Uhaini ni jaribio la kubatilisha matakwa ya wananchi kusimika utawala kwa njia haramu.
Kwa kuingilia mifumo ya uchaguzi CCM imekuwa ikibatilisha matakwa ya wananchi na kusimika utawala wake kwa...
Copy and paste
Viongozi wengi wa kisiasa huwa wanajitengenezea taswira fulani ktk uongozi wao.
Kwa mfano aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine, alijijengea taswira inayofanana kidogo na taswira...
Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV Mwenyekiti wa Asasi ya Wanafunzi ya Siasa UDSM Antony Severine alisema:
"Kama vyama vinaunganishwa na vijana kupitia ilani, ni...
Kwa mfumo wao wa NIDA asee unaweza usifike kituo cha kupiga kura lkn mfumo ukatick umepiga kura tena umechagua CCM kabisa
Yaani kura inajipiga automatically wewe ukiwa om afu utasikia 30 millon...
Najaribu ku connect matukio ya Mpina na Samia wake.............................tunakudai, kukatwa, then kwenda CCM. Dorothy kuachia urais, Mpina kuchukua fomu...WHAT DOES ALL THAT MEAN? Quencher...
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura...
CHADEMA kusema kuna vyama vya siasa ni matawi ya CCM kwa nini na wao hawakuanzisha vyama vya siasa matawi yao? Ili wakiabzisha kelele zao za no reform no election vyama matawi yao viwaunge mkono...
CCM imelaaniwa - Mhadhiri
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinakabiliwa na hali ngumu sasa kutokana na laana ya kushindwa kufuata misingi iliyoasisiwa na viongozi wa chama hicho.Mhadhiri wa Chuo Kikuu...
Habari wakuu! Mwaka jana mwezi wa 8 kuna watu walikuwa wakipita kila nyumba kuchukua namba za NIDA , alichokisema polepole ni ukweli mtupu! Wanaccm wezangu ni muda sasa tumuunge mkono Tundu lissu...
Kuna watu wawili ambao kesho wakienda kwenye TV au watoke na wasema maneno haya nchi hii tutakuwa na chaguzi huru na demokrasia. Watu hawa sio wanasiasa au wazee je wa hao ni nani na watasema nini...
Usipojua msingi wa kura zako mtu yoyote anaweza kuibuka ana theory zake na ukamwamini
Vyama vya Upinzani Tanzania havijui hata idadi ya wanachama wake Kwahiyo kama ni kuiba kura wanajiibia wao...
1. Ni kwamba ccm na serikali kwa mda mrefu imekuwa na chaguzi ambazo siyo za kweli na za kihuni mbele ya jamii na ndiyo maana viongozi wao hata kwa macho yao walikuwa na kiburi cha kuwasikiliza...
Wakuu
Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii:
"Nina hakika kwa...
Wanaosema wasanii wanaingia kwenye siasa ili kunufaika ni mtazamo tofauti kanuni na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM ikiwa ni mwanachama ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwahiyo mtu yoyote ana...
Wadau!
Kwa wale wataalam wa Technolojia (IT) na wanaojua taratibu za ku-implement mfumo wowote duniani wataafikiana nami bila shaka kwa 95% kama sio 100%;
Tunawaomba Viongozi wetu wa UKAWA wawe...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.
Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na...
Kwani kuna mtu asiyejua kama mwaka huu kuna uchaguzi?
Asubuhi mtu anakuuliza, “Unatiki?” Kama tumekutana, tusalimiane. Kila mtu ashike hamsini zake.
Kama ukiona jambo lina faida kwako, kawaeleze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.