PreGE2025 Kwanini Tundu Lissu ataweza kuchukua nchi?.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,265
Reaction score
25,541
Asalaam alykhum, Tumsifu Yesu Kristo.

Mimi siyo mtabiri.
Nimeona wazi kabisa mchezo wa siasa siyo mzuri na hauna dini, bali dini inachukuliwa na wanasiasa kama kinga kwa wananchi wao.

Kikubwa wanasiasa hawana dini na hawaamini kama kuna Mungu, wewe angalia matendo yao.

Njoo kwenye mada sasa, unajua nafaham kwa nini Tundu Antipas Mughwai Lissu yupo lupango na kwa nini anaweza asitoke leo au kesho hadi uchaguzi au baada ya kuiona Chadema imepoteza muelekeo?.

Ipo hivi, wananchi hata mimi mwenyewe imani kwa CCM imekufa, wananchi wanaenda kwa CCM kwa sababu ya saini ya posho na si zaidi.

Wananchi wanalazimishwa kuipenda CCM si kutoka moyoni ila kwa sababu ndiye kashika mpini wote.

CCM wanajua kabisa ikitokea Lissu akaingia kwenye kinyang'anyiro na kushindana na Bimdashi basi hatoboi labda kwa mbereko ya wakuu wa wilaya, mkoa na jeshi la polisi.

Kama huyo mungu wanayemtaja hata hao kina hananja ingekuwa anahofiwa basi kila mtu angetenda haki na hata kura ya kila raia ingetendewa haki ila wanajua hamna HUKUMU wala MOTO wa jehanam.

Yaani huku kwenye ground movie iko wazi bin ukweli.

20250610_125726.jpg
 
njinjo, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah ule ukweli msioupenda si ndiyo huu?
 
Lisu nichaguo la wengi ila samia anafos kwa sababu kashika dola kila mtu analijua hilo
Muda wa mabadiriko umefika ila walioshika mpini wanatumia kila hila kuzuia kwa kuumiza, kutesa mpaka kuua.

Askali mlinzi wa raia hana tena weledi wa kuchuja na kushika ila anapondaponda raia ili apate nguvu zaidi baada ya bosi wake kumuona kuwa ni jasiri.

Mbaya zaidi UKOO: Hakuna Mgumu wa Kutoa Sauti, Hata Mmoja
 
Rais wa Senegal leo, mwanasheria yule aliwekwa gerezani na kuzuiwa kugombea urais. Safari yake kutokea gerezani ilihitimishwa na kwenda kuapishwa kuwa rais.

Nini tofauti yake na hapo?

TAL, anayajua mapungufu ya mahakama zetu ambayo ni kero kuu.

Anakerwa na kukosekana kwa haki kama kunavyodadavuliwa kuwahusu Futungo.

Lissu POTUS wa kwetu ajaye na mwanzo wa zama hizo hauko mbali.

Wenye husuda jinyongeni!

Mungu ambariki TAL.
 
Back
Top Bottom