Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vijana wa CCM wengi hawana hoja na wapo kwa maslahi. Wanao jielewa kama Polepole hata Gwajima sio mzee wanaongea. Lakini ukienda mfano Chadema wote wanaongoza ni vijana vijana tu. Ukienda kwenye...
5 Reactions
6 Replies
484 Views
Polepole kaanza na kumuwasha mama moja kwa moja! Kauliza kama Majaliwa haendelei na mambo za kugombea, Mpango naye vile vile, sasa yeye nani anayelazimisha kuendelea wakati watu hawamtaki? Team...
0 Reactions
4 Replies
596 Views
Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite? February Mpini Katelefoni Pasta Gwa Na maamuzi ya leo ya halfrey Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbali
28 Reactions
184 Replies
13K Views
Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CHADEMA chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche. Hawa watu wamejua hasa kuliamsha dude na sasa hatimaye abiria...
20 Reactions
52 Replies
3K Views
Ndio nini sasa umefanya mpaka tunakimbia viota vyetu na kuahirisha ratiba zetu nyingi? Sasa unadhani tutachaguanaje kwa huu upuupu ulioumwaga? Sasa kila mtu anawashwa.. Nyumbani hapakaliki...
15 Reactions
49 Replies
4K Views
Magenge ya vita vya madaraka Magenge ya kazi chafu Magenge ya kuteka Magenge ya kuua Magenge ya kutakatisha pesa Magenge ya kuuza/kugawa rasilimali za Tanganyika Magenge ya upigaji pesa kwenye...
22 Reactions
70 Replies
3K Views
Mpaka majira ya saa nne tarehe 21 8 2025 hutujui kinachoendelea kwenye press ya Pole pole Ipite mbali Mifumo isipite naye Ila Kuna watu wanajisahau Sana wakipewa nafasi Hadi waondolewe Nape...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Hali ni mbaya sana kuliko tunavyoweza kudhani Mabadiliko ya katiba ya ccm kumpa "mighty powers" mwenyekiti wa chama sio ya bahati mbaya. Kupitishwa kugombea ubunge kwa wanafamilia ambao wazazi...
32 Reactions
119 Replies
4K Views
Wahenga walishafanya mengi wakapitia mengi, wakajifunza mengi na hatimaye wakapata uzoefu mkubwa kwenye changamoto walizokutana nazo! Mojawapo walilokutana nalo ni kwenye ufugaji wa wanyama...
26 Reactions
65 Replies
4K Views
Bajeti ya kuchukua fomu ya mgombea inaweza kuwa bei gani? https://www.facebook.com/share/v/17CArWE1Ks/ Je kulikuwa na haja ya kuwa na msafara mkubwa kama huu? Ili iweje sasa? Ufahari? Ama...
17 Reactions
70 Replies
2K Views
Tarehe 12.8.2025 itaingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika kwa mambo mengi 1. Majigambo ya nguvu ya mtandao kwamba wana watu wazito na wana ukwasi wa kutosha 2. Ithibati kamili kwamba chama...
51 Reactions
61 Replies
4K Views
Yuko live anafafanua harambee ya ccm https://www.youtube.com/live/CFo3acDUdk4?si=5uISdttXG23lexRu
14 Reactions
48 Replies
4K Views
Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za...
27 Reactions
106 Replies
4K Views
Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni muhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya Mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na...
17 Reactions
66 Replies
4K Views
Polepole anasema kwa uchaguzi 2020 kundi la mtandao lilikuwa na mgombea wao, walikuwa wanamtaka Shamsi Nyahoza. Wakati kamati kuu wote walisema hawana mgombea, siku ya jioni kuna mtu alikuwa...
1 Reactions
8 Replies
710 Views
Mh Rais Leo Kuna habari mitandaoni Kuna kijana kutoka mkoa wa geita mwimba nyimbo za injili ametekwa baada ya kutoa nyimbo iliyowauzi nyinyi watawala Je Mh Rais Hawa watanzania unao IKULU?
4 Reactions
9 Replies
667 Views
Habari wakuu Kuna suala la wananchi kukutana na kutoa maoni kuhusu maswala mbalimbali yanayotokea katika nchi upande wa siasa, jamii na uchumi. Kwa wenzetu nchi jirani, wananchi wana maeneo...
0 Reactions
2 Replies
236 Views
Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema kuna tatizo kubwa linaloikumba sekta ya ulinzi na usalama nchini, na kusisitiza kuwa vyombo hivyo vinahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa ili viweze kutimiza...
2 Reactions
9 Replies
726 Views
Unapotamani kwenye chaguzi za CCM kusiwepo na rushwa au upendeleo, ni kama unataka kusema CCM isiwepo! Huwezi kuitenganisha CCM na rushwa halafu CCM ikaendelea kuwepo. Rushwa kwa wana CCM wengi...
3 Reactions
12 Replies
822 Views
Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom