozi hebu tulia hebu tulia uandike vizuri. maana sijaelesijaelewa unaadika nini.
 
Unagusa dagaa unajisifu umekomesha ufisadi.Hii nchi bwana mbona IGP mabilioni aliyonayo mjagusa
 
Ni ramli nzuri, lakini kafungwa, Magufuli aliwahi kumfunga yupi? Ndii hoja ya Uzi wangu
magufuri ana mahakama

mahakama ni muhimili mwingine na serikali ni mwingine

kuna sehemu kwenye iyo hukumu umeona wamesema samia kaamuru ama katoa maelekezo afungwe huyo jamaa
 
Hukusoma nabumekurupuka kujibu kwa kuangalia title
 
Unamfunga mtu miaka 22 halafu unamwachia rostam mali za nchi unaakili wewe?
 
i dont get it, kwa nini serikali ya Samia vs serikali ya Magufuli tu na siyo Samia vs serikali ya Kikwete, Mkapa au hata Mwinyi? ...
 
semeni ametofautiana na system wapi, acheni polojo
 
Back
Top Bottom