Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza kuridhishwa na kile alichokiita mchango wa viongozi wa zamani na wa sasa katika...
Leo amekuja na mpya tena alivyokuwa East Africa radio kuhusu kuvaa fulana yenye picha ya Hyati JPM, mpina atachomoka kweli wakuu?
Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa...
Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha.
Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa...
Wakuu JF, amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu.
Mnajua, Mh. Lissu bado yupo mahabusu kwa kesi ya kubumba na wapiga doria kwenye mitandao ya kijamii...
Safari hii umeongea na umetamka wazi kuwa sasa ni bora hata CCM ife Taifa lipone kwa utakaloongea kwani Viburi vya viongozi vimezidi.
Leo umetamka wazi kuwa viongozi wa CCM wamejaa Viburi hii...
Ni vizuri wale ambao wanahadaa wananchi na kuwapotosha kwa makusudi kabisa, eti ya kwamba hapatakua n uchaguzi mkuu baadae mwaka huu mwezi wa wafahamu na kuelewa kwamba huo ni uongo wa wazi na...
Jee Polepole mambo anayoyasema ni ya kweli au ni uongo? Kama ni uongo ukweli ni upi na una ushahidi upi?
Wakati Polepole alipokuwa kiongozi wa CCM, aliyokuwa anayafanya yalikuwa na baraka za CCM...
Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema wanasiasa wengi hawapendi viongozi wa dini kushiriki katika masuala ya siasa kwa sababu wanaamini hatua hiyo inaweza kuathiri maslahi yao binafsi.
“Wanasiasa...
Kaimu Katibu Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro, Erick Joshua, amesema kuwa kuhama kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho hakujaathiri uimara...
Nimeambiwa na mzee mmoja kuwa Polepole anajua mengi.
Jinamizi limekuwa likimsumbua juu ya hujuma alizofanyia Thomas Sankara wa Tanzania
Tusubiri. Maana kila kitu kitawekwa wazi
Zikiwa zimebaki siku 7 pekee kuelekea uzinduzi rasmi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2025, wakina dada wamejitokeza kwa ubunifu kupitia photoshoot ya mshikamano kuonesha mapenzi na imani yao kwa...
Nadhani majaji walioteuliwa toka ofisi ya mwanasheria mkuu, au ofisi ya DPP, ndio wanaoharibu sifa za mahakama yetu.
Kwa mfano, usije shangaa Nassoro Katuga akauteuliwa kuwa Jaji wa mahakama kuu...
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip...
Shalom
WanaJF, tuwe wakweli!! Kauli ya Sugu kwamba “tume wasamehe Gwajima na Polepole” ni usaliti mkubwa kwa wanachama wa CHADEMA na wazalendo wa taifa hili.
Makosa ya Humphrey Polepole yapo...
Habari JF, binafsi sina uwezo wa Mungu wa kuweza kujaza mtungi wa gasi au kufanya miujiza , lakini ninaiona Tanzania baada ya 2030 ikiwa chini ya Mikono salama , wazalendo na wapenda maendeleo ...
Urusi imerusha mamia ya ndege zisizo na rubani na makombora magharibi mwa Ukraine usiku kucha katika moja ya mashambulizi makubwa zaidi ya mabomu katika wiki za hivi karibuni, maafisa wa Ukraine...
KUTOKA MTANDAONI
"The morphing of dictators" refers to the concept that authoritarian leaders, even those starting with good intentions, often evolve into more ruthless tyrants over time due to...
Moja ya hutoba za rais samia miezi michache iliyopita alisikika akisema haya? ''Mkiambiwa Rais wenu ni muuaji waambieni ndiyo ameua nguvu hasi ya wapinzani''
Soma pia: H Polepole: Serikali ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.