Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi karibu nilihitaji huduma ya kuweka majina ya mdogo wangu vizuri. Mtiririko uliopo ni very advanced Sana mpaka nikasema Kongole.
0 Reactions
3 Replies
655 Views
Imebaki kundi dogo la ambao angalau wana uhakika wa kesho yao ndo wanamfatilia Polepole ila sisi walala hoi tumempuuza Polepole na mafisadi wenzie
2 Reactions
23 Replies
828 Views
Swali kwa Polepole: Unaposema mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna viinimacho, mwaka 2019 na 2020 kulikuwa na nini? Hamjaandaa mabox mawili moja mkawapa walimu na watendaji wajaze kura usiku...
0 Reactions
15 Replies
787 Views
Tusijali kuhusu hawa electronic gangsters anaowasema Polepole. Kwa sababu watu wanaichagua CCM kutokana na maendeleo wanayoyaona; barabara,hospitali shule. Dosari ni kwamba Chadema...
0 Reactions
9 Replies
390 Views
Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda...
6 Reactions
13 Replies
708 Views
Asalaam alykhum, Tumsifu Yesu Kristo. Mimi siyo mtabiri. Nimeona wazi kabisa mchezo wa siasa siyo mzuri na hauna dini, bali dini inachukuliwa na wanasiasa kama kinga kwa wananchi wao. Kikubwa...
2 Reactions
11 Replies
808 Views
Hamjambo! Katika vita ya mtandaoni, hasa vita maneno. Kuna kanuni zake. Unapotupiana maneno na mtu kama unakombora kubwa kuliko haupaswi kulichelewesha sana kama vile katika vita vya silaha...
14 Reactions
121 Replies
4K Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali...
3 Reactions
103 Replies
6K Views
Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo...
-1 Reactions
116 Replies
3K Views
Bila NRNE na hivyo bila Lissu kuwa mbele ya Pilato tungeonana wapi, ana kwa ana na kina Polepole au Gwajima? Hatimaye leo imefika, ile siku ya ahadi, na ahadi iliyopo ni kumwagwa kwa mboga...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
Kwa hali ya mambo ilipofikia uchaguzi wa mwaka huu ni KUPIGA KURA AU KUBAKI NAYO ndio kampeni kubwa ya mwaka huu. Sio kampeni za Rais na Wabunge tena. Naikumbusha Dola kuwa kama nchi tumeshatumia...
0 Reactions
4 Replies
373 Views
Habari Jf.. Nape Nnauye Juzi akiwa Mkoani Kanda ya Ziwa aliwaambia CCM Ushindi ni Lazima hata kwa Goli la Mkono ili mradi tu Referee apulize Kipenga. "Goli ni Goli tu Hata Kama ni la Kuotea"...
2 Reactions
146 Replies
21K Views
Utafutwaji WA madaraka katika mataifa ya Kiafrica unatumia sana njia haramu hivi ni kwa Nini? Hivi hamkumbuki wakati wa uchaguzi walikamatwa vijana kutoka izraeli walio kuwa maIT wa chadema...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
Jibuni swali langu? Je ccm ingekubali KUMWAGA oil haya yanasemwa yangedemwa na Pole pole?
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea mapendekezo kuanzia tarehe 27 Februari, 2025...
0 Reactions
115 Replies
8K Views
"....Kesi za Lissu ni kesi dhidi ya Upinzani, Mtu yoyote anayeitakia mema nchi na siasa ya nchi hii, na atalaani kwa nguvu zote kesi hii. Mimi kama mwanasiasa ninashauri njia bora ya kumaliza kesi...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Vijana wa CCM wengi hawana hoja na wapo kwa maslahi. Wanao jielewa kama Polepole hata Gwajima sio mzee wanaongea. Lakini ukienda mfano Chadema wote wanaongoza ni vijana vijana tu. Ukienda kwenye...
5 Reactions
6 Replies
484 Views
Polepole kaanza na kumuwasha mama moja kwa moja! Kauliza kama Majaliwa haendelei na mambo za kugombea, Mpango naye vile vile, sasa yeye nani anayelazimisha kuendelea wakati watu hawamtaki? Team...
0 Reactions
4 Replies
596 Views
Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite? February Mpini Katelefoni Pasta Gwa Na maamuzi ya leo ya halfrey Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbali
28 Reactions
184 Replies
13K Views
Back
Top Bottom