Mpaka sasa wamejitokeza wawili tuu lakini tayari hapatoshi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,018
Reaction score
871,091
Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CHADEMA chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche.

Hawa watu wamejua hasa kuliamsha dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakutarajiwa kabisa wameanza kuomba lift
Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena!

Wameongea wawili tu mpaka sasa lakini nyuma yao wana support kubwa Sana hata kabla wengine hawajajitokeza.

Saa ya ukombozi imekaribia Sana. Hakuna haja tena ya kushupaza shingo! Wakati ni ukuta, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akatoboa

View: https://www.facebook.com/share/v/19Fftrn3NY/
 
Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CDM chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche.. Hawa watu wamejua hasa kuliamshq dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakitarajiwa kabisa wameanza kuomba lift
Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena! Wameongea wawili tu mpaka sasa lakini nyuma yao wana support kubwa Sana hata kabla wengine hawajajitokeza...
Saa ya ukombozi imekaribia Sana.. Hakuna haja tena ya kushupaza shingo! Wakati ni ukuta, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akatoboa

View: https://www.facebook.com/share/v/19Fftrn3NY/View attachment 3408546

Wananachi wamechoka kuibiwa kura.
Wana hamu ya kupiga kura za ukweli. Umemsahau Butiku na Warioba
 
Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CDM chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche.. Hawa watu wamejua hasa kuliamshq dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakitarajiwa kabisa wameanza kuomba lift
Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena! Wameongea wawili tu mpaka sasa lakini nyuma yao wana support kubwa Sana hata kabla wengine hawajajitokeza...
Saa ya ukombozi imekaribia Sana.. Hakuna haja tena ya kushupaza shingo! Wakati ni ukuta, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akatoboa

View: https://www.facebook.com/share/v/19Fftrn3NY/View attachment 3408546
 
Attachments

  • polepole1.mp4
    9.4 MB
😀😀😀 kuangamiza wadudu bila kuua😂.. Cord?
 
Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CDM chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche.. Hawa watu wamejua hasa kuliamshq dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakitarajiwa kabisa wameanza kuomba lift
Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena! Wameongea wawili tu mpaka sasa lakini nyuma yao wana support kubwa Sana hata kabla wengine hawajajitokeza...
Saa ya ukombozi imekaribia Sana.. Hakuna haja tena ya kushupaza shingo! Wakati ni ukuta, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akatoboa

View: https://www.facebook.com/share/v/19Fftrn3NY/View attachment 3408546

Hawa kina gwaji na slowslow mnataka kuwafanys mashujaa ila wao hawataki kuondoka kwenye chama chao wala kukiri wizi na janjajanja za uchaguzi.

Hawa sio wakombozi wakuu, hawa ni hawaelewani na aliyeko juu tu
 
Tunachoangalia ni hoja na sio mahaba bunafsi ya taasisi.
Je hoja zao zina mashiko!?
 
Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CDM chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche.. Hawa watu wamejua hasa kuliamshq dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakitarajiwa kabisa wameanza kuomba lift
Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena! Wameongea wawili tu mpaka sasa lakini nyuma yao wana support kubwa Sana hata kabla wengine hawajajitokeza...
Saa ya ukombozi imekaribia Sana.. Hakuna haja tena ya kushupaza shingo! Wakati ni ukuta, hakuna aliyewahi kushindana na wakati akatoboa

View: https://www.facebook.com/share/v/19Fftrn3NY/View attachment 3408546

Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.

Bei tsh. 23,000,000.00

Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom