Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Asalaam alykhum, Tumsifu Yesu Kristo. Mimi siyo mtabiri. Nimeona wazi kabisa mchezo wa siasa siyo mzuri na hauna dini, bali dini inachukuliwa na wanasiasa kama kinga kwa wananchi wao. Kikubwa...
2 Reactions
11 Replies
808 Views
Hamjambo! Katika vita ya mtandaoni, hasa vita maneno. Kuna kanuni zake. Unapotupiana maneno na mtu kama unakombora kubwa kuliko haupaswi kulichelewesha sana kama vile katika vita vya silaha...
14 Reactions
121 Replies
4K Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali...
3 Reactions
103 Replies
6K Views
Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo...
-1 Reactions
116 Replies
3K Views
Bila NRNE na hivyo bila Lissu kuwa mbele ya Pilato tungeonana wapi, ana kwa ana na kina Polepole au Gwajima? Hatimaye leo imefika, ile siku ya ahadi, na ahadi iliyopo ni kumwagwa kwa mboga...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa hali ya mambo ilipofikia uchaguzi wa mwaka huu ni KUPIGA KURA AU KUBAKI NAYO ndio kampeni kubwa ya mwaka huu. Sio kampeni za Rais na Wabunge tena. Naikumbusha Dola kuwa kama nchi tumeshatumia...
0 Reactions
4 Replies
373 Views
Habari Jf.. Nape Nnauye Juzi akiwa Mkoani Kanda ya Ziwa aliwaambia CCM Ushindi ni Lazima hata kwa Goli la Mkono ili mradi tu Referee apulize Kipenga. "Goli ni Goli tu Hata Kama ni la Kuotea"...
2 Reactions
146 Replies
21K Views
Utafutwaji WA madaraka katika mataifa ya Kiafrica unatumia sana njia haramu hivi ni kwa Nini? Hivi hamkumbuki wakati wa uchaguzi walikamatwa vijana kutoka izraeli walio kuwa maIT wa chadema...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
Jibuni swali langu? Je ccm ingekubali KUMWAGA oil haya yanasemwa yangedemwa na Pole pole?
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea mapendekezo kuanzia tarehe 27 Februari, 2025...
0 Reactions
115 Replies
8K Views
"....Kesi za Lissu ni kesi dhidi ya Upinzani, Mtu yoyote anayeitakia mema nchi na siasa ya nchi hii, na atalaani kwa nguvu zote kesi hii. Mimi kama mwanasiasa ninashauri njia bora ya kumaliza kesi...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Vijana wa CCM wengi hawana hoja na wapo kwa maslahi. Wanao jielewa kama Polepole hata Gwajima sio mzee wanaongea. Lakini ukienda mfano Chadema wote wanaongoza ni vijana vijana tu. Ukienda kwenye...
5 Reactions
6 Replies
484 Views
Polepole kaanza na kumuwasha mama moja kwa moja! Kauliza kama Majaliwa haendelei na mambo za kugombea, Mpango naye vile vile, sasa yeye nani anayelazimisha kuendelea wakati watu hawamtaki? Team...
0 Reactions
4 Replies
596 Views
Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite? February Mpini Katelefoni Pasta Gwa Na maamuzi ya leo ya halfrey Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbali
28 Reactions
184 Replies
13K Views
Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CHADEMA chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche. Hawa watu wamejua hasa kuliamsha dude na sasa hatimaye abiria...
20 Reactions
52 Replies
3K Views
Ndio nini sasa umefanya mpaka tunakimbia viota vyetu na kuahirisha ratiba zetu nyingi? Sasa unadhani tutachaguanaje kwa huu upuupu ulioumwaga? Sasa kila mtu anawashwa.. Nyumbani hapakaliki...
15 Reactions
49 Replies
4K Views
Magenge ya vita vya madaraka Magenge ya kazi chafu Magenge ya kuteka Magenge ya kuua Magenge ya kutakatisha pesa Magenge ya kuuza/kugawa rasilimali za Tanganyika Magenge ya upigaji pesa kwenye...
22 Reactions
70 Replies
3K Views
Mpaka majira ya saa nne tarehe 21 8 2025 hutujui kinachoendelea kwenye press ya Pole pole Ipite mbali Mifumo isipite naye Ila Kuna watu wanajisahau Sana wakipewa nafasi Hadi waondolewe Nape...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Hali ni mbaya sana kuliko tunavyoweza kudhani Mabadiliko ya katiba ya ccm kumpa "mighty powers" mwenyekiti wa chama sio ya bahati mbaya. Kupitishwa kugombea ubunge kwa wanafamilia ambao wazazi...
32 Reactions
119 Replies
4K Views
Back
Top Bottom